Kamati tendaji BAVICHA kuunguruma mjini Morogoro

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Aug 4, 2008
271
43
Wakuu nimepita kwenye viunga vya Morogoro na kukuta mabango yanayoonyesha kuwa KAMATI tendaji ya BAVICHA inakutana mjini Morogoro kwa siku tatu mfululizo.

Sijajua kuna nini ila nabashiri kuwa kutakuwa na kukuru kakara nyingi hususani JOHN HECHE Mwenyekiti na JULINA binti yule Makamu wake.

Kama kuna mtu anajua zaidi kinachoendelea ndani ya chombo hichi atujuze kwani vikao vya CHADEMA siku hizi vimekuwa na mambo ya kushtua sana.

Wabeja sana​
 
KUTOKA MOROGORO,

JOHN HECHE AENDELEA KUTUMIKA,NA KUWASALITI VIJANA..AWAMU HIII AMEAGIZWA NA WAKUUU WAKE AMKAANGE JULIANA SHONZA(MAKAMU MWENYEKITI BAVICHA-TAIFA) KWENYE KIKAO CHA BAVICHA MOROGORO.

Katika Hali ya Kendelea kuushangaza Umma wa Demokrasia Tanzania,Mwenye Kiti wa Vijana Taifa kupitia CHADEMA -JOHN HECHE kwa Taarifa zilizovuja mitandanoni na kwa wajumbe kadhaa wa Kikao cha Vijana Morogoro kuna Taarifa za wazi na za uhakika kabisa John Heche ameagizwa ahakikishe Juliana Shonza anaambikwa msalabani huko Morogoro kwenye Kikao Cha BAVICHA kinachoendelea.

HOJA AMBAZO WALA HAZIANA MASHIKO,WALA MTAZAMO WA KISIASA ZAIDI YA CHUKI TOKA KWA KIKUNDI FLANI NDANI YA CHADEMA JUUU YA VIJANA WANOONEKANA KUWA HAWAPO TAYARI KUTUMIKA KAMA MANG'OMBE NDIZO ALIZOAGIZWA HECHE NA VIJANA WENZAKE WA KAZI WAKAMSURUBISHE JULIANA SHONZA

HOJA AMBAZO ZIMESHAVUJA MITANDAONI,AMBAZO HECHE AMEKABIDHIWA KWENDA NAZO MBELE YA JOPO LA WAFUASI/WATUMISHI WALIOPIKWA NA DR.SLAAA NI HIZI.

1.KWANINI JULIANA SHONZA ANAMSAPOTI ZITO KISIASA?

2.KWANINI JULIANA SHONZA ALITOA TAMKO LA KUTETEA MASLAHI YA VIJANA TAIFA..ILI HALI NI KAZI WAZIRI KIVULI WA CHADEMA?

3.KWANINI HAMUUNGI/HAJAWAHI KUTOA TAMKO LA KUMUUNGA MKONO DR.SLAA KISIASA?

4.KWANINI JULIANA ALITOA TAMKO LINALOPINGANA NA HECHE,HATAKAMA HECHE ALIKOSEA..KWANINI NA JULIANA AKOSEE..NI LILE LA KUMSAPOTI SHIBUDA.

5.KWANINI JULIANA SHONZA ANAFANYA MIKUTANO YA CHAMA MBEYA,DR.SLAAM N.K BILA TAARIFA YA CHAMA(HAOMBI KIBALI KWENYE CHAMA)

6.JULIANA SHONZA AELEZE ANATOA WAPI PESA ZA KUFANYIA MIKUTANO YA CHAMA NA KUTOLEA MATAMKO.

Ndugu WATANZANIA hizo hapo juu ndizo Hoja ambazo John Heche amepewa na Dr.slaa + akamuhukumu Kiongozi mwenzake wa Vijana(Juliana Shonza).Pesa za robbing(RUSHWA) kwa wajumbe zimeshaanza kugaiwa Usiku wa KUAMKIA LEO kwa John heche na vijana wake kuzungukia Ma-hotel waliyofikia wajumbe ili wamsurubu Makamu mwenyekiti huyu wa Bavicha Taifa siku ya leo.

