Kauli bora zaidi za viongozi CCM..

Rabi wa Leo

Senior Member
Mar 5, 2012
104
25
Zifuatazo ni baadhi tu ya kauli zilizotolewa na viongozi wa CCM kwa nyakati tofauti.Tuzipime na kuona jinsi viongozi wetu walivyo na upeo mdogo wa kufikiri..

1.Ndege ya rais
itanunuliwa hata kwa gharama ya wananchi kula nyasi - B.P.Mramba
2.Foleni Dar ni ishara ya maisha bora-JK
3.Acheni wivu wa kike - Msekwa
4.Asiyeweza kulipa nauli apige
mbizi-Magufuli
5.Baada ya kutumia Helikopta ya
Jeshi
kwenda nayo Urambo,mlitaka
nipande
punda?-Kapuya
6.Wabunge wa Dar wanafikiria
Kwa
kutumia makalio-Masaburi
7.Ukitaka kula lazima uliwe-JK
8.Mnaniuliza mvua kwani mimi waziri
wa
mvua?-S.Wasira
9.Kila mwananchi atabeba msalaba
wake-Mkulo
10. Dr.Slaa akivaa gwanda anatembea kama kajinyea-Lusinde
11. Godbles lema juzi alikua jela,na tunajua alipokuwa mle amepata bwana na ameliwa..

12.Mmekua na maneno meengi kwa hvo vijisenti tu?- A.Chenge
TAFAKARI,CHUKUA HATUA..
 
Hawa zilitumika gharama kubwa kuwachagua wakati wa uchaguzi,na wanapokea mishahara ktokana na rasilimali za taifa na kodi za wananchi...
 
hahaha aisee...aya mjibuni kapuya....anauliza mnataka apande punda.....
 
Back
Top Bottom