Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha ya wabunge wa CCM (Sophia Simba na Esther Bulaya) wakimkumbatia Rose Kamili (Chadema) jana mjini Dodoma, ambapo Kamili amefungua kesi ya kupinga ndoa ya Dr Slaa na Josephine Mshumbuzi hiyo jana.
1 Reactions
165 Replies
17K Views
Hivi karibuni Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Leonidas Gama alisitisha safari ya Kigari, Rwanda ya madiwani wa Hamashauri ya Moshi.Hilo limeungwa mkono pia na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
RAIS wangu matukio yanayotokea nchini mwetu hivi sasa yanaihuzunisha roho yangu kiasi cha kufa! Ole wao, watesao na kuua mwili sasa kwa maana majira yaliyoamriwa yanawadia. Watakula majivu kama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchungaji Antony Lusekelo kwenye kipindi chake cha chanel ten usiku huu, kasema CCM ni chama cha ukombozi. Ameonesha kujipendekeza sana kwenye chama hiki. Aidha amedai mvua za el nino...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Jambo mojawapo ambalo mafisadi-CCM wanaliogopa na kila wakati linawanyima usingizi ni hatima na mustakabali wao baada ya kung'olewa madarakani. Wanahofia kuburuzwa mahakamani, kufilisiwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tayari taratibu za zabuni zimeshakamilika na mkandarasi anapaswa kuanza ujenzi. Manispaa ya Kinondoni imeshaweka alama ya "X" katika majengo ambayo yatapaswa kubomolewa kuwezesha upanuzi wa...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Haikunishangaza kuliona hili linatoke kwani matendo kama haya yamekuwa yakiendelezwa kwa kasi na kwa makusudi na upande wa Tanzania Bara (Tanganyika) leo inakuwaje Ublalozi wa United Republic Of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii nimekutana nayo kwenye chambuzi za gazeti moja. Kwa jinsi ccm inavyokosa mvuto ndivyo na huyu bwana anavyochanganyikiwa. Tazama kauli zake za hivi karibuni Alisema atavifuta vyama vyote...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni imani yangu kuwa CDM watashinda kwa ushindi wa kawaida katika uchaguzi mkuu ujao. Ushindi huu wa kawaida si dalili njema kwa CDM, na hasa ukizingatia CCM wanavyohaha huku na huku kutafuta namna...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Mkutano huu unatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Nishati na Madini Dr. Sospeter Muhongo. Dhamira ya mkutano huu inasema Transforming Tanzania’s mining and energy resources into wealth for...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama mlivyosikia kwenye vyombo vya habari kuwa MAHAKAMA ya Wilaya ya Chato, mkoani Geita, imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela, mwenyekiti wa kijiji cha Minkoto, Alphonce Kanungu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete Akutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Hui Liangya Rais Jakaya Kikwete akipeana Mkono na Naibu Waziri Mkuu wa China, Hui...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
1. Athari za uandikishaji 2010. Hakuna mabadiliko yoyote ni orodha ile ile ambayo wanachama wengi wa CUF hasa majimbo yenye nguvu hawakuandikishwa licha ya kelele zote zilizipigwa. Ukweli ni...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
:A S 465:Harison Mwakiembe VS Omar Nundu:A S 465: KAMPUNI iliyokuwa kiini cha mjadala na hatimaye kung'olewa kwa aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Omar Nundu, China Communications Construction...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbunge wa Iringa mjini-Chadema akihutubia umati wa wakazi wa Iringa mjini,waliofika kumsikiliza jioni ya leo katika viwanja vya soko kuu Iringa...
4 Reactions
47 Replies
7K Views
  • Closed
Bila shaka leo ndiyo kucheka au kulia tena kwa Wananchi wa Arusha Mjini. Jopo la Majaji likiongozwa na Jaji Mkuu linatazamiwa kutoa hukumu ya Rufaa ya aliyekuwa Mbunge wao kipenzi Godbless Lema...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakati wenzetu wa Kenya wanaimba nchi ya kitu kidogo.....Sisi wimbo wetu ni nchi yenye kitu chenye ncha kali. Sihitaji kusimulia mambo yote ya watu kuuwawa na kuonekana wamechinjwa au kuuwawa na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Mda si mrefu around saamoja kamili jioni hii kutakuwa na mjadala unaohusiana na wahandishi wa habari. Mada ya leo inasema.... Je ni kweli waandishi wa habari hutumika kwa maslahi binafsi...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais mstaafu BW Mkapa ametoa kilio chake cha kutaka heshima katika ibada aliyoalikwa mkoani DODOMA. Akiyasema hayo aligusia ni jinsi gani viongozi wastaafu wasivyopewa heshima stahiki mbele ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wed Sep 19, 2012 12:21pm GMT * Mozambique, Tanzania expect first gas by end of decade * Critics say basket of projects needed, not just LNG By Agnieszka Flak JOHANNESBURG, Sept 19 (Reuters) -...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Back
Top Bottom