NIA AIBU KWA TAIFA,NI AIBU KWA VIJANA KUWA NA AINA HII YA DEMOKRASIA NDANI YA VYAMA VYA SIASA..JOHN HECHE ANALITIA AIBU TAIFA,ANATUSALITI VIJANA,ANATUMIKA VIBAYA.
Nawasilisha,kutoka Moro Mji kasoro Bahari.


 
Katika Hali ya Kendelea kuushangaza Umma wa Demokrasia Tanzania,Mwenye Kiti wa Vijana Taifa kupitia CHADEMA -JOHN HECHE kwa Taarifa zilizovuja mitandanoni na kwa wajumbe kadhaa wa Kikao cha Vijana Morogoro kuna Taarifa za wazi na za uhakika kabisa John Heche ameagizwa ahakikishe Juliana Shonza anaambikwa msalabani huko Morogoro kwenye Kikao Cha BAVICHA kinachoendelea.

HOJA AMBAZO ZIMESHAVUJA MITANDAONI,AMBAZO HECHE AMEKABIDHIWA KWENDA NAZO MBELE YA JOPO LA WAFUASI/WATUMISHI WA WALIOPIKWA NA DR.SLAAA NI HIZI.

1.JULIANA SHONZA NI MTANDAO WA ZITO?
2.KWANINI JULIANA SHONZA ALITOA TAMKO LA KUTETEA MASLAHI YA VIJANA TAIFA.?

3.KWANINI JULIANA ALITOA TAMKO LINALOPINGANA NA HECHE,HATAKAMA HECHE ALIKOSEA..KWANINI NA JULIANA AKOSEE..NI LILE LA KUMSAPOTI SHIBUDA.
4.KWANINI JULIANA SHONZA ANAFANYA MIKUTANO YA CHAMA MBEYA,DR.SLAAAM N.K BILA TAARIFA YA CHAMA(HAOMBI KIBALI KWENYE CHAMA)
5.JULIANA SHONZA ANAPESA GANI ZA KUFANYIA MIKUTANO YA CHAMA NA KUTOLEA MATAMKO.
6.KWANINI HAMUUNGI MKONO DR.SLAA?
 
Tatizo wapi. KAma ameweza kufanya hayo yooote anasubiriwa nini kutemwa.
 
USHUUZIIIIIIIIIIIIIII.sasa hata mkiamua kujitetea kabla ya tsunami kuweni smart basi.ningependa hako kamalaya kashughulikiwe.stop
 
Kuna haja gani ya kuweka mizengwe wakati slaa ni mwenyekiti wa chama?kama hoja hizo ni za msingi naamini juliana anaweza kuwekwa kiti moto na kamati kuu ya chama tofauti na staili hiyo unayotuaminisha.kwa kifupi siiamini kabisa habari hii.
 
Katika Hali ya Kendelea kuushangaza Umma wa Demokrasia Tanzania,Mwenye Kiti wa Vijana Taifa kupitia CHADEMA -JOHN HECHE kwa Taarifa zilizovuja mitandanoni na kwa wajumbe kadhaa wa Kikao cha Vijana Morogoro kuna Taarifa za wazi na za uhakika kabisa John Heche ameagizwa ahakikishe Juliana Shonza anaambikwa msalabani huko Morogoro kwenye Kikao Cha BAVICHA kinachoendelea.

HOJA AMBAZO ZIMESHAVUJA MITANDAONI,AMBAZO HECHE AMEKABIDHIWA KWENDA NAZO MBELE YA JOPO LA WAFUASI/WATUMISHI WA WALIOPIKWA NA DR.SLAAA NI HIZI.

