kwa nini kila uchaguzi unalalamikiwa?tazama bububu

mateko

New Member
Feb 8, 2010
1
0
KILA uchaguzi unapofanyika, malalamiko hayaishi hata kama anayelalamika kushindwa ameachwa kwa kura nyingi sana.je, ni uchanga wa demokrasia? najaribu kuuangalia uchaguzi wa bububu zanzibar, tayari CUF wanasema watakata rufani.
 
Back
Top Bottom