Ama Kweli nimeamini kuwa mkoa wa Tabora ni shamba la Bibi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ama Kweli nimeamini kuwa mkoa wa Tabora ni shamba la Bibi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfred Daud Pigangoma, Sep 19, 2012.

 1. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi najua mtakumbuka historia ya kisiasa kwa upande wa viti vya Ubunge ilivyo na inavyotakiwa iwe na viongozi wa MAGAMBA kana kwamba Tabora hakuna watu wenye akili na uwezo wa kuongoza.

  Kwa upande wa jimbo la Igunga baada ya pacha moja kujivua, alipelekwa Dr. Kafumu ili ashike nafasi huyu alitoka mji ambao hata mtoto mdogo wa Kichina ukimuuliza kuwa anapenda kuishi wapi atakujubu Dar es salaam tena ataongeza Kariakoo.

  Baada ya Mwenyekiti wa Simba kuonekana kushindwa kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, wamejitokeza baadhi ya vijana maalufu kama wazee wa fursa "OPPORTUNISTS" na kuanza kutangaza nia kabla hata Mzee wa Msimbazi hajatamka kama hatogombea tena au ndo niseme ila bastora imechafua mazingira ya yeye kuwania tena au!

  Hivi karibuni mwandishi wa habari Maulid Kitenge amenukuliwa akisema anampango wa kwenda kugombea ubunge Tabora mjini navyojua hawezi kupanda chopa za M4C, kwa kuwa kituo anachofanyia kazi ni TBCMM hivyo lazima atajitumbukiza kwenye msafala wa mazishi ya ndugu yao CCMabwepande.

  My take.
  Huyu Maulid Kitenge asizani Tabora bado kama kituo chao cha matangazo kinavyoudanganya umma. Kwa sasa watu wameamka kama kazi ya uandishi imekushinda imba ata taarabu utatoka tu, mbona Mzee Yusuph kafanikiwa!
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ooh! aisee. hana haki ya kutangaza nia, hata wewe ruksa mkuu.
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Si Tabora tu bali Tanzania yote. Ni shamba la Kikwete, Salma na mafisadi wengine.
   
 4. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Point of correction mkuu...Maulid Kitenge yupo ITV sio TBCCM
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kajipange upya kitenge hatangazi tbccm, yupo itv
   
 6. b

  bagi JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 812
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  we pointless,kitenge yupo itv.
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tabora ndo mkoa bogus kuliko yote Tanzania, wanachojali kule ni ngono tu na uchawi, kucheza bao na kunywa kahawa huku wakipiga soga za kudanganyana na kuuziana uchawi vibarazani. wewe watu wa akili gani wanamchagua Rage kuwa mbunge, mtu ambaye ni mwizi alishawahi kaa ndani kwasababu ya wizi, kila mtu anajua, au hawakupata ushauri kwa ndolanga? pia ni msomali waziwazi mwenye tabia za kisomali za kikatili na kuonyesha kwamba yeye anamiliki silaha kwenye mkutano? alikuwa anataka kumaanisha kuwa ccm wataingia vitani kama somalia kwa babu zake au alitaka nini? au anafikiri watz wako kama wateka meli?....akili za watu wa Tabora wanajijua wenyewe, ndo maana wako nyuma kwa kila kitu.
   
 8. t

  tenende JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ukiipenda Tanzania utafurahi saana ukiona watu wengi wanatangaza nia. Hii ni ishara kuwa ukombozi wetu umekaribia!.. Naamini Maulid wa kitenge ni muelewa, mtu makini, anayejua siasa za nchi yetu!. Anaweza kufanya vizuri zaidi akiingia CDM!. Mimi nitafurahi sana kama majimbo yote nchini na kata zote zina pilika za kisiasa na watu wanajitokeza kwa wingi kung'oa mafisadi!..
   
 9. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mweeeh!
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Siasa bila kupitia JF haiwi siasa. Kwa hiyo Tabora ina haki miliki ya mtu? Kuna ubaya gani mtu kutangaza nia? Mbona Rage alitangaza nia wakati uleee Prof. Mgombelo akiwa bado mbunge na Rage akaanzisha Radi Tabora na kununua vidaladala kibao kujitangaza. Bahati mbaya yakamkuta ya kumkuta akaenda Segerea akshindwa kugombea. Watu watangaze nia mapema ili tuwapime siyo mtu anakurupuka hatujampima anaukwaa ubunge kisha anarudi dar kuniwakilisha. Wajitokeze mapema tupate muda mrefu wa kuwapima na kuwajua manake kama mtu ni muongo na mnafiki itakuwa vigumu kuficha uongo na unafiki wake kwa muda wa miaka miwili.

