Mkutano CDM Usa-River 15.09.2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano CDM Usa-River 15.09.2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emashilla, Sep 11, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DSCF4205.jpg
  Power! Upo hapo?

  MKUTANO MKUBWA WA CHADEMA SIKU YA JUMAMOSI 15 SEPTEMBA, 2012 PALE MJI MWEMA USA-RIVER KARIBU NA LEGANGA SHULE YA MSINGI. Kamanda Dogo Janja na Makamanda wengine na sisi makamanda wa anga za chini tupo kwa kuvua na kuchuna magamba kwa kwenda mbele hadi kieleweke.

  TUMA UJUMBE HUU KWA WANANCHI! ASANTE.

  Source: Kamanda Paul, S.T.
  Kaimu Mwenyekiti wa Kata, Usa-River
  Meru, Arusha, Tanzania

   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  una tamani jambo jema fanya uamuzi sasa!
   
 3. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Vua Gamba mkuu lita kupasua!..
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hakikisha mna vbali vyote vya mkutano maana huko kwenu ndiko kule SSM inaogopa kama koboko.
   
 5. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  View attachment 64625
  Tunawaelewa vema. Huku tulikwisha wadhibiti kiasi cha kutosha.Wananchi hudhurieni kwa wingi maana vibali tayari vipo mkononi. Makamanda wa ukweli hatufanyi bahati nasibu katika vita vya kuvua magamba magumu na makavu yaliyoganda katika miili ya wazalendo wenzetu! Karibuni mshuhudie mikutano ya amani meru
   
 6. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DSCF4208.jpg
  Mkutano mkubwa Kiwanja cha Magadirisho Sokoni(11.08.2012)
  KIBALI HIKI HAPA(ARM/B.5/33):

  "Kibali kimetolewa cha kufanya mkutano wa hadhara katika Kiwanja cha sokoni MjiMwema kata ya Usa-River tarehe 15/09/2012 kuanzia saa 07:00 Mchana hadi 12:00 Jioni. Pia mzingatie muda mliopanga na mahali mlipoomba kufanyia mkutano huo..." Source: Polisi Arumeru, tarehe 10/09/2012

  Watu wote mnakaribishwa Mji Mwema kwa ajili ya Mambo mema na Demokrasia
   
 7. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapo ndo ninapowapendea makamanda
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu si alisema mkiendelea kufanya mikutano yenu ya M4C atakifuta hicho chama hamuogopi eeeeeh !!!!
   
 9. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We wish you allthe best. bt b carefull cuz sisiem are watching your back " they are planning to use police as usual.
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  hima hima maeneo ya Chama,Tengeru, Kwa fundi, Kilala, Makumira,Dannissh, Leganga Usa, Maji ya chai katiti, king'ori na kote tukusanyike kwenye hili kusanyiko kuu tukajue hatima ya ugawaji upya ardhi, maji, barabara, shule na afya kama kamanda wetu alivotuahidi wakati wa kampeni!!peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
   
 11. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MH.JOSHUA NASSARI KATIKA USHINDI
  View attachment 64693
  "CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)KATA YA USA RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA MAENEO YA JIRANI KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15-09-2012 KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MJIMWEMA KUANZIA SAA SABA MCHANA,MGENI RASMI NI MH. MBUNGE JOSHUA SAMWELI NASSARI, WILAYA ,KATA, TAWI,WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA KUENDELEZA VUGUVUGU LA MABADILIKO TANZANIA(M4C)"
  View attachment 64695
  (Mkutano Magadirisho,11.08.2012)

  BAADA YA KUPATA MAFANIKIO KATIKA KUVURUGA MATUMAINI YA VYAMA VINGINE IKIWEMO CCM HUKO KITONGOJI CHA MAGADIRISHO,USA-RIVER,ARUSHA,TANZANIA; SASA " VUA GAMBA VAA GWANDA" YAINGIA MJI MWEMA, ENEO LA SOKONI, KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI LEGANGA AU KUSINI KIDOGO YA USA-PLAZA.

  "PEOPLE'S POWER"
   
 12. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,269
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Pale Soko Mjinga, mji mwema kwa jiraniii
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Waanzie kwa Aboud Jumbe.
   
 14. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa! Kamanda.
   
 15. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Woga ni dalili ya udhaifu mkubwa! John Tendwa na wenzake wanaodai kukifuta CHADEMA ndio waoga. Lakini makamanda hatuogopi bali tunaheshimu haki na sheria halali za nchi.
   
 16. m

  melimeli maganga pau Senior Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)KATA YA USA RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA MAENEO YA JIRANI KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15-09-2012 KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MJIMWEMA KUANZIA SAA SABA MCHANA,MGENI RASMI NI MH. MBUNGE JOSHUA SAMWELI NASSARI, WILAYA ,KATA, TAWI,WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA KUENDELEZA VUGUVUGU LA MABADILIKO TANZANIA(M4C) “ VUA GAMBA VAA GWANDA“PEOPLE’S.POWER
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kanyaga twende Josh Nassary, tunatarajia kumng'oa Ole Medeye 2015 kwahiyo ni muhimu sana kuwaunganisha wananchi mapema iwezekanavyo.
   
 18. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  Hata kwenye kupigania uhuru vyama kama ANC, PAC n.k vilipigwa marufuku lakini viliendesha harakati zao tokea ugenini hadi kuwang,oa wakoloni hivo CDM hatuwezi ogopa maana chama kipo kwenye mioyo ya watu!!
   
 19. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  Patatosha??
   
 20. m

  melimeli maganga pau Senior Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makamanda kelele za chura hazimnyi tembo kunywa maji,m4c daima
   
Loading...