Wanasiasa na hatima ya Tanzania na wananchi masikini walipao kodi hata kwenye sembe!

Apr 10, 2012
80
13
Jamani wana JF najiuliza TZ tunaelekea wapi na rasilimali zetu!!! Ile hofu ya mungu na uelewa kwamba kila aishiye ataonja mauti imepotea kwa wanasiasa wetu..! Nchi imegeuka pango la walowezi na mauaji yamekua ndio tambiko la mafisadi!! Tupige magoti tusali gesi yetu isidondokee kwenye midomo iloko kama ma-simtank inayomilikiwa na wanasiasa wasiojali maslahi ya wananchi wao...Tuiombee nchi yetu na kuchukua hatua kwa sababu tunapoelekea ni pabaya sana...Oh God help us
 
Back
Top Bottom