ufafanuzi kuhusu hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ufafanuzi kuhusu hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyanya mbichi, Sep 11, 2012.

 1. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,214
  Likes Received: 1,335
  Trophy Points: 280
  Naomba kuelimishwa hapa

  Baba wa Taifa mwl JK Nyerere kuhusu ubadhirifu mbona hakuonekana kulisimamia saana kama Waziri mkuu wake mh Hayati Edward Moringe Sokoine.
  Je hakuwa mpiganaji saana kama Sokoine kama kweli ni kwa nini.Nimesoma na kusikia kidogo kuwa alikuwa mpambanaji sana ktk suala la walanguzi na wahujumu uchumi kiasi kwamba inasemekana kifo chake jilisababishwa na upiganiaji haki huo.
  Na baada ya kifo chake harakati hizo zilikwisha au kupungua kwa kiasi kikubwa tu
  asanteni.
   
Loading...