Mh. Ndesamburo awasili UK kuhutubia mkutano wa Chadema Milton Keynes !

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Mheshimiwa ndesamburo a awasili London
Leo rasmi kuja kuhutubia mkutano wa Chadema utakaofanyika jumamosi kuandika saa kumi jioni.
Mh ndesamburo pia atatumia muda huu kuhamasisha vuguvugu la mabadiliko M4C
Taarifa Hizi zimethibitishwa na Mwenyekiti wa TAWI chris Lukosi
 
kwani huko ulaya ndio wanapiga kura??kuna wakati chadema wanakosea tukisema tunasimangwa
 
Harambe ya kuchangisha Pesa Makanisani... hamuwezi kutubatiza watanzania Hata iweje....
 
Nabado, sijue magamba watahamka lini, umlizoea vyokunyonga eeeh...m4c africa itafuata!! morons!
 
Moto ukiwashwa ni kote kote hata iwe wapi ndio maana inaitwa M4C hata kama wakati wa kupiga kura hawatakuja lkn kumbuka kila mmoja wao ana watu wake back home na marafiki so atawahamasisha wapigia kura za ndio kwa chama cha Ukweli peoples Power
 
Kwani lazima iwe wachaga tu ndio waende Ulaya kufungua matawi au M4C ni movement for Chaga.
 
Moto ukiwashwa ni kote kote hata iwe wapi ndio maana inaitwa M4C hata kama wakati wa kupiga kura hawatakuja lkn kumbuka kila mmoja wao ana watu wake back home na marafiki so atawahamasisha wapigia kura za ndio kwa chama cha Ukweli peoples Power
Mabadiliko ya Libya yalianzia UK
 
kwani huko ulaya ndio wanapiga kura??kuna wakati chadema wanakosea tukisema tunasimangwa

Zile picha za Kikwete akiwa na tawi la washington na ufunguzi wa tawi alivyoenda Rage na mkampalaka Diamond kuwaburudisha wana sisiem unajifanya hujui? au ndio nyani haoni kundule na kuropoka tuu sababu ni cdm? chupi ikibana unabadilisha msilazimishe mtachubuka, haya.
 
Back
Top Bottom