Uchaguzi CCM: Waliopiga kura ya kumtoa Pinda kuadhibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi CCM: Waliopiga kura ya kumtoa Pinda kuadhibiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Filipo, Sep 19, 2012.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wale wote wa ccm waliopiga kura kwa Mh. Zito ili kupata uhalali wa kutoa hoja bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu watakatwa majina yao kati ya majina ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika chama hicho kwenye kikao kitakachoongozwa na JK!
  Source: Nipashe
   
 2. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ukweli daima utasimama, Pindisha ni kilaza
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,458
  Trophy Points: 280
  Sifa ya kukubalika CCM ni kuwa mnafiki tu.!!
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa! Hapo ni minyukano na visasi kwenye chaguzi badala ya uadilifu, uwezo!
   
 5. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  That's expected. Now remaining is the promotion of the hypocrites and the blinds.
   
 6. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,048
  Trophy Points: 280
  .....na JK kwa visasi namuaminia....
   
 7. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kuendelea kuishabikia, kuipenda, kuwa mwanachama wa CCM, ama uwe uko kwenye system au uwe na akili ya maiti au vyote viwili.
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu wa visasi mda wake wa kujidai umefika, watakoma, ila haya yote yana mwisho
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  filikunjombe amegombea nafasi yoyote ccm?
   
 10. KIBOKO MSHELI

  KIBOKO MSHELI Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kigwangala yu wapi na maamuzi yake magumu? kakimbia press conference? CCM wanafiki wengi sana!
   
 11. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Mi sio mnafiki so sina kadi ya CCM wala c mwanachama
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii itakuwa ni jambo la kheri kwa wale wate watakao ondolewa kwenye list ya kugombea. Kwa kukata majina yao, CCM wanaweka mstari kati ya wale wanaotetea maslahi mapana ya nchi na wengine ambao couldnt care less nchi inazama.
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hao ndio kawaida yao siku zote hawapendi watu wasema kweli,nijuzeni huyu Mh Chanji Lugola anagombea nafasi yoyote wakuu?
   
 14. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wakithubutu kufanya hayo wanayodhamiria mwisho wao utakuwa ni kabla ya 2015.
   
 15. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  acha porojo wewe? kipindi cha nyerere wangeachwa lakini si kipindi hiki. nadhani wangeanza na akina mwakyembe, sita, magufuli lakini mpaka leo wako kwenye cabinet.
  anyway, usijali wakiachwa watakamia chadema aka chama cha makapi ya ccm kama akina shibuda, slaa et al.
   
 16. andate

  andate JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  CCM kila kukicha wanajimaliza wenyewe, halafu wanatumia nguvu ya dola kulazimisha kukubalika. Inasikitisha kuona kuwa hawajui wafanye nini kurudisha imani ya watanzania kwa chama chao.
   
Loading...