Ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagwell, Sep 19, 2012.

 1. b

  bagwell Senior Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereni viongozi wa Nchi hii kwa kuonesha ari zaidi za kufanya maisha yazidi kua magumu na hogereni sana kutumia nguvu zaidi kwa kuua watu na hogereni sana kwa kutumia kasi zaidi ya kuwanyima Raia haki yao ya kuchagua kiongozi wanaemtaka(BUBUBU), mana nimeamini ule usemi wa hawa CCM kua Bila CCM Imara...............sawa nimeamini ila ipo siku mutajua kma sisi ni nani?.....mna tumechoka na udhalilishaji wenu tumechoka na uonevu wenu tumechoka na ahadi hewa tumechoka na kuuziwa ajira hewa tumechoka kuongozwa na viongozi wala rushwa tumechoka yaani tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Pole kwa uchovu mkuu
   
 3. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  umechoka!!! jipe moyo 2015 inakaribia.
   
 4. Msenyele

  Msenyele JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mungu yuko pamoja nasi, keshasikia kilio chetu mkuu!
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Karibu mgeni jamvini. Inaonekana utakuwa mlalamishi eeeeh
   
 6. m

  majebere JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mnalamu serikali kuhusu rushwa wakati watumishi wa hiyo serikali ndio nyie wenyewe, au watumishi wote katika hii nchi ni CCM. Hii ni tabia ya mtanzania, kazi haifanyiki bila kitu kidogo.
   
 7. m

  majebere JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Msenyele mungu hakuwasikia miaka 50 yote atakuja kuwasikia 2015?
   
 8. m

  muchetz JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 496
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Bagwell:
  Join Date : 19th September 2012
  Posts : 13
  Rep Power : 303
  Likes Received 4
  Likes Given 0

  Aisee kaka(au dada) pole na kazi. yaani leo umeanza na posts 13 tayari!!!! Na siku bado kwisha!!
   
Loading...