Mkuu wa wilaya Arusha anusurika,tathmini ya safari yangu kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa wilaya Arusha anusurika,tathmini ya safari yangu kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Sep 10, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Salamu kwa wana jf! naomba nitoe taarifa/tathmini ya safari yangu kuanzia jumamosi 8 & 9/9/2012 toka Arusha hadi Dodoma via Singida road.

  Nianze na tukio lililotokea Arusha mjini maeneo ya soko kuu ambapo ni kijiwe kikubwa sana kinachoshika nafasi kubwa ktk mustakabadhi wa siasa za Arusha.Kama inakumbukwa vyema mkuu wa mkoa wa Arusha alipigwa na kina mama na vijana kwa nyanya na karoti.

  Itakumbukwa pia mkutano wa mazingira unaendelea pale AICC Arusha,hivyo mkuu wa wilaya ya Arusha alikuwa akitembelea mazingra/maeneo ya soko kuu ndipo baada ya kushuka kwenye gari katika eneo hilo ambalo ni ngome kubwa ya CHADEMA alisimama nyuma ya gari aina ya TOYOTA DYNA inayoendeshwa na kijana anayejulikana kama POISON.Kijana huyo aliingia kwenye gari na kupiga riverse akiwa na lengo la kumgonga mh. huyo,alisukumwa kwa ile gari bahati nzuri alinusuriwa na vijana alioongozana nao walimjia juu kijana poison ambaye ali(omba/ombewa) msamaha na akasamehewa lakini huu ni mpango uliopangwa kabisa

  source:nilikuwepo wakati wa tukio

  SAFARI yangu iliende lea kutoka Arusha kuelekea Dodoma,kilchonishangaza ni uwepo wa bendera za CHADEMA juu ya nyumba nilizobahatika kuziona kote Arusha-Manyara-Singida. Nilibahatika kuona bendera chache sana za CCM ambazo hazifiki 35 ila nilivyoingia Dodoma ndo kidogo nikaanza kuona za CCM.hii siyo sura nzuri hata kidogo kwa chama tawala ambacho kwa sasa kinaonekana kama cha upinzani.

  Nilibahatika kuongea na kina mama wa Arusha kuwa ni kwa nini wanakichukia CCM walichonijibu nilishangaa nikilinganisha na majibu ya NAPE.wengi wanailaumu ccm kwa ukali wa maisha na machafuko yanayoendelea.wanasema kama chama kinachoongoza dola hakiwezi kushndwa kuthbiti fujo na kuacha mauaji yasiyo na mtuhumiwa.inawezekanaje?NAPE NA WENZAKO,KARUDISHENI IMANI YA WATU WA ARUSHA,MANYARA NA SINGIDA.kuwa mkweli,watu wakuamini.ASANTENI
   
 2. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chama sio bender wewe ni moyoni
   
 3. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona magamba Ccm wanagawa khanga za kijani,mashati ya njano suruali nyeusi kofia za kijani na mabendera kwenye nyumba za walala hoi zilizochoka kwa kuezekwa kwa tembe na makuti huko vijiji utakuta bendera mpyaaaa ya mafisadi ccmmabwepande wauaji wa mwangosi wauaji wa nyamongo na majambazi ya mali za umma wezi wa bandari matapeli wa ajira za usalama wa taifa na Pccb majizi ya EPA na rada....na mlolongo mrefu wa laana za ibilisi!!!Leo ndo mnajua kwamba bendera sio chama?kweli na jiandaeni nyinyi mashetani mtajua tu kifo huwa kinakuaje na ukinyongwa hadharani tofauti yake ni nini na aliyenyongwa kimyakimya!!!Damn you magamba Ccm
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa upepo unaovuma sasa, hali siyo shwari kwa CCM. Hilo walijua viongozi wa CCM wa ngazi zote pamoja na wanachama wao.Ushauri wangu kwa vyama vya upinzani - waache kushambuliana wao kwa wao ila wamshambulie the so called the common enemy. Wakifanya hivyo, CCM inazikwa 2015.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  That'z exactly real situation in ARUSHA.
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kichwa cha panzi. nani kakuambia kuwa bendera ndo kukubalika?
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Bendera nikukubalika wakati zamani wananchi walikuwa hawataki kuhusishwa na upinzani lakini sasa wanaona fahari kuwa sehemu ya mabadiliko
   
 8. D

  Dik JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  mwambie huyo!kama ccm bd ina nguvu wapinzani waltoka wapi?
   
 9. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,535
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  ur right 100%
   
 10. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  huwezi pandisha bendera chama kwenye paa la nyumba yako kama chama hukipendi.

  :focus:
  mtoa mada
  Apo kwa dodom usiwe na shaka soon wataelewa tuu na mabadiliko watayakubali because M4C inakaribia kuanza phase two mikoa ya singida automatically dodoma lazima kitaeleweka tuu. Shaka ondoa  sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mleta mada Nape hawezi tena kurudisha hadhi ya chama. Kwa neema amesaidia sana kukufkisha hapo kilipo. SSM haitakiw kokote na kama watahonga maana wanaongoza kwa rushwa za uchaguzi watu watachukua na hawatakipigia kura. Elimu itatolewa kwa hilo. Hilii n jambo jema.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kujua vizuri wana wa Arusha katiza na gamba la ccm mjini!
   
 13. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,814
  Trophy Points: 280
  Ina maana nyanya yako kule kijijini anavaa kanga za ccm bila kukikubali chama? Acha uvivu wewe, utakuja kupandishiwa li-bendera tu bila kukikubali chama? Ovyoooooooooooooo!!
   
Loading...