Ofisi ya Tendwa inahitaji afisa habari

Mbwa Mpole

Member
Jul 18, 2012
11
1
Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi Tendwa anavyoropoka ropoka katika vyombo vya habari, nikagundua mojawapo ya tatizo lake hana mtaalamu wa habari na mahusiana katika ofisi yake wa kumshauri nini ongee, angee vipi, ongee wakati gani na kwa nani.

Siku hizi wizara, idara, makampuni binafsi na hata taasisi nyngine huru za serikali zina mahafisa habari ambao husaidia sana kuweka mambo sawa kabla yajatoka hazarani.

Wakati wa mgomo wa madaktari maafisa habari wa hospitali ya Muhimbili walisaidia sana kuweka vizuri habari za mgomo na kuwaunganisha waandishi na hospitali ya Muhimbili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom