Abas Mtemvu mbunge aliyesahau majukumu yake kwa wana Temeke...

king86c

Senior Member
Feb 4, 2012
127
42
Sina mengi sana ya kuongea ila hatujamuona jimboni tokea amechaguliwa na alitoa ahadi tele lakini hamna ata moja aliyoitekeleza je huu ni uungwana au uhuni?
 
Kuweni na subira akipata kamgao ka sakata la uda ndipo atakapotimiza ahadi zake.
 
Endeleeni kuchagua wasanii mvune usanii, bungeni kazi yake ni kuchekacheka na kupiga makofi.
 
Mimi nilimchagua mnyika nafarijika maendeleo nayaona kwa kasi ambayo Haijawahi kuonyeshwa na mbunge yeyote wa ccm aliyewahi kukamata jimbo la ubungo najivunia mbunge wangu bungeni ndiye anayeongoza kutetea hata majimbo yasio kuwa yake kwi! kwi! Kwi! Kwi!
 
sina mengi sana ya kuongea ila atujamuona jimboni tokea amechaguliwa na alitoa ahadi tele lakini hamna ata moja alilolitekeleza je huu ni ungwana au uhuni

Mimi nilimuona siku anahamasisha wajinga wa DSM waandamane kupinga nauli ya shilingi miatatu alizopandisha Dr. Magufuli na kumtambia magufuli yeye analijua jiji na wajinga wote waliomchagua hivyo atawahamasisha waandamane kupinga ongezeko hilo ila ongezeko la sukari kuuzwa 2500 hakuliona na mafuta kuuzwa 2200/ ilkuwa halali kuongezeka ila haramu kwa 300/=! Kazi kwenu
 
Sizungumzii kutoonekana jimboni kwake bali kuwakumbusha tu kwamba huyu Mheshimiwa ndiye hadi sasa anashikilia rekodi ya kuhama vyama. Chama ambacho Mtemvu hajawahi kujiunga nacho ni kile tu ambacho hakijasajiliwa Tanzania!
 
mnavuna matunda ya uzembe wenu wa au kuichagua ccm au kuchagua CDM na kushindwa kulinda kura! muendelee kugugumia hivohivo hadi 2015 mfanye mabadiliko!!
 
Mkome mnalalamika nini sasa? Kwanini msimchague Dickson Nghilly au mlikuwa hammuoni?
.
mzee wa njaa Hawakumuona mgombea kabisa ... wewe ulimuonea wapi?... kwanza mtu mwenyewe kampeni zake alipigia wapi? ... hata hizo kura alizopata ni bahati yake tu ... watu walimpigia kura si kwa sabababu alifanya kampeni ... ila ni kwa sababu walipigia CDM

... huyo jamaa hakufanya kazi ya ziada kuhamasisha watu wampigie ... kwa hili CDM ni wa kujilaumu wenyewe hawakujipanga vizuri kwenye kampeni ... na laiti wangepiga kampeni kidogo tu .. walikuwa wanachukua jimbo.

Wewe imagine ... mtu hajapiga kampeni alafu anapata kura zote zile alizopata .. Je kama angepiga Kampeni na CDM kuji-organise vizuri si angeshinda ... jimbo lilikuwa la CDM wazi kabisa ... cjui ni CDM kilimtelekeza mgombea au yeye mwenyewe hakuwa serious ... sijui

.. ila next time CDM ijipange vizuri ... jimbo ni lao .... wajipange vizuri tu!
 
matatizo ya huyu bwana yako wazi naomba kutoa hoja hatufai sisi wananchi hatuwezi kumtoa inauma kwa mazingira haya
 
Mie cikumchagua huyu Mlopelo kuwa mbunge.. Na wala cikuichagua CCM katika nafaci yeyote ya uongozi.. Kuna ciku alipita kwenye maskani niliokuwapo akasalimia na kuuliza kama kawaida eeh.. Baadae nikaona yamekuja masanduku mawili ya soda..! Ikabidi niwaulize washkaji wangu kama ndo mwendo wenyewe huu.. Wakaniambia wameshazoea.. Ciku akipita anauliza kama kawaida anawanunulia soda.. Aliwaahidi wakazi wa Temeke Kota angewasaidia kwenye madai yao ya nyumba dhidi ya Manispaa ya Temeke.. Hawajamuona toka wampe kura..
 
Unajua mpaka leo huwa nashangaa kwa nini jiji kama DSM CCM wanakwapua majimbo!
Ilibidi muoneshe mfano kwa watu wa Lindi na Mtwara kuwa CCM haikubaliki.
Sasa imekula kwenu maana baada ya kushughulikia kero za msingi za watu wake yuko bize na mambo mengine
 
mtoa mada nimependa uzi huu mna mana msanii huyu afadhal yake siioni yani kaiweka temeke on auto pilot! huyu jamaa nimemwonaga c mchapa kaz wa kweli na amezalliwa temeke hana uchungu na tmk haonekani wala hatumsikii anakula bata oysterbay! naseposema huyu jamaa c mtendaj kuna baadhi ya project zimechukua miaka tangu 07-11 ndo mradi ikamilike mfano visima vya maji na pesa ilikishwa toka na vingine mpaka leo havijazinduliwa vpo kiimagumashi ili watu wale kimyakimya! naposema haonekan msanii ni kwamba cjamuona kwenye kaguz za miradi yeyote tmk wala zinnduzi wala harambee isipokuwa ni za chama hapo nikimwulizia utaambiwa alikuwako, shughuli za maendeleo hayupo kabisa labda anaishia kwenye kamati! hataki kabisa kuonekana wala kutusemea wana temeke matatizo yetu!ujenzi wa barabara tmk umekuwa wa kuangalia watu wa kipato flani ama mtaa flan kuna wafanya biashara wenye pesa basi pande hizo ndo kila mara matengenezo! sehemu nyingine mpaka lami za kuingia majumbani barabara ambazo hazina umuhimu kutokana labda hazinufaishi raia walio wengi! utengezaji na ukarabat wa barabar ambazo zpo chini ya hamshauri umekuuwa ladba kujuana na usiofuata wingi mahitaj halisi ya watumiaji!mbunge yuko wapi!? yombo chafu barabara usiseme huko sijui kama kashafikaga ndan ya mwaka huu! tandika chafu viongoz wapo pesa za usafi zaliwa! hiyo rangitatu stendi kubwa kabisa mpaka lini! mtemvi plz usitudharau kiasi hiyo!
 
Anajua majukumu yake, mojawapo ni kunyoa pamoja na marehemu Kanumba pale magomeni. what else did u expect from him?
 
ananyoa vp na kipara yule,ndo maana masaburi alisema wanafikiri kwa kutumia makalio badala ubongo.
 
Sina mengi sana ya kuongea ila hatujamuona jimboni tokea amechaguliwa na alitoa ahadi tele lakini hamna ata moja aliyoitekeleza je huu ni uungwana au uhuni?

Mtamouna vipi nae hakai TEMEKE, Nenda kwake MASAKI utamuona, nyie si mlimchagua kufuata HISTORIA sasa mnalalamika nini, HAO NDIO CCM imekula kwenu
 
Ha ha ha nenda BM saloon pale anafanyiwa Scrub

Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
 
Back
Top Bottom