Ni wiki ya kulia au kucheka,mahakama ya rufaa itakapoamua rufaa ya kamanda Lema

gagonza

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
309
98
kama mnavyojua wanan jf tarehe 20.9.2012 mahakama ya rufaa itahamua rufaaa ya kamanda lema,itaamiliwa na majaji watatu,naomba makamanda wa arusha mkipata muda tujumuike kwa wingi kumpa sapoti kamanda.
 
Nikusahihishe, si wiki ya kucheka au kulia ni wiki ya" KUCHEKA AU KUENDELEA KUCHEKA"
Maana ashinde kesi au asishinde tayari cdm imempa jukumu la kufanya kuzunguka nchi nzima kujenga chama,kazi ambayo ni mwiba kwa magamba.
 
kama mnavyojua wanan jf tarehe 20.9.2012 mahakama ya rufaa itahamua rufaaa ya kamanda lema,itaamiliwa na majaji watatu,naomba makamanda wa arusha mkipata muda tujumuike kwa wingi kumpa sapoti kamanda.

Inaamuliwa au ndio inaanza kupitiwa/kusikilizwa appeal ?
 
Nikusahihishe, si wiki ya kucheka au kulia ni wiki ya" KUCHEKA AU KUENDELEA KUCHEKA"
Maana ashinde kesi au asishinde tayari cdm imempa jukumu la kufanya kuzunguka nchi nzima kujenga chama,kazi ambayo ni mwiba kwa magamba.
Kwa sababu hii lazima ashinde kesi ili apunguziwe kasi ya kuvua magamba
 
Bunge, Mahakama na Serikali kuu kwa Tanzania tunashindwa kutenganisha mihimili hii. Ni ajabu pia la TANZANIA ukiacha Mt.Kili na mengine.
 
Mahakama ya Rufani husikiliza kwa siku moja au mbili kisha hutoa muda wa siku mbili au tatu kupitia Arguements na baadaye huwa wanaandika hukumu kwa kupigia kura vifungu watakavyoibua/vitakavyoibuliwa. Kwa hiyo siku hiyo siyo ya maamuzi (Japokuwa inaweza kuonyesha mwanga wa maamuzi kwa 40% kulingana na majibu ya hoja kadri zitakavyojibiwa na pande zote mbili.
 
Dawa ya mbwa mkali ili asidhuru watu ni kumfungia ndan ya banda.kupitia Lema ccm wamejifunza mengi sana yeye peke yake alivuliwa ubunge lakini kavuna wanachama kibao na kasambaza sumu kila kona ya mtaaa nina iman mahakama ya ccm itampatia Lema ubunge wake ili asiendelee zaidi kueneza sumu ambayo huwateketeza Inzi wa kijani.MUNGU MBARIKI GODBLESS LEMA,HI NI WIKI YA KICHEKO KWA CDM
 
Haki lazima itendeke,majaji waliteuliwa watumie taaluma yao ili waendelee kuheshimiwa out of that they w'd got shame
 
sina shaka na kurudishiwa kwake ubunge ili kulinda hadhi ya mahakama
kwani hukumu yake imeikosesha imani kubwa kwa wananchi
walidhani upepo utapita kumbe umewawakia,
mbegu waliyodhani itakufa ioze imezaa miche mingi zaidi
 
Hivi nchi hii kuna mahakimu? Mimi naona kuna wachumia tumbo tu ndo wako wengi. We miaka yote katima inaeleza mahakama ni chombo huru aafu bado wanafurahia kuteuliwa na mhimili mwingine, huo uhuru uko wapi? Pamoja na kukariri vifungu vyote,hayo hawayaoni?
 
CDM tuna kila sababu ya kufurahi; nje ama ndani ya bunge kamanda GL ni mwiba! wamrudishe bungeni akamuumbue PM na uongo wake wa waliyojili Arusha Jan 5, 2011! siyo rahisi lakini kwetu yote ni kheri!
 
Vyovyote iwavyo sisi ni Sherehe tu, mitaa tushahukumu siku mingi. Weka CCM v. Jiwe, Jiwe linashinda.

Hukumu mliipanga nje ya mahakama, na tulijua.
Sasa imewarudi inawakaang'a, Jombii anakimbiza Tanzania Na Dunia kwa M4C mnaanza kuona ni niaje mnataka rudi nyuma mfute mapicha picha yenu.


Lema aishinde asiishinde sisi hatuna kwere tunajua na kuwahakikishieni CCM jimbo hili hamkuwahi pendwa na hamtokaa mkubalike, Muulizeni RC,Chatanda na Polisi.

N round hii msije kimawenge bado tunakumbukumbu ya January Tano Last Year.
 
Back
Top Bottom