PICHA; Mkutano wa Chadema Milton Keynes, wengie wajiunga, Nani anasema ni chama cha kidini/kikabila?

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Jana kwenye mkutano wa Chadema Milton Keynes wanachama wengi walijiunga na hizi hapa chini ni baadhi tu ya picha za matukio hayo
More to come
TASWIRA MBALI MBALI ZA MKUTANO WA CHADEMA MILTON KEYNES



Written by haki | // 0 comments



Mzee+Makelele+akimkabidhi+kadi+mwanachama+mpya+dada+AZIZA.JPG

Mzee Makelele akimkabidhi kadi mwanachama mpya dada AZIZA.
Brother+Cobby+akijiunga+rasmi+na+Chadema.JPG

Brother Cobby akijiunga rasmi na Chadema.
Dr+John+Lusingu+akitoa+mifano+hai.JPG

Dr John Lusingu akitoa mifano hai.
Engineer+Prudence+akishusha+madongo+mazito.JPG

Engineer Prudence akishusha madongo mazito.
Mchungaji+Mathew+akimwaga+sera.JPG

Mchungaji Mathew akimwaga sera.
Mwenyekiti+wa+wanawake+akiwahimiza+akina+mama+kujiunga+na+M4C.JPG

Mwenyekiti wa wanawake akiwahimiza akina mama kujiunga na M4C.
photo.JPG


Mwenyekiti+Chris+Lukosi+akihutubia.JPG

Mwenyekiti wa Chadema-UK Chris Lukosi akihutubia.
Kamanda+Makelele,+Katibu+mwenezi+wa+moshi+mjini+aki+wapa+nasaha+viongozi+wa+Chadema+UK.JPG

Kamanda Makelele, Katibu mwenezi wa moshi mjini aki wapa nasaha viongozi wa Chadema UK.
wanachama+wapya+wakiwa+na+Makelele.JPG

wanachama wapya wakiwa na Makelele.Picha Zote na Chadema-Uingereza



Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
tn
 

Attachments

  • Mzee Makelele akimkabidhi kadi mwanachama mpya dada AZIZA.JPG
    Mzee Makelele akimkabidhi kadi mwanachama mpya dada AZIZA.JPG
    892.4 KB · Views: 147
  • wengi walijiunga.JPG
    wengi walijiunga.JPG
    889 KB · Views: 124
  • wengi walijiunga na chadema.JPG
    wengi walijiunga na chadema.JPG
    825.5 KB · Views: 93
  • Tomtom akipokea kadi ya uanachama.JPG
    Tomtom akipokea kadi ya uanachama.JPG
    845.4 KB · Views: 77
  • Kamanda Makeleel akitoa kadi kwa mwanachama mpya  Kamanda Msofe.JPG
    Kamanda Makeleel akitoa kadi kwa mwanachama mpya Kamanda Msofe.JPG
    875.2 KB · Views: 103
Kimbiza mwizi nje ndani bado huko uswiss wanakoenda kufisha mabilioni yetu....
 
Ukiangalia asilimia kubwa ya wanachama wanaojiunga na chadema UK ni kutoka visiwani, hii ni dalili kuwa na cuf tumeanza kuwabomoa
 
Back
Top Bottom