Wahariri watunukiwa saccoss baada ya kuhamasisha maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahariri watunukiwa saccoss baada ya kuhamasisha maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Sep 19, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Taarifa za kiintelejensia kutoka vyanzo muhimu vilivyo karibu na Katibu wa Jukwaa la Wahariri VINAELEZA KUWA baada ya kukamilisha suala la maandamano yenye lengo la kuichafua serikali na polisi wahariri wamepewa kile kinachoelezwa kuwa ahadi ya muda mrefu kutoka kwa mfanyabiashara mmoja nchini na hivyo sasa kuwa na SACCOS yenye mtaji mkubwa na ambayo itatoa fedha zake kwa kutazama aina ya wahariri na mchango wao katika kufanikisha matakwa ya mfanyabiashara huyo ndani ya serikali na nje ya serikali yaani katikia upinzani.

  Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa hapa kwa sasa nawahi kibarua.
   
 2. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jana katika taarifa ya habari, kumeonekana Mtendaji wa IPP ambaye pia anamiliki gazeti la Nipashe ameamua kuwainua wahariri kwa kuwapa mamilioni ya shilingi wahariri ambao wanalipwa pesa nzuri na marupurupu mengine. Je kuna ulazima kwake kuwapa zaidi badala ya kuwasaidia waandishi ambao wengi wao hwana mbele wala nyuma.
   
 3. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pesa atafute yeye matumizi umpangie wewe....! watanzani bwana........haya subiri michango ya GT
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama zingekuwa ni pesa kutoka Serikalini ningepata la kusema, ila kwa kuwa ni pesa zake yeye mwenyewe(Mengi) then mwache aset priorities zake za matumizi kwa jinsi anavyotaka.
  Hata akiamua kuwapa akina Bakhresa, Ruksaaa.
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kila kitu kinatolewa kwa wakati muafaka. Kazi waliotumwa wamemaliza sasa wasipewe chao?
   
Loading...