Zinahitajika saini 99,970 zaidi kuijurisha dunia mauaji Tanzania

baajun

Senior Member
May 19, 2012
199
6
Tafadhari fuata LINK hapo chini. Andika jina lako email na anuani yako. Kwa ambaye yupo Tanzania zip code weka 0000.

Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org

Lengo ni kuijurisha dunia kuhusiana na UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NA MAUAJI ya kikatili yanayo endelea Tanzani.

Hii ni nafasi yako kuijurisha dunia. Chini baada ya kusign panapo sema " why this important to you" weka ukiukwaji wa haki WOWOTE unao endelea TANZANIA, Iwe UFISADI, MAUAJI, UONEVU CHOCHOTE KILE AMBACHO SIO HAKI.

NB: KAMA SIGN ZITATIMIA KABLA YA WEEK MBILI. HILI SWALA LITAJADILIWA KTK KIKAO CHA UN KIJACHO IN 2 WEEKS NEW YORK.


http://www.change.org/petitions/gov...against-peaceful-demonstrators-and-journalist
 
Mbona hatukupata mlishonyuma wa ile petition iliyokuwa inaongelea kuhusu ati kuuzwa kwa pande la ardhi la serengeti?
 
If there is a way I can show respect to the blood of Mwangosi, it is through using each and every forum to make people react in the right way to make sure this will never happen again anywhere in Tanzania. Wewe ambaye hujasaini, au unaogopa kuwa utajulikana, ni vyema ukawa wazi kuweka hisia zako sasa kuliko kungoja bomu lilipuke tumboni mwako kwa uoga wako.

Ikiwa usiposaini utalipuliwa, na ukisaini utalipuliwa, jema ni lipi? For Mwangosi!!
 
Hamna faida yeyote, watu wanakufa syria kama mbuzi na hamna kinacho fanywa na UN. Hata kama malalamiko yenu yakifika kwenye kikao mnafikiri nini kitafanyika?
 
Hamna faida yeyote, watu wanakufa syria kama mbuzi na hamna kinacho fanywa na UN. Hata kama malalamiko yenu yakifika kwenye kikao mnafikiri nini kitafanyika?

Usije Bunju kabisa ni bora ukae hukohuko Sinza. Ukija Bunju tu tunakumaliza kabisa.
 
Kabla sijasaini naomba kuuliza kwa nia njema kabisa muanzisha huu uzi unaweza kutufahamisha ni nchi gani duniani walifanikiwa kwa njia hii ya saini.
 
nilivyoingia kwenye hiyo link sisiem hawaWell this is embarrassing…

We couldn't find the page you were looking for.

naanza tena silali hadi nipate kupiga kura hii
 
Back
Top Bottom