Tafadhari fuata LINK hapo chini. Andika jina lako email na anuani yako. Kwa ambaye yupo Tanzania zip code weka 0000.
Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful...
MKUTANO WA CHADEMA MILTON KEYNES...!!!
BAADA YAKUISAMBARATISHA CCM READING, WIMBI LA MABADILIKO YA LAZIMA SASA KUUNGURUMA MILTON KEYNES
TAWI LA UK
TUNAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO...
Wakuu salaam,nataka nijue kinachoendelea huko chamani kwani naona kama nape ndio amekuwa msemaji,mfanya mikutano na kila kitu,nataka nijue alipo katibu wetu mkuu, jina nimesahau
Land will remain to be owned by Tanzanians themselves by 100 per cent. We will do our best to protect the national interests, haya ni matamko ya Chairman, Mr Adam Kimbisa mwakilishi wa Tanzania...
JF UP-CLOSE: KAULI YA CHAGULANI DHIDI MANYERERE COUNCIL MWANZA NI SAHIHI KWA AFYA YA CDM?
Katika kikao cha Bajeti cha Halmashauri ya Jiji la Mwanza Mei 15, Diwani wa Kata ya Igoma CDM Mh. Adam...
CCM :-chadema wachochezi na wahamasishaji wa vurugu,wakabila na wadini.
Chadema :- tumefika hapa kwenye hali ngumu ya maisha kwa sababu ya ccm.
Cuf :- Chadema ndio ccm B kwa sababu wanapokea pesa...
Wataalamu wa wizi wa kura kutoka Tanganyika ambao ni Harbat Kiato na Aneth Angelo wamewasili Zanzibar na kupokewa na mwenyeji wao Mbunge wa jimbo la Kikwajunu Hamad Yussuf Massauni. Wataalamu hawa...
Sina mengi sana ya kuongea ila hatujamuona jimboni tokea amechaguliwa na alitoa ahadi tele lakini hamna ata moja aliyoitekeleza je huu ni uungwana au uhuni?
Power! Upo hapo?
MKUTANO MKUBWA WA CHADEMA SIKU YA JUMAMOSI 15 SEPTEMBA, 2012 PALE MJI MWEMA USA-RIVER KARIBU NA LEGANGA SHULE YA MSINGI. Kamanda Dogo Janja na Makamanda wengine na sisi makamanda...
WanaJF,
Nchi yetu tunayosema tunaipenda sana (sina uhakika tena) haina viongozi. Hakuna kiongozi hata mmoja wa kujivunia.
Ila Mungu ametubariki pamoja na maliasili na madini tuliyonayo tuna...
Mheshimiwa ndesamburo a awasili London
Leo rasmi kuja kuhutubia mkutano wa Chadema utakaofanyika jumamosi kuandika saa kumi jioni.
Mh ndesamburo pia atatumia muda huu kuhamasisha vuguvugu la...
President Kibaki (right) flanked by Tanzania President Jakaya Kikwete during a joint news conference at State House, Nairobi September 11, 2012. The countries agreed to strengthen trade ties by...
Eti tunakaribishwa katika sherehe fupi ya kumpongeza Migiro. Mpaka sasa nimeshuhudia mabasi matano yaliyobeba wanawake wa CCM kuwapeleka huko viwanja vya mnazi m1
Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi Tendwa anavyoropoka ropoka katika vyombo vya habari, nikagundua mojawapo ya tatizo lake hana mtaalamu wa habari na mahusiana katika ofisi yake wa kumshauri nini...
Wakuu,
Kuna sababu tatu za kutokea kwa vifo ktk mikutano ya Chadema . Sababu ya kubwa ya kwanza iliyonifanya hata leo nilete uzi huu hapa ni maelezo ya rafiki yangu anayefanya kazi ktk mmoja ya...
Katika kile kinachoendelea chini ya pazia jijini arusha katibu wa mkoa ameamua kuanza sasa kusafisha njia na kulipa kisasi,hasaa baada ya kushindwa ubunge ameamua kuanza kuandaa njia ili arudi...
Wana JF
Nimeona na mimi nitoe maoni yangu KWA MUSTAKABALI wa Demokrasia hapa Tanzania,
Tunda la Demokrasia ni wananchi kuwachagua viongozi kwa uhuru, haki, na usawa, wanaoamini kwamba wanaweza...
Na Suleyman Mwenda,
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wamemaliza kikao cha baraza la umoja huo ambapo wamejadili ajenda mbalimbali za msingi kuhusu Uchaguzi na pia wamejadili juu ya...
Je wanajamvi hii imekaaje Mkuu wa Wilaya kumkwida Diwani kwenye foleni ya chakula mbele ya WAZIRI MKUU, ni kujipendekeza au ni utendaji uliotukuka?
Hii imetokea kwenye moja ya ziara za PM Pinda...
POLISI Mwanza Wapiga STOP Mkutano wa Hadhara wa CHAGULANI:
Hofu ya makundi yatanda CDM
Kambi za wanasiasa wenye uchu na mapandikizi Kukitafuna Chama
Kuna kila dalili za wazi kuwa zile kambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.