TBC ni Chama cha Siasa

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
429
61
Nimesoma habari kutoka sources tofauti kuwa TBC1 wanaandaa kipindi maalum cha kuiponda CDM, ikiwa ni pamoja na kutoa siri za viongozi wa CDM,Kwa mtazamo wangu,kabla ya kufanya wanachopanga kufanya wawasiliane na Tendwa awasajili kama chama cha Siasa ndo watakuwa na nafasi pana ya kufanya wanachotaka,bila hivyo,umma wa Watanzania watawangashaa
 
Back
Top Bottom