Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dr. Kikwete wakati anahutubia mkutano wa wawekezaji huko Kenya nilimsikia anazungumza Kiingereza chetu kile cha kuunga unga, alipopewa nafasi balozi wa Kenya nchini Tanzania yeye akaongea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
September 12, 2012 BREAKING NEWssssssssMTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI AFIKISHWAMAHAKAMANI LEO IRINGA Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani Askari...
8 Reactions
267 Replies
28K Views
1995: NCCR Mageuzi ikiwa kileleni na kukubalika kwa wananchi....ccm walisema ni chama cha kikabila na blah blah kibao....hadi hii leo NCCR haina mvuto tena. 2000-2005: CUF ikiwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
BREAKING NEEEWS……JEMBE LA WIZARA YA MADINI AANZA KUFANYA KWELI Leo hapa Dodoma tumepata vitu vizito kwenye press conference ya Waziri Masele. Amezungumzia yule mzungu aliyetajwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari kutoka mkoani Iringa zilizoripotiwa na mwandishi maalum wa mtandao huu wa francisgodwin blog Kutoka mjini Iringa zinadai kuwa tume iliyoundwa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
  • Closed
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imemsimamisha kazi na itamchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Idara ya Utafiti, Tathmini na Huduma za Kompyuta, Joseph Mbowe baada ya uchunguzi kubaini kuwapo...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
  • Closed
Katika pitia pitia ya leo ya gazeti la Mwananchi, Tarehe 14 September 2012, nimekutana na habari hii ukurasa wa 8. Habari yenyewe kwa kifupi ni kam hivi, " Chama Cha CDU kimeelezea kushangazwa na...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakuu hebu jisomeeni muone CCM walivyoanza kuparangana wenyewe kwa wenyewe. Waandishi Wetu MBIO za uchaguzi ndani ya CCM zimefikia patamu, baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...
1 Reactions
105 Replies
55K Views
  • Closed
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo. Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt Willibrod Slaa alisema hayo jana...
11 Reactions
221 Replies
18K Views
HATIMAYE Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, mkoani Tanga, Bi. Najum Tekka, juzi ametimiza dhamira yake ya kumfungulia kesi Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Mrisho Gambo, kwa madai ya...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
SAHIHI YAKO NI MUHIMU SANA HAPA; MAKAMANDA HII NI MUHIMU. Tafadhari fuata LINK hapo chini. Andika jina lako email na anuani yako. Kwa ambaye yupo Tanzania zip code weka 0000 na CLICK outside USA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
matembezi hayo yataanzia Buguruni malapa na kuishia viwanja vya JANGWANI. Yataongozwa Mkt Prof I. H. Lipumba na katibu mkuu wa chama ambae pia ni Makamu wa kwanza wa SMZ Maalim seif sharif Hamad...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, nimefanya utafiti kwa muda kujua maendeleo,au strategy za Bosi wetu mpya pale ATCL wala sijaona jipya! japo ni mapema naamini hili linataka majibu, na Mh. Mwakyembe atuambie kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Jumatatu niliweka uzi hapa kuhusu nini hasa kinachoweza kuwa nyuma ya pazia la vifo vyenye utata ktk mikutano ya Chadema. Mtumishi wa idara muhimu ya serikali alniambia kuwa kuna mkakati...
41 Reactions
138 Replies
13K Views
Wakuu Ni jambo la kusikitisha na kuuzunisha kwa baba au mkuu wa nchi kusafiri na kuacha nchi yake katika dimbwi la matatizo. Kwa habari nilizo zipata mkuu wa nchi yupo Kenya na mkewe amelakiwa...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Habari za kuaminika nimezipata sasa hivi kuwa Dr Kafumu amelazwa hapa Hospitali ya Nkinga mission baada ya kupata ajali wakati akitokea Tabora kukata rufaa ya kupinga hukumu ya kuvuliwa...
0 Reactions
111 Replies
13K Views
Naomba nianze kwa kuazima maneno ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam Ndugu, Alexander B. Makulilo kwenye moja ya makala yake kwenye gazeti la Mwananchi julai 23 2011, Taasisi yote ile kama...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania: time for a SWF August 2, 2012 | Ruona Agbroko Impeccable timing. That's the only phrase that can describe this week's...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
HOJA: JE ni kweli vijana wamekuwa wakitumika kama madaraja katika siasa hapa nchini? UPDATE: ANASEMA ANAWAHUKURU SANA VIJANA WENZAKE WALIOSHIKA NAFASI MBALIMBALI NDANI YA CHAMA KUWA...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Viongozi wa Arusha Press club tumeshindwa kuwaelewa. Tumekaa tukisubiria wote kufanya maandamani ya AMANI kupinga mauaji ya kikatili aliyofanyiwa daudi mwangosi. Tumeshangaa wamekuja na taarifa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom