Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Selungo, Sep 1, 2012.

 1. S

  Selungo JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WAKUU!

  Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.

  Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?

  Ni kuuliza tu Makamanda.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Alisema ana mzimikia sana dikteta meles zenawi,so mwacheni mfu akazike mfu mwenzie
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Anajulikana wala wenzake hawahangaiki nae......ni msaliti no moja na fitna zaidi....acha ale unafiki wake muda ukifika atarudi na ukweli utajulikana!
   
 4. P

  Penguine JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Nafikiri ktk siasa zilizokomaa upinzani sio uadui wala siyo vita. Hivyo sioni sababu ya kuchukia kama hjyo dogo atakuwa amesafiri na mkulu wa nchi.

   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,551
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Atatumia njia kama ya JK huko chadema kwenye urais.
   
 6. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Upinzani sio vita, tujaribu kubadilika! Bado hajaenda kwenye tukio baya kumbuka ni msiba huo.
   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Zito, Marando, na Selasini fanyeni kazi kwa bidii 2015 sio mbali
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Welcome home zittttttooooooooooooooooooooooooooo:flypig::shetani::shetani::shetani::shetani::shetani:
   
 9. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mkuu siasa sio chuki, nadhani Zito amepata baraka zote toka kwa Viongozi wake. Suala la Zito kutoka nje na JK, linamjenga sana kidiplomasia na kuelewa siasa za nje zinavyoendeshwa. CDM wanahitaji sana ujuzi huu, na wapo kufuatilia kila kitu kwa karibu mno.
  On other hand; hiyo yaweza kuwa janja ya serikali ya CCM kupandikiza hisia za chuki, kutoaminiana na makundi ndani ya CDM. Technique hii ni mzuri kuvuruga nguvu za CDM ambazo zinawakosesha usingizi CCM
  Only solutions now for CDM are:
  1) To keep our eyes veryvery close to Zito. Na ikigundulika ni double agent, atoswe mara moja.
  2) Japo ni too late, iwekwe protocal ndani ya CDM, kama kuna nafasi kama hizo, CDM ndio watoe Jina la atakayesafiri i according na maudhui ya safari yenyewe.
   
 10. z

  zamlock JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  alafu wana jf tujaribu kuwa na mtizamo wa mbali yule ni kiongozi wa chama taifa kwa hyo si jambo baya kwenda kukiwakilisha chama chetu na pia siasa siyo vita wala chuki, sisi wote ni watanzania na tunashirikiana kwenye matatizo ya wenzetu na ya kwetu ndani ya nchi yetu
   
 11. M

  Makupa JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  sio zitto tu kuna wale ndugu zetu wengine wako huko cdm
   
 12. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 145
  Kwani kufanya kazi za kitaifa ni kosa. Kwa mawazo yako, kwa vile ni Mbunge wa CHADEMA basi hatakiwi afanye shughuli za kitaifa. Kwani hujui kama ni mwakilishi wa wananchi. Mawazo kama haya ni matokeo ya mbegu iliyopandikizwa ya chuki kwa tofauti ya kimawazo na kiitikadi. Kwani mpaka awepo kwenye M4C ndiyo uone kama anafanya kazi. Think bigger
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Hivi kwanini zitto hashiriki m4c? Yeye namuona yupo kivyake tu..
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Zitto anaanza kujenga mazingira ya kurejea nyumbani kama mwenzake Kaboro. Hawa jamaa ni wa hovyo sana na wana tamaa ya madaraka hakuna mfano. Ukitaka kujua Zitto ni pandikizi jiulize ni kwanini hakukanusha vilivyo tuhuma za uhusiano wake na Zoka ambaye anadaiwa kumteka Ulimboka. Badala ya kujitetea serikali iliamua kulifungia gazeti la Mwanahalisi. Zitto na Kikwete wote ni wasanii na wapenda madaraka hata kama hawana uwezo na hayo madaraka.
   
 15. S

  Selungo JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WAKUU!

  Hapa hoja yangu sio vita au uadui. Nimejiuliza kwamba, iweje aweze kuitikia wito wa Magogoni kwa haraka na bila mawasiliano kukatika na kuungana na Mkulu, lakini kwenye la M4C mawasiliano yalikatika na hatukumuona kabisa licha ya kuahidi kuhudhuria kama tulivyo taarifiwa?
   
 16. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  nilifikiri wewe ni mmoja wetu, kumbe hamna kitu!!!!
   
 17. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa simpendi kama nini sijui. Kajamaa kana mambo ya kishamba kinoma sana haka. Halafu dizaini kama ushamba na ulughalugha bado haujamtoka. Kana tabia za kujikweza na kujiona kako bora kuliko wenzako. Mi natamani hata katimuliwe tu Chadema kama vipi.
   
 18. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Zitto ni disaster na ninashangaa watu ambao mnatoa povu kumtetea huyu gaidi wa ukombozi, huyo jamaa ni puppet leader, mfatilieni kwa makini mambo yake ndio mtagundua, huyu jamaa kama aliweza kumpigia kampeni Jk badala ya Dr.slaa 2010, je anashindwa nn kukisaliti chama? THINK BIG magreat thinkers huyu jamaaa hafai na sisi hatutacha kumchana live hata siku 1.
   
 19. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tumwache akazike tu wakuu.
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  kweli Zzk ni disaster na hafai kuaminiwa.
   
Loading...