Route za treni za Mwakyembe ndani ya jiji la Dar: TRL vs TAZARA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Route za treni za Mwakyembe ndani ya jiji la Dar: TRL vs TAZARA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Aug 4, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  TRL

  Treni hizi zitasimama kwenye vituo sita (6) vifuatavyo:

  Stesheni ya Dar es Salaam, Kamata, Buguruni kwa Mnyamani, Tabata Matumbi, Mabibo na Ubungo Maziwa. Kila treni itakuwa na mabehewa sita yenye uwezo wa kubeba abiria waliokaa na wale waliosimama takriban 1,000 kila safari.

  TAZARA:

  vituo vya Dar es Salaam, Kwa fundi umeme, Yombo, Kwa Limboa, Lumo Kigilagila, Barabara ya Kitunda, Kipunguni B, Moshi Bar, Majohe, Shule ya Sekondari Magnus, Mwakanga, Chimwaga, Maputo, Mtoni relini, Kwa Azizi Ali relini hadi Kurasini. Kuanza kwa usafiri huu kutachangia kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam na kuwezesha watu kufika katikati ya jiji haraka zaidi.
  Kwa utaratibu huu inakisiwa kwamba treni hizi mbili zitaweza kusafirisha watu takriban 16,000 kwa siku kwa safari 8 asbi na 8 jioni
  Izi project kuanza rasmi october 2012

  Source:hotuba ya bajeti ya wizara 2012/13

  Ministry of Transport, Tanzania - Publications | Waziri wa Uchukuzi awasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2012-13
   
 2. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Hiyo ni nzuri, wamejiandaaje dhidi ya magari binafsi kuingia katikati ya jiji! Maana treni zinaweza kuwepo lakini baadhi ya watu katika kuonyesha ufahari wasipande. Familia 1 watu 5 kila mtu na gari lake na wote wanaenda mjini (CBD)
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hawa dawa yao ni kuweka kodi kubwa za kutembea na magari binafsi jijini.
   
 4. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  waweke congestion charge tu kama wanavyofanya ulaya. Ukitia pua kuanzia Kariakoo mpaka Posta unatozwa sh alf kumi. Hii ita discourage watu kuingia katikati ya mji na vigari vyetu vya mkopo.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wakuu hii kitu siamini kabisa ccm wote wanakurupuka
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  tulipiga kelele sana kuwa mradi wa mabasi hauwezekani UMEWEZEKANA.......sasa tunapiga kelele kuwa hilo la treni haliwezekani MWAKYEMBE na timu yake WANAANZA KUONYESHA WANAWEZA
  Sisi TUNAONGEA wao WANAFANYA........mwisho wa siku tutasema wameiba kura kwa sababu mikutano yao haijazi watu....KUMBE WENZETU HAWAONGEI KWA MIDOMO BALI VITENDO
   
 7. gwakipanga

  gwakipanga JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Itakuwa imepunguza kwa kiasi kikubwa adha ya usafiri. Ila kwa treni za TAZARA kuishia kurasini itakuwa aipo njema,zingeunganisha mpaka mjini kwa kutumia reli TRL.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kwa mfumo huu tunaokuwa nao, hili litatekelezeka kweli?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Why do I have a bad feeling about these commuter trains..?
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  kwa sababu wanaolengwa siyo wenye magari! As a matter of fact nadhani itachangia zaidi ongezeko la magari jijini Dar. Think about it.
   
 11. a

  afwe JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kwa hili DHAIFU wamepatia
   
 12. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  mbn bagamoyo road sioni route
   
 13. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu hakuna reli iliyojengwa enzi za mkoloni na mwalimu eneo la bagamoyo road. Unafikiri hawa watasumbuka kujenga miundombinu mipya ili kuondoa tatizo? Haya, kutoka kurasini, watu watafikaje posta?
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Upana wa reli zao between them ni tofauti!!
   
 15. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  aweke boat, ujue hawa watu hawataki kikaribisha wawekezi wa usafiri, wenye pesa wapo, daladala sizipendi jamani
   
 16. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hakuna mtu anayekataa kuwa mabasi yaendayo kasi (kama ni kweli) na treni zitasaidia kwa muda kupunguza msongamano. Ila sio suluhisho la muda mrefu. Nigeria ni moja ya nchi zenye mfumo wa mabasi hayo lakini hali ya usafiri Lagos bado sio nzuri. Wale wenye umri uliosogea kukaribia mafao watakumbuka enzi zile UDA ilikuwepo yenyewe. Baadaye ilipozidiwa marehemu Sokoinne aliruhusu dala dala (wakati huo nauli ilikuwa shs 5) tatizo la usafiri likapungua sana. kwa vile hatukuwa na mipango endelevu tatizo likarudi pale pale kwa kiasi kikubwa. Hili litatatua kwa mwaka mmoja halafu tutarudi pale pale. Kutatua tatizo hili lazima ulitatue kwa jicho la uchumi mkubwa (macro economy). 1. treni kwa vile zinapita chini zitasababisha msongamano zaidi wa magari kwa vile njia zitafungwa mara kwa mara. (kumbuka network yake haikufikishi unapotaka kwenda. Mfano nakaa Tegeta nataka kuwahi mechi uwanja wa taifa nafikaje?
  2. foleni zingine zinasababishwa na magari mabovu yanayofia njiani, kutokuwepo vituo/nadhamu kwa dala dala matokeo yake wanasimama barabarani na ujenzi usiozingatia maegesho unaoendelea.
   
 17. M

  Mkuki JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 363
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Njia ya kuelekea mbezi beach tegeta hadi baamoyo kutakuwa na boti hapo. Safi sana jembe langu mwakyembe hao wanaoongea acha waongee tu sisi kazi tu hakuna maneno BIG UP CHAMA
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Gwakipanga kuna utofauti mkubwa sana wa njia za TRL na Tazara hazifanani na hata matairi yako tofauti hayaingiliani,ni ngumu sana na haiwezekani kuunganisha reli hizo 2 tofauti!!!
   
 19. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Bagamoyo road treni inapita chini ya ardhi
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,670
  Trophy Points: 280
  wanatakiwa waanzishe fery au boat huku mpaka kurasini au mtoni.
   
Loading...