Mkutano na Makamo wa Rais wa Zanzibar Uk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano na Makamo wa Rais wa Zanzibar Uk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Sep 11, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1][/h]Written by Stonetown (Kiongozi) // 11/09/2012 // Habari, Matangazo // 3 Comments

  [​IMG]
  MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR KUKUTANA NA WANANCHI WAISHIO UK
  Jumuiya ya ZAWAUK kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania UK, Tunapenda kuwaalika watu wote waishio UK kwenye mkutano wa hadhara siku ya Ijumaa tarehe 14 Sept 2012 kunzia saa kumi na mbili Alasiri. Mgeni rasmi kwenye mkutano huo ni Makamo wa Rais wa Zanzibar , Maalim Seif Shariff Hamad.
  Wakati kila jitihada inafanyika kukamilisha mkutano huu sehemu itakayofanyika mkutano huu mtajuulishwa Jioni ya leo Inshaallah.
  Hassan
  Mwenyekiti


  [h=4][/h]
   
Loading...