picha: HECHE ALIZA WAKAZI WA KEKO( TEMEKE)

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
MWKT WA BAVICHA TAIFA NDG JOHN HECHE leo amewaliza wakazi wa keko alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwa nia ya kupokea wanachama zaidi ya 51 walioamua kuvua gamba,
kijana aliamua kusema misemo na falsafa nyingi zilizojikita kulaani wimbi la mauaji linalokuwa kwa kasi hapa nchini

1 "watu wabaya wanatamalaki siyo kwamba wana nguvu sana bali ni kwa sababu wema tumekaa kimya tukiwatazama"
2" polisi wameandaliwa kutuuwa mimi nasema watatuuwa sana lakini hawataua fikra zetu "
3"hatuko tayari tena kuona uhalifu huu ukiendelea mimi kama kiongozi wa vijana sasa niko tayari kuandamanisha mpaka watoto kudai haki ya kuishi ya watu inayotwaliwa na polisi"
utekaji nyara , migomo, hali ya maisha kuporomoka na raisi kuwa omba omba nazo zilikuwa moja ya mazungumzo ya mh heche
attachment.php

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • Photo0018.jpg
    Photo0018.jpg
    168 KB · Views: 2,311
  • Photo0008.jpg
    Photo0008.jpg
    274.1 KB · Views: 2,282
  • Photo0037.jpg
    Photo0037.jpg
    216 KB · Views: 2,315
  • Photo0035.jpg
    Photo0035.jpg
    117.8 KB · Views: 2,187
  • Photo0031.jpg
    Photo0031.jpg
    149.9 KB · Views: 2,238
  • Photo0014.jpg
    Photo0014.jpg
    186.3 KB · Views: 2,235
  • Photo0010.jpg
    Photo0010.jpg
    263 KB · Views: 2,175
  • Photo0013.jpg
    Photo0013.jpg
    194.6 KB · Views: 226
"Tumeonewa vya kutosha, tumedhulumiwa vya kutosha .........................." ulikuwa msemo maarufu kipindi cha Mwalimu. Leo hii CCM imethubutu kwa ari na kasi mpya kuua watanzania.
 
Yaani huyo jamaa mnampambaga wakati hamna kitu hapo.Watu wenyewe wanne nani wa kumliza labda familia yake ndo waliolia.Wapambe wengine mmekubuhi mpaka mnakera
 
Yaani huyo jamaa mnampambaga wakati hamna kitu hapo.Watu wenyewe wanne nani wa kumliza labda familia yake ndo waliolia.Wapambe wengine mmekubuhi mpaka mnakera
kama si gamba basi ni kipofu wa akili
familia ya heche haiko keko kila akifanya vyema mnasema mwacheni dogo alonge mlisema kawekwa hana uwezo leo anapiga kazi na kuweka watu ndani ya chama mnakasirika nin?
 
Back
Top Bottom