CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa DAUDI Mwangosi Aliyeuawa Nyololo shs 1,000,000

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa Mwangosi

Views

m4c+frm+blog.jpg

TAWI LA UK

CHADEMA TAWI LA UK LACHANGIA HARAMBEE YA KUMSAIDIA MJANE WA MWANGOSI
Tawi la chadema UK jana walijiunga na wanaharakati wengine duniani kote kumchangia mjane wa mwandishi aliyeuawa DAUDI MWANGOSI,(R.I.P)
Mchango huo amekabidhiwa Mwenyekiti wa Mjengwa Blog kiasi cha shs 1,012,500 cash

Wako katika ujenzi demokrasia ya kweli na uhuru wa ukweli

Chris Lukosi

Mwenyekiti - Tawi la UK
source MJENGWA BLOG
 
Hongereni Makamanda. Asanteni sana kwa kuonesha mfano na kujali. Tunasubiri kusikia kutoka kwa wale wa DMV; taifa kubwa lile. Hizi ziingie kwenye fuko la Katibu Mkuu (namaanisha cheo, sio mtu) kwa ajili ya kutimiza ahadi ya Chama ya kusomesha watoto wa marehemu. Kwa jinsi hii tutakuwa tumewatendea haki yatima hawa wasiokuwa na kosa.
 
Asanteni sana wazalendo. Mungu anatoa baraka ya pekee kwa wale waojali yatima na wajane. Again, thanks guys.
 
wanatia aibu kweli hawa ..dola mia nane ndio wamechanga watu wazima halafu wanakuja kujitangaza huku kwenye mitandao ya jamii. Mimi nlijua wamechanga dola milioni moja bwana.
 
kwanini wasingetoa gari zile ford zao za kizamani hiyo milioni kwa watu walio uko si aibu
 
Big up Chadema UK. CCM hawapati usingizi hata kidogo. Muda si mrefu viongozi wa juu wa CCM na serikali wataanza kukimbia nchi.
 
Waungwana mmefanya VEMA! Ila tunavoifahamu UK na ninyi mlioko, kiwango hicho ni mchango WA kata moja ya vijiji vya ndaani sana! Ongezeni kidogo kwa heshima ya mwangosi.

SS tutafuata!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
... ukipenda unaweza ukachagua kwenda kulala mapema walau kwa leo ili ukpate kujizuia na hili pepo baya la kuandikia umma wote huu humu ungali uko njozini.

Kutoa ni moyo na wal si uwezo ...

wanatia aibu kweli hawa ..dola mia nane ndio wamechanga watu wazima halafu wanakuja kujitangaza huku kwenye mitandao ya jamii. Mimi nlijua wamechanga dola milioni moja bwana.
 
Sina la kusema kuonyesha jinsi nilivyoguswa na UTU wenu zaidi ya kuwaombea BARAKA TELE TOKA MUUMBA!!

Watabeza lakini msijari duniani kuna watu na viatu!! Pia ningeomba mbezao mchangie japo jerojero zenu kwanza ndipo muanze kutoa kejeli zenu hapa!! Hata haya hamna!!? GT kuweni na moyo wa utu kama waliouonyesha wenzenu sio mnakuwa na akili za vitimoto humu!!
 
Unajitia aibu mwenyewe ? Ni mchango wa hiari tena wa fweza halali SIO wa kujionyesha kama fweza walizotoa mafisadi kwa Kanumba wakati hao hao ndo walikuwa wanakadokoa na kukabendeka katoto !!

wanatia aibu kweli hawa ..dola mia nane ndio wamechanga watu wazima halafu wanakuja kujitangaza huku kwenye mitandao ya jamii. Mimi nlijua wamechanga dola milioni moja bwana.
 
wanatia aibu kweli hawa ..dola mia nane ndio wamechanga watu wazima halafu wanakuja kujitangaza huku kwenye mitandao ya jamii. Mimi nlijua wamechanga dola milioni moja bwana.

hiyo dola milioni moja unayo wewe? wewe binafsi umetoa nini kuchangia?
 
Waungwana mmefanya VEMA! Ila tunavoifahamu UK na ninyi mlioko, kiwango hicho ni mchango WA kata moja ya vijiji vya ndaani sana! Ongezeni kidogo kwa heshima ya mwangosi.

SS tutafuata!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu, jifunze ku-appreciate. hawa jamaa wanaonesha njia
 
wanatia aibu kweli hawa ..dola mia nane ndio wamechanga watu wazima halafu wanakuja kujitangaza huku kwenye mitandao ya jamii. Mimi nlijua wamechanga dola milioni moja bwana.

... ukipenda unaweza ukachagua kwenda kulala mapema walau kwa leo ili ukpate kujizuia na hili pepo baya la kuandikia umma wote huu humu ungali uko njozini.

Kutoa ni moyo na wal si uwezo ...

Mkuu halafu tumuulize yeye ipad3 katoa shi'ngi ngapi kwa account ipi
 
Back
Top Bottom