huyu mzee ndevu zimemzidi hana lolote. Nape na Mwigulu ndo wanabeba chama kwa sasa...yuko migombani alifikiri kapata kumbe kapatwa, NAPE ndio kila kitu CCM
Wakuu salaam,nataka nijue kinachoendelea huko chamani kwani naona kama nape ndio amekuwa msemaji,mfanya mikutano na kila kitu,nataka nijue alipo katibu wetu mkuu, jina nimesahau
Huyu Mzee ana busara sana,
hawezi kuharibu credibility yake kwa jamii kwa kusemasema ovyo ama kuupamba mzoga wa fisi (ccm)
kama hawamtaki wamtimue, ama vipi waendelee kumlipa kwa kukaa kimya. very interesting movie.
Wengi tulikuwa na mategemeo chanya na Wilson Mukama, lakini kwa sasa anapwaya vibaya, hasikiki wala kukipigia chapuo chama kama inavyohitajika.Wakuu salaam,nataka nijue kinachoendelea huko chamani kwani naona kama nape ndio amekuwa msemaji,mfanya mikutano na kila kitu,nataka nijue alipo katibu wetu mkuu, jina nimesahau
anaheshima gani, huyu si aliwai kuropoka igunga kuwa Chadema wameingiza makomandoo toka libya au siye jamani.?Huyu Mzee ana busara sana,
hawezi kuharibu credibility yake kwa jamii kwa kusemasema ovyo ama kuupamba mzoga wa fisi (ccm)
kama hawamtaki wamtimue, ama vipi waendelee kumlipa kwa kukaa kimya. very interesting movie.
.Mukama alilazimishwa tu kuingia kwenye ulingo wa siasa lakini jamaa ni kichwa sana. Atakuwa amechekecha na kuona kuwa ni bora akae kimya badala ya kubwabwaja majukwaani kama akina nepi na miguu.
chemba ndio anataka kuwania hiyo nafasiUmetumwa na Nape kupima upepo kama katibu mkuu anakubalika. Wajanja tumeishakushtukia.
Mzee wa watu anakula pensheni muanze kumrudisha majukwaani kumwaga pumba za makomandoo wa Igunga?? Muacheni apumzike nyie endeleeni na propaganda zenu uchwara. Naskia Said Mwema ndio anaandaliwa kumrithi Mukama!!
anaheshima gani, huyu si aliwai kuropoka igunga kuwa Chadema wameingiza makomandoo toka libya au siye jamani.?
.
Nasikia aliandika barua ya kujiuzulu ... amekataliwa ... na yeye kasusa (yupo kwenye mgomo baridi) ... hana moyo tena wa kufanya kazi yake
.