CHADEMA Kimara Mwisho wafunika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Kimara Mwisho wafunika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kkitabu, Sep 16, 2012.

 1. k

  kkitabu Senior Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeudhuria mkutano wa M4C wa Chadema walikuwa na watu wengi. Wamepata wanachama wapya. Kama haujajiunga jiunge sasa ili tuweze kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi. Asanteh
   
 2. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Picha talks mo than what u have presented here!
   
 3. Mhamiaji Haramu

  Mhamiaji Haramu Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm bye bye, wanangoja kuua watu tu siasa zimewashinda
   
 4. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nami nilikuwa kitaa hicho na hakukuwa na kiongozi wa kitaifa lakini funiko lake lazima CCM 2015 watapata tabu sana.
   
 5. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C mmetisha sana.... Mpaka KIMARA kimeeleweka....
   
 6. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Nawapa 5 majembe.
   
 7. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big up wote waliohama chama cha mabwepande.....
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Si kila mtu ana uwezo wa kupiga picha na kuzitundika hapa, wengine kama wanafanikiwa kutufikishia ujumbe inatosha, na wale ambao nafasi zao zinaruhusu kupata taswiras na kuturushia zitaongeza uzito.
   
 9. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kulikuwa na vijana wazalendo saana pale ilibidi tuzuie tuangalie kweli chadema kama ndivyo basi tutawaunga mkono hakuna matusi ni hoja tu mpaka mzee wa TANU 1 akarudisha kadi heko saana vijana mnaojitolea kwa kazi zile
   
Loading...