  Nakaribia kutangaza nia katika jimbo fulani. Nasubiri kurekebisha mambo fulani kisha nitangaze niwape wapiga kura muda mzuri wa kunipima.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kitenge anajua zaidi michezo ndio maana ni Mjumbe wa BMT. Atoke Rage (Simba) aingie Kitenga (Yanga)!
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  yaani kati ya watu ninaowadharau hapa duniani, mmojawapo ni maulid kitenge. nikimwangalia hadi huwa namwonea huruma. kijana mdogooo anakuwa na akili ya kiarabu?hahaha, ameoa mamama hayooo sijui atakuwa amefikia manawake matatu?..katika dunia kama ya leo hata kama dini inamruhusu jamani, mitara ni ushamba na urugaruga. nikimwangalia huyu mtangazaji wa michezo ITV na radio one ambaye hana hata shule kichwani, huwa namwonea huruma sana...nafikiri waandishi wa habari jiandaeni kupelekwa shule woote kwa nguvu siku lowasa akishika nchi, kwasababu aliahidi kufanya hivyo ili tuwe na watu ambao wapo kwenye 21st century, na ambao wakienda bungeni wanaweza kutuwakilisha. sasa kitenge ataongea nini pale? atashabikia yanga yake?hahaha au anafikiri bungeni ni mahali pa kutafuta mke wa tatu au wa nne?...hahaha, ajabu ni kwamba, wabunge wengi wa tz wako kama yeye so bunge letu limejaa vilaza.
   
 13. T

  Tukopampja Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wakati umefika,kama wewe hauishi maeneo hayo, hata kama ni mzaliwa basi ujue umepoteza haki ya kuwa mwakilishi.Afadhali tumchague Mwl.mkuu wa shule moja ya msingi, tena mzaliwa ataweza kutufanyia kazi vema maana wanaelimu ya kutosha siku hizi.Siyo ukae Dar,Mwanza au mikoa mingine ya mbali na ujenge huko,uoe huko na uaike baadhi ya ndugu na wazazi wako huko,halafu kipindi cha KUTANGAZA NIA NDIYO UJE...TUMEAMKA, NA SASA HATUTAKI MJE KUTUCHUKULIA RASLI MALI ZETU.Upate mshahara hata kumpa kibarua TSH.500 hamna unapeleka kwa wengine huko unakoishi wakuchotee maji.Tunataka wetu,ambaye atagawana akipatacho na wengine kwa kutoa nafasi za vibarua kwa kumchotea maji,kupalilia nyumbani,migombani,shambani,kuosha gari,kumchingia mbuzi na kuwaaajili wengine kwa njia mbalimbali.HATUTAKI,ANAYEMALIZA RASLIMALI ZETU KWA KUWEKEZA KWINGINE.
   
 14. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mbona nyie wachaga mnatutuka sie wasukuma kiasi hiki? tumewakosea kitu gani au upendeleo mliopewa na vingozi wa taifa hili kujengewa barabara nzuri kwenu hivyo wengine wote mnawaona ni takataka tu najua waliowapa kiburi ni kina mtei na kina msuya kwanza waliiba hela zote za BOT na wakaichoma moto ushahidi ninao kama unabisha waambie wanipeleke mahakani nije kuwaumbuwa nakumbuka nyerere alisema nchi hii kamwe isitawaliwe na mchaga kwani wataiba mali zote na kuzarau makabila mengine ona sasa umaarufu kidogo tu wa chadema mitusi kwa makabila mengine.
   
 15. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli Tabora kuna jini la kunyonya akili za watu wasipime na kuchagua vyema.
   
 16. r

  republicoftabora Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanatabora tupo lakini ukweli lazima usemwe

  Kuanzia akina Kapuya, Sitta na msomali hakuna lolote lilifanyika. Wana Tabora wako radhi kuendeleza maeneo mengine kuliko kwao. Wako tayari kuruhusu watu wanje waje kutupangia kuliko sisi kujipangia wenyewe. Upuuzi huu huwezi kuukuta MBEYA, IRINGA, MOSHI/KILIMANJARO na ARUSHA

  habari ndio hiyo sie watu wa kundi la wakosaji
   
Loading...