Tuasheni Wznz tupige uchaguzi bila ya umwagikaji damu, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuasheni Wznz tupige uchaguzi bila ya umwagikaji damu,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Sep 15, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wataalamu wa wizi wa kura kutoka Tanganyika ambao ni Harbat Kiato na Aneth Angelo wamewasili Zanzibar na kupokewa na mwenyeji wao Mbunge wa jimbo la Kikwajunu Hamad Yussuf Massauni. Wataalamu hawa wanatarajiwa kwenda kukutanishwa na Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi Taifa Salim Kassim Masego, Makamo Mwenyekiti Saidi Bakari Jecha pamoja na msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Bububu Bwana Suluhu.
  Tunawaambia wazanzibari wote waeneze na wazifanyie kazi taarifa hizi, hili si jukumu la mtu mmoja kulinda uchaguzi wa Bububu na amani na utulivu uliop. Mpigie Salim Kassin 0777471800, Saidi Bakari Jecha 0713234243 na Suluhu 0777470024 ili wapewe taarifa kwamba wanachotaka kukifanya wazanzibari washakielewa hivyo ni wajibu wao kunusuru hali ya amani ya utulivu ili kulinda umoja na maelewano yaliopo ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa.
   
 2. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  polisi hupajui? kama huimini polisi peleka taarifa zako JKU hilo ndo jeshi halisi la wazanzibari ukishindwa wajulishe UAMSHO nao watakusaidia.Unawalalamikia watanganyika kwa kuleta malalamiko Tangayika we vipi?
   
 3. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmmmmh! yani bado watu wanaiba kura duuh!
   
Loading...