Mr Zitto Kabwe - Oil and gas licensing should be suspended for the next 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mr Zitto Kabwe - Oil and gas licensing should be suspended for the next 10

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Sep 10, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,163
  Likes Received: 1,098
  Trophy Points: 280
  Kigoma North Member of Parliament (MP), who is also the shadow Minister for Finance, Mr Zitto Kabwe said in an opinion paper to congratulate the decision by the Minister for Energy and Minerals, Professor Sospeter Muhongo, to delay the fourth licensing round which was due to be held in Houston, Texas on Thursday this week.

  Mr Kabwe said it's a travesty that the government should continue giving multinational corporations oil and gas extraction licences while there is no competent policy or legislation to guide such a process. In his opinion paper, Mr Kabwe said that delaying of the licensing round alone is not enough.
  "We are now informed that the licensing round has been delayed. This is not enough and more work needs to be done. The Fourth Licensing Round
  [​IMG]


  The Chairman of the Parliamentary Public Organisation Accounts Committee (POAC),Mr Zitto Kabwe (Kigoma North – Chadema)
  should be put on hold and postponed for ten years.

  "In this, we echo the demand of Parliament's Energy and Minerals Committee earlier this year (April 2012, Annual Report of the Committee) and the concerns of other informed citizens," he wrote.

  He said that Tanzania is on the precipice of an economic evolution with the recent discoveries of gas with confirmed reserves of 43 Trillion Cubic feet (TCF), roughly valued at 430 billion US dollars. He said that the country's nascent oil and gas industry is set to expand greatly with the upcoming Fourth Licensing Round, which, according to Minister Sospeter Muhongo, is scheduled to be launched in Houston, Texas on September 13.

  "It is very unfortunate that the recommendation to postpone the licensing round, supported by a Parliamentary Committee on Public Investments (POAC) and approved by a Parliamentary resolution, was largely ignored by the Ministry and TPDC," the Chadema legislator argued.Asked to comment on Kabwe's suggestions for a decade long delay in licensing oil and gas companies, Prof Muhongo replied via a text message, saying that he is away on official business.Recent discoveries in natural gas mainly along the Indian Ocean coastline, has attracted many multinational corporations including Brazil's Petrobas, Norway's Stateoil, British Gas which is in the process of buying Ophir Energy's stake and ExxonMobil of the US
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mon, Sep 10th, 2012

  Tanzania |


  By In2EastAfrica Reporter


  All oil and gas licensing should be suspended for the next 10 years during which the country will develop capacity of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and put in place a regulatory framework.

  Kigoma North Member of Parliament (MP), who is also the shadow Minister for Finance, Mr Zitto Kabwe said in an opinion paper to congratulate the decision by the Minister for Energy and Minerals, Professor Sospeter Muhongo, to delay the fourth licensing round which was due to be held in Houston, Texas on Thursday this week.

  Mr Kabwe said it's a travesty that the government should continue giving multinational corporations oil and gas extraction licences while there is no competent policy or legislation to guide such a process. In his opinion paper, Mr Kabwe said that delaying of the licensing round alone is not enough.


  "We are now informed that the licensing round has been delayed. This is not enough and more work needs to be done. The Fourth Licensing Round should be put on hold and postponed for ten years. "In this, we echo the demand of Parliament's Energy and Minerals Committee earlier this year (April 2012, Annual Report of the Committee) and the concerns of other informed citizens," he wrote.


  He said that
  Tanzania is on the precipice of an economic evolution with the recent discoveries of gas with confirmed reserves of 43 Trillion Cubic feet (TCF), roughly valued at 430 billion US dollars. He said that the country's nascent oil and gas industry is set to expand greatly with the upcoming Fourth Licensing Round, which, according to Minister Sospeter Muhongo, is scheduled to be launched in Houston, Texas on September 13.


  "It is very unfortunate that the recommendation to postpone the licensing round, supported by a Parliamentary Committee on Public Investments (POAC) and approved by a Parliamentary resolution, was largely ignored by the Ministry and TPDC," the Chadema legislator argued.Asked to comment on Kabwe's suggestions for a decade long delay in licensing oil and gas companies, Prof Muhongo replied via a text message, saying that he is away on official business.


  Recent discoveries in natural gas mainly along the Indian Ocean coastline, has attracted many multinational corporations including Brazil's Petrobas, Norway's Stateoil, British Gas which is in the process of buying Ophir Energy's stake and ExxonMobil of the US.   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ZITTO KABWE splendid Idea; Lakini Unatukosha ili Uonekane Unamawazo Mazuri... Deep Inside your heart Unajua kabisa Serikali ya

  Kaka haitasubiri MIAKA 10 na wewe umeisha pangwa kupewa part of the 10% chini chini... CCM wameisha anza kuila Angalia JINSI

  NEC - CCM inavyogombewa Unajua ULAJI UPO... Ni kwanini Unaweka MIPANGO kutufanya sisi Wajinga? Halafu Unataka URAISI;

  lakini you are
  the biggest snitch compromise r?
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Huyu anataka sasa kuleta shida eti should be suspended wakati watu walishachukua 10% tokea kwenye upembuzi yakinifu
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,654
  Likes Received: 3,300
  Trophy Points: 280
  Sasa zile bill's zilizopo u swiss si zihamishwe chapchap?wale wazungu wakipata taarifa hii lazima watadai ile bakshish yao waliochomeka kwenye vile vi account vya uswisi.
   
