Nimepita Mnazi Mmoja na Kukutana na Bango la sherehe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepita Mnazi Mmoja na Kukutana na Bango la sherehe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inaniuma Sana, Sep 15, 2012.

 1. I

  Inaniuma Sana Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti tunakaribishwa katika sherehe fupi ya kumpongeza Migiro. Mpaka sasa nimeshuhudia mabasi matano yaliyobeba wanawake wa CCM kuwapeleka huko viwanja vya mnazi m1
   
 2. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Anapongezwa kwa lipi kubwa alilofanyia nchi hii akiwa huko UN. kweli magamba majuha.
   
 3. I

  Inaniuma Sana Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna m2 kanitonya eti anasimikwa kwa ajili ya maandalizi ya kugombea urais 2015. Gari aina zote zipo: STK, SU, T
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,702
  Likes Received: 12,752
  Trophy Points: 280
  Sielewi kwanini ana pongezwa!
   
 5. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Huyo si kafukuzwa UN kwa sababu hakuwa na tija katika UN
   
 6. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Police kamata hao wanatumIa magari ya serikali kwa shughuri isiyokuwa ya kiserikali na ni weekend. watuambie wanatumia cost code gani kwa hayo magari kwa sherehe za kichama kama hizo.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,788
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Timuliwa UN pokelewa kwa mbwembwe.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huyu mama alitimuliwa na BAN kutokana na uzembe sisi tunamuona mfalme
   
Loading...