1.KWANINI JULIANA SHONZA ANAMSAPOTI ZITO KISIASA?
2.KWANINI JULIANA SHONZA HAJAWAHI TOA TAMKO DHIDI YA MAOVU YA ZITO?
3.KWANINI JULIANA SHONZA ALITOA TAMKO LA KUTETEA MASLAHI YA VIJANA TAIFA..ILI HALI NI KAZI WAZIRI KIVULI WA CHADEMA?
4.KWANINI ANAONGOZANA NA VIJANA AMBAO SIO MTANDAO WA DR.SLAA,MWENYEKITI.
(Viajana Hao ni Mtela mwampamba,Habibu Mchange,Festo sanga,Ben Sanane,)
5.KWANINI JULIANA ALITOA TAMKO LINALOPINGANA NA HECHE,HATAKAMA HECHE ALIKOSEA..KWANINI NA JULIANA AKOSEE..NI LILE LA KUMSAPOTI SHIBUDA.
6.KWANINI JULIANA SHONZA ANAFANYA MIKUTANO YA CHAMA MBEYA,DR.SLAAAM N.K BILA TAARIFA YA CHAMA(HAOMBI KIBALI KWENYE CHAMA)
7.JULIANA SHONZA AELEZE ANATOA WAPI PESA ZA KUFANYIA MIKUTANO YA CHAMA NA KUTOLEA MATAMKO.
Sioni tatizo hapa, labda uchonganishi, CDM sio chama cha Zidumu Fikra za nanihii, magamba.
 
Hakuna hoja hapa naona ni majungu tu toka kwa haters wa Heche.
Hivi Shonza naye anaweza kumtisha mtu hadi kikao cha kamati ya utendaji Bavicha kiitishwe kwa ajili yake?

Inaonekana pia wasaliti wote wa chama sasahivi kimbilio lao imekuwa ni Dr. Slaa. Mtu ameshalikoroga inapofika zamu ya kulinywa anatafuta mbuzi wa kafara, ambaye ni Dr. Slaa!! Vijana chapeni kazi acheni kujirahisisha kiasi hicho...!!!
 
yaani hapa mambo yote haya, kama tuhuma hizi ni za kweli kwa nini asidhibitiwe na kuandhibiwa!!? naweza kufanya haya halafu akaachwa? no way!!
 
Bashir,

Naona kwa kuwa ulijua kutakuwa na kikao cha Vijana Morogoro, ukaamua kufungua akaunti kabisa. Nawashangaa mnatapatapa sana...
Maana mmefanya bidii ya kumchafua Heche kwenye mitandao ya Jamii na Dkt Slaa...Wahusika ni wale wale; WAHANGA WA UCHAGUZI WA BAVICHA : Nyakarungu, Mchange, Sanane..Bahati mbaya sana kwa kuwa majukwaa ya huko FACEBOOK mnayoyachagua yamepoteza credibility, mmeona mje huku kwenye jukwaa la wau wenye fikra pevu, weledi na wachambuzi wa mambo - JF.

Heche ataendelea kusonga mbele, hata kama mkifanya bidii za kumchafua yeye na Katibu Mkuu wa Chama (Taifa)
 
Kinachoendelea mchana huu nitawasilisha hapa mapema

Nahisi wewe ndio Juliana Shonza maana unatoa matamko ya kujihami ili usichukuliwe hatua kali kwa hayo makosa yaliyotajwa. Unatafuta JF sympathy, na huenda usiipate huku.

Kwanza Shonza na Zitto mbona hawaonekani kwenye M4C?
 
cdm chama changu!! mashushu wanaonekana tu hata kwa hali ya kawaida! heshima kwanza
 
Join Date : 13th September 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

KARIBU SANA JF Post3 out of 3, sitegemie post ingine kutoka kwako!
 
wapi tumaini makene aje hapa afafanue hii taarifa isije ikawa magamba wametunga!
 
yani hiyo agenda namba moja ndio imenifanya nione uzi mzima ni u.h.aro...ccm wanajaribu kutumia jina zitto hili kufarakanisha chama,that ain't gonna work,snitches watajitoa wenyewe cdm
 
Back
Top Bottom