Land will remain to be owned by Tanzanians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Land will remain to be owned by Tanzanians

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fabiannduru, Sep 15, 2012.

 1. f

  fabiannduru New Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  “Land will remain to be owned by Tanzanians themselves by 100 per cent. We will do our best to protect the national interests,” haya ni matamko ya Chairman, Mr Adam Kimbisa mwakilishi wa Tanzania katika bunge la Africa mashariki ( East African Legislative Assembly).

  [FONT=&amp]The Community shall have the capacity, within each of the Partner States, of a body corporate with perpetual succession, and shall have power to acquire, hold, manage and dispose of land and other property, and to sue and be sued in its own name” haya ni maandiko kutoka katika Treaty for the Establishment of the East African Community, Article 4 sub-article 1[/FONT]

  [FONT=&amp]Swali langu kwa watanzania wote; hivi huyu bwana katamka maneno hayo akiwa na ufahamu wa maandiko yaliyo katika article niliyo itaja hapo juu ? kwa maana , kama Community inauwezo wa kuchukuwa ardhi na kuishikilia , ni vipi anaweza kusema kwamba ardhi ya Tanzania itabaki kuwa ya watanzania? Na tunajuwa kuwa The community” nimuungano wa nchi wanachama katika Africa Mashariki ? [/FONT]
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hebu fafanua vizuri, hata mimi nimepotea.
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Wewe ndio hujaelewa. Ukiambia shirika au kampuni linaweza kuacquire land haimaanishi kwamba kampuni hilo lina mamlaka ya kaumua juu ya ardhi ya nchi hiyo, ila litaacquire land kulingana na sheria za nchi husika.
  Hata kampuni ya kichina ikija inaweza kupewa ardhi kwa ajili ya uwekezaji kwa kufuata sheria zilizopo.
  Sheria ukizisoma nusunusu zitakusumbua sana...
   
 4. m

  mkazi Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aren't Tanzanians currently just being leased land?do we really own it?
   
 5. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nimeingizwa chakani
   
 6. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wow! Angalau naanza kuchomolewa porini nilikotupwa. Asante mkuu.
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Hizo kauli tu.... Wageni wanamenya kama yao

  Nalinganisha hii misimamo na ile ya kukomalia
  Kwamba huyu ni mke wangu tu wakati watu wanamega watakavyo
   
 8. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ndio mkuu umesema kweli. Kule kwetu Lindi, nke ni nke tu. Wanaokuja nnzalisha nke wangu ni vidume tu lakini watoto ni wa familia yangu. Sana sana wanaichangansha ndoa yangu. Hata walime kutwa kuchwa ardhi bado ni mali ya kwangu tu. Huo mfano wa nkeuliotoa njomba ndo unaelezea haswa mambo yalivyo. Wachina na waje wachine, lakini wakichina ardhi yangu haimaanishi ardhi yangu itageuka China. Nyumba ya kupanga sio yako mpangaji hata kama utazeekea humo na kupata wajukuu humo, ni yangu tu!
   
Loading...