Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Sep 18, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  najaribu kuwaletea kipande kwa kipande juu ya wanaojiita jumuiya ya madaktari walioathiriwa na mgomo ambao jana walisikika wakiomba msamaha.hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya social media za madaktari.
  check na hii hapa chini

  angalia sms ya bwana huyu(Dr sakwala) alivyokua jasiri .....
  Ni Sakala huyu aliyekuwa akibandika matangazo na kutuma sms za kuhamasisha wenzake wa Mwananyamala, leo anadai ameshawishiwa? Yani unagoma mara 3 kwa miezi 7 unasema umeshinikizwa?

  pia kuna hili linakuja...
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hao ni wa Mwanza tuwekee na wa Dar es Salaam na maeneo mengine.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  njia ya mwongo ni fupi na soon tutaujua ukweli ...
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mwanza kivipi?soma tena utaelewa mkuu.
   
 5. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Wasomi wengi wa Nchi hii ni waoga na wanafiki wakubwa...kisikia kunguru anakimbia nae anakimbia kuelekea asikokujua...Madaktari walisema huduma za afya ni mbovu hilo halina shaka wala huhitaji kuwa na PHD kulijua hilo...sasa ghafla hao hao jitu lingne linasema tunaomba msamaha tutatibu..sasa je vifaa tiba mlivyolalamikia vimeletwa?!! je wagonjwa sasa wanalalal mmoja kitandan au 4!! kama sivyo basi nyie ni wasomi njaa milikua mnacopy assignment za wenzenu mnafaulu kichwani peupeeee..ovyo kabisa,

  swali la kujiuliza ni watu wangapi wanapata Tiba stahiki hapa Tz?!! wakubwa na mafisadi wao waaenda nje huduma ziko safi na bora nyie mnakalia kupiga mayowe tukasema labda mtakazia mafisadi wanunue vifaa wote tutibiwe hapa kwa uzuri kumbe nyie nao hovyo kabisaaa...yaani wanafiki kama nyie mbingu mtaisikia tu..
   
 6. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Ukijiulizzza Ulmboka yuko wapi?!! alipigwa nusra auwawe, taja sasa kilichotokea na kama kweli ile No ya simu unaijua naye kakaa kimyaa sasa hiyo akili matope..wakati huo watu walimchangia akaenda kutibiwa nje kisa hapa huduma hakuna!!!
   
 7. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  CCM ikiendelea kudumu zaidi ya miaka mitatu ya kikatiba madarakani....Tanzania itakuwa historia tu kwani tumechoshwa na uzalimu wake.
  Ukienda muhimbili leo dawa hakuna na wagonjwa hawahudumiwi ipasavyo na madaktari.Kama msamaha umeombwa kwa dhati ningeshangilia sana ila wale wachache wametapeliwa na wanyama wa ccm na pia si wazalendo kwani hata historia zao zina mashaka
   
 8. Electron

  Electron Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh teh........ mwizi akikiri ameiba kinachofuata ni hukumu" hapo ina maana madaktari walioomba msamaha imekula kwao?
   
 9. t

  thinktank Senior Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni uamuzi wa busara. Mnaowachachoea kugoma nyie mmekaa na vibarua vyenu na mnaendelea na maisha yenu kama kawaida. Ni nani kati ya wana JF ameshafuatilia au hata kutoa msaada kwa hawa vijana wa vijana wa interns tangu wagome na kufukuzwa vibarua. Wote ni wanafiki mnasubiri kuja kuchangia JF kuwashinikiza waendelee na msimamo wao huku nyie mnaendelea na vibarua vyenu. Tunawapongeza wameliona hili na kuchukua hatua stahiki. Nani humu ndani alishawatafuta na kuwapa hata senti kama kweli tunawajali?
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Duuuuuuh walitekeleza maagizo

   
 11. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hivi si ndiye huyu Paul Swakala, aliyesema ameahidiwa ukuu wa walaya au siye huyu?..matatizo tupu huyu kijana!
   
 12. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo sasa inaonekana hata Ccm huyu bwana haijui na yeye anataka kutuambia hata waliompiga ulimboka atakua anawafahamu na alifurahishwa na hicho kitendo maana viongozi wote wa serikali na ccm ikiwa ni pamoja na wabuge wao walishangilia sana mfano mzuri ni stell manyanya mabovu na lisura lake kama mzibua vyoo alishadadia sana kupigwa dr.ulimboka....Lawama zangu kwa ulimboka maana ukimya wako na jinsi taifa lilivyopiga keelele ili haki yako yako ipatikane ikiwa ni pamoja na kuwaadabisha wahusika ambao tunajua wanatoka ikulu umetuvunja nguvu na kibaya zaidi mtakungutwa zaidi na sasa umeonesha kwamba hata kama mtanyanyaswa kiasi gani hamstahili huruma wala msaada toka kwa watz na nasikitika nilichanga zaidi ya 70,000 ili upone na kuendeleza mapambano lkn umenikatisha tamaa sana wapoti!!!!Siwaamini na siwapendi tene madr.Liwalo na liwe
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Safi sana wanazidi kuumbuka kumbe ni ccm bhana!

  Nilitaka nishangae ccm kutotoa maagizo ya kuomba msamaha.
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280

  Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana...uamuzi wa busara ni kugoma kama unasababu ya msingi ya kugomea kama huna gloves, huna nyembe na wagonjwa wamejaa hadi chini ww unatibu vipi hao wtu,kibarua sio kila mtu ameajiriwa, mwanaume husifiwi kwa kuajiriwa unapiga kazi sio kusubiria uletewe...ovyooo
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hakuchochewa mtu bali walikaa chini na kuafikiana na mmoja wa wahamasishaji wa mgomo mwananyamala ni huyu aneyeomba msamaha leo.
  au ndio tuseme alitumwa kuchochea mgomo ili baadae auzime na kutoa credit kwa watawala??
   
 16. t

  thinktank Senior Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  langei Kila kitu kina mwisho wake. Nadhani wamechambua faida na hasara ya uamuzi wao na kubaini kuwa kuomba msaada ndiyo njia mwafaka ya kuendelea na maisha. Hao kina Slaa wenyewe waliowachachoea hawajawasidia hata senti. Hata mashabiki wa migomo hapa JF hawana msaada wowote kwao. Kumbuka hawa vijana nawao wana malengo na ndoto zao. Wameamua kuweka siasa chini na kuamua kukubalina na hali halisi. Na huo ndiyo uungwana. Tunaojidai kuwalaumu tujiulize sisi binafsi tumewasaidiaje tangu wapoteze ajira zao zaidi ya kushinda tunapost hapa JF tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Kwanini Pro-CDM wengi hawakupendezwa na kitendo cha kijasiri cha madaktari kuomba msamaha?
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nimeelewa mkuu mwanzo uliweka habari nusu.
   
 19. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Well said mkuu!
   
 20. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa hoja zako si tu naona uhafifu wa kufikiri bali hata nadhani hujawahi kufikiria maisha yako yote.
   
Loading...