Kilicho nyuma ya madaktari kuomba radhi ni maagizo toka juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilicho nyuma ya madaktari kuomba radhi ni maagizo toka juu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Sep 18, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,368
  Likes Received: 8,388
  Trophy Points: 280
  Habari toka Ikulu zinasema kuwa mara baada ya tume ya usuluhishi kwenda kutafuta muafaka wa mgomo wa madaktari na namna ya kutekeleza kama ilivyo amuliwa na mahakama ya kazi. Mh Jk alitoa dukuduku lake la moyoni na akawaambia yafuatayo kama wanaipenda kazi na nchi kwa ujumla.

  1. Warudi kwa namna ileile walivyotangaza mgomo warudi na waombe radhi kwa kutumia njia ile ile waliotumia kutangaza mgomo.

  2. Katika kutangaza kutojihusisha na mgomo wawataje walio watuma kufanya mgomo. ( Mpaka leo CHADEMA ndo wanajulikana ndio walio sababisha mgomo.

  3. Wakiri kuwa wao ndo wakosefu na sio serikali kama walivyokuwa wanadai

  Kila mwananchi kwa akili zake changanya na tukio zima la mgomo na tafakari
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Waliotangaza ni madaktari njaazz
   
 3. k

  kilaboy Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Hilo la Chadema kuhusika umelisema wewe
   
 4. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Wanataka kutuaminisha kuwa walifanya mgomo kwa bahati mbaya, je, waliyokuwa wanayadai yalikuwa ya uongo? je, ni kweli huduma za afya kwenye vituo vya serikali imekuwa nzuri?

  Waende zao, kujibembeleza kwa Jk kumewashushia heshima, walikuwa mfano katika kutetea haki zao lakini wamejishusha chini, bado inakuwa hakuna aliyevunja rekodi ya TANESCO kipindi hicho ilitaka kubinafsishwa.
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Hilo la kuwalazimisha kusema ni CDM hapo ni kuwaonea kabisa!kwa nini kila kitu wanasema CDM?kwani ma Dr wote wanashikiwa akili zao na CDM?hilo ni dhaifu.
   
 6. B

  Bubona JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Njaa ni mbaya sana....!!!
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Cdm wanahusika vip kwenye mgomo jaribu kufafanua vizuri, maana naona kama kila mtu ana jaribu kunogesha habari yake kwa kutaja cdm.
   
 8. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,368
  Likes Received: 8,388
  Trophy Points: 280
  Kama hutaki acha
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kibaya sana kama mwanadamu asiyeheshimu dhamiri yake...
   
 10. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [/QUOTE]

  JK hoyee! JK Hoyee, safi sana JK, walijaribu madaktari wameshindwa, wamejaribu walimu wameshindwa, nani sasa ataweza? JK hoyee!
   
 11. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  ....[/QUOTE]

  Hawa madaktari ni hopeless,, bure kabisa. sasa interns walikuwa wanafuata mkumbo na si kwa akili zao. Ina maana walichokuwa wanadai sio haki, HOPELESS! Majidai yao ya UDAKTARI" yanawaaibisha mbele ya wanaharakati! Sasa wawalipe elfu 50 kwa mweiz si wameapa hawatagoma. She...z..
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  wamepewa shilingi ngapi kutoa tamko la kisaliti namna hiyo..na tusiwasikie tena wakilialia..njaa bwana
   
 13. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nijua tu kuna kitu nyuma yake kwa maslai wa watawala na sio wananchi. Wadanganyika.
   
 14. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,589
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Puuzia mbali madai yao, je vifaa vya kazi na dawa zimeshaletwa? kwani hivyo vinatuhusu Watanzania tusio na uwezo wa kupeleka wagöjwa India.

  Vinginevyo hata madaktari ni wasaliti kwa Watanzania kwa maana wameungana na watawala kutowajali Watanzania ila maslahi yao kwanza.
   
 15. s

  sambu JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Tusiwashambulie madaktari. Ni busara na uungwana kuomba radhi. Watanzania tunajua mazingira mazima ya mgogoro huo.

  Vilevile serikali pamoja na Rais nao wawe waungwana. Tension iondoke, kila mtu arudi kwenye ofisi yake atafakari upya maisha ya Mtanzania na maendeleo ya afya zetu na kuya address huku akimuogopa mwenyezi Mungu. Tanzania ni yetu sote na tusigombee fito kujenga nyumba yetu. Mungu Ibariki tanzania
  .
   
 16. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,475
  Trophy Points: 280
  [/QUOTE]

  Usijipe moyo kumbukuka nafsi zao zimejaa fedheha na hudhuni kutokana na jinsi serikali yao inavyowatesa.

  Kilichopo moyoni mwao kitajidhihirisha 2015.Wananyenyekea si kwa kupenda wala kutumwa na dhamira zao bali ni kwa kuwa hawana jinsi kwani Jk kashika mpini na wao wameshika kwenye makali.Hata hivyo,ubabe wa Jk ni wa muda tu kwani 2015 sio mbali.

  Mwisho ukumbuke kuwa CCM ikitoka madarakani hata Jk nae hatakuwa salama.

  Kumbuka orodha ya waliotajwa kuficha mabilioni uswisi.
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  haaswaa mkuu!
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  Kwa nchi kama Tanzania kazi ya udaktari ni wito lakini kwa jinsi nyingine ni utumwa, unataabika miaka nenda rudi lakini malipo yake ni kiduchu na mbaya zaidi husimamiwa na serikali.
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  wanafiki
   
 20. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  JK hoyee! JK Hoyee, safi sana JK, walijaribu madaktari wameshindwa, wamejaribu walimu wameshindwa, nani sasa ataweza? JK hoyee![/QUOTE]

  Unashangilia Kifo cha CCM mkuu. nadhani TIMAMU yako imepungua
   
Loading...