Tanzania na ujerumani zasaini mkataba wa ushirikiano wa usafiri wa anga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na ujerumani zasaini mkataba wa ushirikiano wa usafiri wa anga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Sep 17, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145  • 17 September 2012

  [​IMG]

  Mh. Mwakyembe akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Ahmada Ngemera (kushoto) na Afisa wa Wizara ya mambo ya Nje Ali Ubwa
  Mussa (Kulia).[​IMG]


  Mhe. Waziri na ujumbe wake wakiwa katika maonyesho ya Sekta ya usafiri wa Anga mjini Berlin.

  [​IMG]


  Mhe. Waziri na ujumbe wake wakiwa katika Majadiliano na Uongozi wa Sekta ya Usafiri wa Anga nchini Ujerumani.


  [​IMG]


  Mhe. Waziri akiwa ndani ya moja ya ndege iliyokuwepo katika maonyesho hayo.


  [​IMG]

  Mhe. Waziri akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa ndege za Airbus nchini ujeruman (hayupo pichani) pembeni yake ni Mhe. balozi waTanzania wakiwa Berlin.


  Naibu Waziri wa Ujenzi Dkt. Harrison Mwakyembe na ujumbe wake wako nchini Ujerumani katika ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kutiliana saini mkataba mkataba wa Ushirikiano wa Usafiri wa Anga (Bilateral Air Services Agreement – BASA) baina Tanzania na Ujerumani.

  Akiwa nchini Ujerumani Mh. Waziri na ujumbe wake wametembelea maonyesho ya Kimaitaifa ya sekta ya Usafiri wa Anga yaliofanyika Berlin.
  Aidha kwa nyakati tofauti, Mhe. Mwakyembe na ujumbe wake wanakutana na wafanyabiasha na wawekezaji mbalimbali hususani katika sekta ya usafiri ikiwemo Anga, reli na meli.
  Baada ya ziara ya Ujerumani ujumbe wa wataalam aliofatana nao Mhe. Waziri utaelekea mjini The Hague nchini Uholanzi kwa ajili ya majadiliano mengine kuhusu usafiri wa anga.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Wanafanya ZIARA kula PESA za WALIPA KODI wa TANZANIA au ni kweli wanataka kununua NDEGE MPYA na kuachana na za KUKODISHA

  zinazovunjika Vioo kukiwa na UPEPO MKALI ? au MATAIRI ya Kizamani ?
   
 3. S

  STIDE JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ccm byona "BISHUMA!!!"
   
Loading...