Navishangaa sana vyombo vya habari hasa magazeti yanayochapishwa na frreemedia. Hakuna haja ya kukuza kila habari inayotoka chadema hata kama ni tata. Leo hii wameandika eti chadema yamlima barua...
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wamemwandikia barua rasmi rais Jakaya Kikwete juu ya mwenendo wake wa kukaa kimya na kutochukua hatua yoyote kwa baadhi ya matukio yanayoonuesha kupangwa...
Katika kutoa maoni ya kuundwa kwa Katiba mpya tutake Tanzania pia iwepo Wizara ya Maadili kama ilivyo kwa wenzetu Uganda ambapo pamoja na mambo mengine itasimamia Maadili ya kiutendaji kwa...
Nimekuwa nikikusanya maoni toka jana ya M'badala wa uwanja wa NMC 'chadema square' baada ya kufungwa na serikali ya Magamba huku walio wengi wakipendekeza Uwanja ama eneo la wazi la Suye Masai...
Hizi safari za rais zimezidi sana,hakuna uwezekano hizi safari zichunguzwe au kuundiwa kamati/tume ili
kujua imeleta manufaa gani kwa taifa,au hakuna mamlaka inayoweza kufanya uchunguzi wa hizi...
Habari
Mary Victoria
Toleo la 259 19 Sep 2012
WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesema atahakikisha kampuni ya China National Gold Group Corporation (CNGGC) ambayo iko...
Nimeshangazwa na kitendo cha Dr.slaa kulisifia jeshi la polisi kuwa limeanza kuelewa maana ya majukumu yake kwa kutenda haki na kutowapiga wanachadema waliokamatwa kwenye sakata la viwanja vya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimwandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kikimuomba kuunda tume huru ya kimahakama kwa lengo la kuchunguza vifo vyenye utata vinavyotokea kwenye mikutano...
Kuna mtu amenipigia simu kuwa amesikia kuwa Godbless Lema ameshinda rufaa.
*wadau wa jukwaa hili nanyaro Ephata, Ndallo, Ngongo, Mungi, Ritz, Tume ya Katiba, Mzee wa Rula, and the likes tupeni...
Mwandishi wa Habari na Mtangazaji wa zamani wa TBC, Jerry Muro ( kushoto) akito salamu zake kwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji cha Bavicha Taifa iliyoketi Mjini Morogoro kuanzia Septemba 14 hadi...
Eti Mawakili Wasomi wanambishia Wakili Method Kimomogoro kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiwekwe upande wa Mh. Lema kwenye rufaa yake.
Kwani, Mahakama Kuu, AG alikuwa upande gani? Wa Lema...
sasa hivi ndo rais anaingia na msafara wa magari 12.polisi ni wengi, wametanda kuanzia high way hadi baharini. Tutaenda kujuzana kadli mda unavyo kwenda. mia...
A renowned University of Malawi historian Simbarashe Mungoshi says Malawi is poised to win the case in which it is tussling with Tanzania over the ownership of Lake Malawi if it maintains its...
haya ndiyo maneno ya JULIUS MTATIRO wa CUF NGANGARI kuhusu ishu ya madokta na serikali ya JK
"Kwa mtizamo na uzoefu wangu, walikuwa wanatengeneza sinema, kwa vyovyote vile kama serikali...
Hii nimeipata kwenye wall yake ya Facebook.
Uchaguzi mdogo wa Bububu: Mengi yamesemwa toka jana. Naziona hamaki na hasira, nazihisi hisia za kukata tamaa na kutafishika. Uchaguzi wa Bububu...
Rais aliyeingia madarakani kwa ahadi lukuki na kuwapa matumaini makubwa Watanzania kuwa na maisha bora!
Rais aliyeingia Ikulu kwa bwembwe kubwa na wafuasi wengi!
Rais aliyeunda baraza kubwa la...
Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.