 6. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Sio wazo baya,lakini uchumi wetu hauturuhusu kuwa na uvumilivu huo,mambo hayaendi pesa hakuna,ni wakati muafaka wa kuanza kuchimba hiyo gesi na mafuta ili wananchi wanufaike,elimu iwe bure,afya nayo iwe bure,mishahara ya wafanyakazi iongezwe,miundo mbinu iboreshwe,serikali i subsdize bei ya bidhaa muhimu mfano chakula,mafuta,mabati,sementi Nk.Kwa maoni yangu gharama ya kusubiri miaka kumi ni kubwa mno.Tumeni wataalamu wa mikataba waangalie nchi kama Libya waliwezaje,nasikia na Uganda pia wana mikataba mizuri yenye masilahi kwa nchi na wananchi,ikiwezekana hiyo shugli ianze as soon as practicable ili tuondokane na umaskini huu tupate maisha bora.
  By the way Zitto wenzako wako kwenye harakati wewe unawazia mafuta?kulikoni?
   
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mnafiki hana lolote... Polisccm wanauwa raia tena vijana yeye yupo kimia anatoa matamko ya kujipendekeza CCM, ana MoU ya kutoikosoa Policcm chini ya TISS... mnafiki
   
 8. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Zitto inabidi ajue kwanza biashara ya mafuta kabla ya kuweka muda ambao hauna msingi wowote. Sheria ya mafuta haitakiwi kuchukua zaidi ya mwaka kuweka!! Tanzania sio nchi pekee duniani yenye sheria ya mafuta hivyo hakuna sababu ya Msingi ukizingatia tuna wabunge na wahisani wenye nia ya kusaidia haitachukua zaidi ya miezi sita kuweka Bill bungeni nzuri ya yenye uwazi kuhusu Gas and Oil. Vilevile Zitto ni lazima uelewe kuanzia research mpaka production ya Oil and Gas inachukua miaka kumi na mbili hivyo ukisema tusubiri miaka kumi ina maana production ya Oil and Gas itaanza baada ya miaka ishirini na mbili!!. Serikali kwa miaka kumi ambayo search za mafuta zinaendelea inatakiwa Kujenga au kupanua barabara,bandari na kuelemisha watoto wetu wa vyuo ili waweze kufanya hizi kazi. Kuna Pipeline inatengenezwa kwa mkopo wa China lakini tunatakiwa kuweka barabara ya bandari. Hakuna ulazima wa kusubiri kama tutapata Bill ya Oil and Gas. Hivyo badala ya kuongee wabunge fanyeni kazi yenu na tupeni Bill ya Oil and Gas ! kama hamna uombeni tutawatafutia ya nchi nyingine muone zinavyofaidika badala ya kukaa na kuunda kamati kila siku. Kuna nchi kama Qatar ambayo ndiyo inaongoza kwa kuzalisha Gas,Norway ipo pia sasa miaka kuni ya nini???. Kama bunge la leo haliwezi hata ku copy sheria za Oil and Gas miaka kumi itasaidia nini!!!
   
 9. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
 10. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
 11. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,682
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Mnafiki tu huyu


   
 12. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Zitto hakunaga, usitishike Kaka Kitaa watu wanaelewa kazi yako, haya makelele ya JF ni ya watu wachache sana walotumia ID tofauti, Kwenye matokeo ya Urais hapa JF kuna mtu alipata 70% ya kura zote aliposogelea Pambano halisi aliona kilichomtoa kanga manyoya mpaka leo amekuwa mropokaji akili hazijarudi, Poa moto kijana ID za kinondoni Manyanya zisikuchanganye!
   
 13. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Zitto hakunaga, usitishike Kaka Kitaa watu wanaelewa kazi yako, haya makelele ya JF ni ya watu wachache sana walotumia ID tofauti, Kwenye matokeo ya Urais hapa JF kuna mtu alipata 70% ya kura zote aliposogelea Pambano halisi aliona kilichomtoa kanga manyoya mpaka leo amekuwa mropokaji akili hazijarudi, Poa moto kijana ID za kinondoni Manyanya zisikuchanganye!

  Zitto mmoja = Disco joker na genge lake + Baba Junior + wazazi wenzie wote + IPP Media +......
   
 14. E

  EmeraldEme Senior Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tupo tayari kwenye suala la gesi na mafuta? Tumejiandaa kiasi gani? Desperateness kills.....
   
 15. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,701
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Haya ni mawazo ya Edward lowasa , hakuna jipya kutoka kwa zit to. Kama mnakumbuka lowasa alipokuwa anahojiwa na kipindi cha Danika 45 cha itv Ndio alisema hayo maneno .
   
 16. s

  samwel kimosso Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo yako ni mazuri ila nahofia kuna unafiki ndani yake.Nyie wanasiasa msituletee propaganda mufilisi hata kwenye mambo yanayohitaji utaalamu!!!! Naona sasahv kila mwanasiasa anaongelea gesi gesi... Hamna matatizo kwenye majimbo yenu? Hili swala la gesi mikataba inatolewa kisirisiri tu na mwananchi hausishwi kuamua!!! Wapeni wachina pekee ndo hawawezi kutufanyia ufisad na wanaweza kufanya equal sharing than 0.03% tunayoipata kwenye dhahabu kutokana na mikataba uchwara na nchi za ulaya
   
 17. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zitto your joke bro..I dont think you know much about geology....waachie wataalam wahayo mambo...wewe njoo huku tujenge chama..
   
Loading...