Mkuu wa wilaya kumkwida Diwani mbele ya Waziri Mkuu.....

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
Je wanajamvi hii imekaaje Mkuu wa Wilaya kumkwida Diwani kwenye foleni ya chakula mbele ya WAZIRI MKUU, ni kujipendekeza au ni utendaji uliotukuka?

Hii imetokea kwenye moja ya ziara za PM Pinda. Chanzo cha vurugu zao hakijanaswa bado.
 
Je wanajamvi hii imekaaje Mkuu wa Wilaya kumkwida Diwani kwenye foleni ya chakula mbele ya WAZIRI MKUU, ni kujipendekeza au ni utendaji uliotukuka?
Hii imetokea kwenye moja ya ziara za pm. Chanzo cha vurugu zao hakijanaswa bado.

mimi hapana, labda wengine watakielewa.
Kwa kifupi MICHOSHO.
 
huyo dc atakuwa na tatizo upstairs chakula haiwezi kuwa chanzo cha kudhalilisha wengine shame on him.
 
Je wanajamvi hii imekaaje Mkuu wa Wilaya kumkwida Diwani kwenye foleni ya chakula mbele ya WAZIRI MKUU, ni kujipendekeza au ni utendaji uliotukuka?
Hii imetokea kwenye moja ya ziara za pm. Chanzo cha vurugu zao hakijanaswa bado.

anataka ukuu wa mkoa
 
huyo mkuu wa wilaya anapenda sana misifa sana Mpyesa nani asiyemfahamu? kwanza ni kichaa ubongo haufanyi kazi nakumbuka nilikuwa na fanya kazi kwenye shule moja ya wazazi ya ccm alikuwa akija pale shuleni tukiitisha kikao anaanza kutusalimia kidumu cha majambazi. halafu anasema wewe hata iweje maadamu uko kwenye shule zetu lazima useme kidumu nilikuwa na mshangaa sana. lakini muda ulipofika watu walitawanyika
 
Ni machungu ya kukosa ubunge yaliyosababishwa na CDM, kwa hiyo anapoona mwana CDM yeyote anajua ndo walewale, anakumbukia presha ilivopanda kwa jinsi alivokuwa anaendelea kupata matokeo ya uchaguzi na kujiridhisha kuwa mr. II hatimaye atakuwa mbunge na si yeye. Kwa hiyo bado anahasira na CDM. Tunachotakiwa kumfanyia sasahivi ni kuhakikisha wilayani kwake uchaguzi ujao wa 2015 tunashinda viti vyote ikiwa ni udiwani na ubunge.
 
Back
Top Bottom