PICHA: MWILI wa aliyekuwa KATIBU wa CCM Mkoa wa MOROGORO A.Kipangula; NAPE yuko Mazikoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: MWILI wa aliyekuwa KATIBU wa CCM Mkoa wa MOROGORO A.Kipangula; NAPE yuko Mazikoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Sep 19, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  [h=3]MWILI WA ALIAYEKUWA KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO ASHA KIPANGULA WAWASILI MKOANI IRINGA KWA MAZISHI[/h]

  [​IMG]

  Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Asha Kipangula

  [​IMG]  Jeneza likiingizwa nyumbani kwa marehemu mjini Iringa  [​IMG]  Naibu Katibu Mkuu wa CCM, John Chiligati akiagana na baadhi ya
  waombolezaji kabla ya mwili wa aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro
  Mayr Chipangula, kuondoka Hospitali ya Taiafa Muhimbili Dar es Salaam,jana asubuhi kupelekwa Iringa kwa ajili ya maziko.

  [​IMG]  Msafara wa kuupeleka mkoani Iringa mwili wa marahemu Asha Kipangula
  ukiwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro jana, ukitokea Dar es Salaam, ambapo
  kwenye ofisi hiyo ulisimamishwa kwa muda kutoa fursa kwa wana-CCM na
  waombolezaji wenmgine kuaga

  [​IMG]

  Muombolezaji akiangua kilio nyumbani kwa marehemu mjini Iringa

  [​IMG]

  Mmoja wa viongozi wa CCM akilia kwa huzuni baada ya mwili kufika Morogoro jana  [h=3]MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO ASHA KIPANGULA WAWASILI MKOANI IRINGA KWA MAZISHI[/h]

  [​IMG]
  Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Asha Kipangula
  [​IMG]
  Jeneza likiingizwa nyumbani kwa marehemu mjini Iringa
  [​IMG]
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM, John Chiligati akiagana na baadhi ya
  waombolezaji kabla ya mwili wa aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro
  Mayr Chipangula, kuondoka Hospitali ya Taiafa Muhimbili Dar es Salaam,jana asubuhi kupelekwa Iringa kwa ajili ya maziko.

  [​IMG]
  Msafara wa kuupeleka mkoani Iringa mwili wa marahemu Asha Kipangula
  ukiwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro jana, ukitokea Dar es Salaam, ambapo
  kwenye ofisi hiyo ulisimamishwa kwa muda kutoa fursa kwa wana-CCM na
  waombolezaji wenmgine kuaga

  [​IMG]
  Muombolezaji akiangua kilio nyumbani kwa marehemu mjini Iringa
  [​IMG]
  Mmoja wa viongozi wa CCM akilia kwa huzuni baada ya mwili kufika Morogoro jana
  [​IMG]
  Katibu wa CCM, Mary Chatanda akiangua kilio mwili wa marehemu Asha Chipangula ulipofikishwa nyumbani kwao Iringa jana jioni
  [​IMG]
  Sheikh Mohammed Kairo akiongoza dua, mwili wa marehemu Asha Kipangula uliowasili mjini Morogoro jana
  [​IMG]
  Nape akizungumza na baadhi ya waombolezaji mjini Morogoro. Aliyesimama ni Kada wa CCM, Asas
  [​IMG]
  Kiongozi wa msafara, LKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itiladi na
  Uenezi CCM, Nape Nnauye akijadiliana na baadhi ya viongozi mwili
  ulipowasili mjini Morogoro. Baadhi ya viongozi hao ni Kaimu Katibu wa
  CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda.Picha na Bashir Nkromo  Katibu wa CCM, Mary Chatanda akiangua kilio mwili wa marehemu Asha Chipangula ulipofikishwa nyumbani kwao Iringa jana jioni
  [​IMG]
  Sheikh Mohammed Kairo akiongoza dua, mwili wa marehemu Asha Kipangula uliowasili mjini Morogoro jana
  [​IMG]
  Nape akizungumza na baadhi ya waombolezaji mjini Morogoro. Aliyesimama ni Kada wa CCM, Asas
  [​IMG]
  Kiongozi wa msafara, LKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itiladi na
  Uenezi CCM, Nape Nnauye akijadiliana na baadhi ya viongozi mwili
  ulipowasili mjini Morogoro. Baadhi ya viongozi hao ni Kaimu Katibu wa
  CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda.Picha na Bashir Nkromo
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Katibu Mwenezi wa CCM yuleeeee; kawa kimya kweli...
   
 3. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,840
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Watu wanapowasambaratisha wengine Utumbo Vilevile wajue Kila nafsi Itaonja Umauti!! RIP Mama!!
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Viongozi wa ccm wanavyopenda msiba! Si ajabu wanavyosikia jeshi linaua watu!!?
   
 5. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  poleni sana wafiwa, wana ccm, ndugu ,jamaa na watanzania kwa ujumla. mungu ilaze roho ya marehemu malali pema peponi 'Aamin'
   
Loading...