CHADEMA KUTOINGIA IKULU 2015(sis eem watafunga tena vyuo vikuuu wakati wa kupiga kura?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA KUTOINGIA IKULU 2015(sis eem watafunga tena vyuo vikuuu wakati wa kupiga kura?)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joan Joel333, Sep 18, 2012.

 1. J

  Joan Joel333 Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zifuatazo ni sababu za msingi ambazo kama hazitafanyiwa kazi ikulu hapataingilika,ieleweke wazi kuwa mm siipingi cdm ni mwanachama hia kabisa mpaka mwangu wa miezi 8 ana kadi ya cdm.


  1. Vjana wengi huwwa hawpigi kra kwani kwenye mikutano wanafika wengi sana lakini cku ya kura misururu mingi ni wazee, kama hili halitabadilika ikulu itakuwa ngumu kuipenda cdm bila kupiga kura ni azi bure,ivo bac ww kijana kura yako ni muhimu sana katka mustakabali mzuri wa taifa letu
  2. Kwenye kimarisha cdm mbowe slaa na makamanda wote ukifika wakati wa kujiandikaisha tena bac wotetendeni jamani ccm inakera mno


  3. ssem kuna tetes kuwa watawahujum tena wasom wa elimu ya juu kupanga tarehe ya uchaguzi wakat vyuo vikiwa vimefungwa kama walivyofanya 2005 na kujiandikisha itakuwa wakati vyuo vimefunguliwa ili wengi wajiandikishe halaf washindwe kupiga kura.
  tahadharri. wafanye wafanyalo 2015 lazima wazikwe.
   
 2. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Hii technique hawawezi kuitumia tena kwani iliwaumiza sana 2010, vijana wa chuo tuliokosa kupiga kura tulikuwa na kazi ya kutafuta kura zetu zingine zisizopungua tano kutoka kwa wananchi ili kuiokomoa serikali dhalimu, cc haiwezi kurudia tena hii kwani ni moja ya sababu iliyowafanya wapunguze kura zao
   
 3. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  mkuu edit mada yako. I like it
   
 4. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  kuna njia nyingi ccm wanazitumia ikiwemo hiyo hapo . hata hivyo chadema itumie uzoefu wake kuhakikisha hawapotezi kura za vijana vyuoni na ikiwezekana wahakikishe kila mtanzania mwenye sifa yakupiga kura anafanya hivyo pasipo na sababu za msingi...hii nipamoja na watanzania waishio nje ya nchi .
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Acha umbea na kutapatapa,kwanza wewe ndio hupigi kura ndio maana hujui wapiga kura.Arumeru waliopiga kura wengi walikuwa vijana na hapo vijana wengi walizuia baada ya daftari kutorekebishwa.2015 wote watakuwa tayari kwa mashambulizi.CCm wanachohofia ni upungufu wa askari na mambo mengine ya kuchakachua.

  Asilimia kubwa vijana wana vitambulisho vya kura kwa vile kitambulisho cha kura kimepata umuhimu sana kwa vijana wanaopigika mtaani.kuanzia kuchuku ahela hadi kuwekeana dhaman polisi na kahakamani.

  CCM watakuwa na kazi, CDm wamewadigest vizuri kwani wametega ngome imara ktk majiji na kanda zote za nchi.Siku hiyo hakuna kuazima askari nje ya mkoa.Na kila mbunge atakuwa akitete uhai wake kisiasa, mgombea urais wa ccm mwenye kupigwa vita na makundi naye hivyo hivyo.CCM watajikuta hakuan ujanja kwani resurces hazitotosha na mikoa iliyokuwa imelala kama moro ,dodoma, singida etc itakuwa na vuguvugu la k ufa mtu kwa hiyo askari wao hawatatoka kwenda saidia majeshi.
   
Loading...