Utaratibu Huu Umepitwa na Wakati!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
32,934
2,000
najaribu kushangaa tu.. kwanini jamaa amfuate fuate namna hiyo na magwanda ya jeshi.. Hivi jamaa asiposimama karibu ya Kikwete kwenye hadhara yoyote.. Urais wa JK unapungua?
 

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,232
1,225
Mzee Mwanakijiji,

Hako ni kautaratibu/protokali ka urais. Muammar Gadaffi wa Libya ana platoon ya makomandoo wa kike.
 

UMMATI

Member
May 18, 2011
64
0
Wazo binafsi; "Yeyote anayekubali ushauri mbaya ujue kwamba mawazo yake yalikuwa mabaya zaidi ya huo ushauri mbaya"
 
Top Bottom