Uzalendo Umepungua au Utandawazi na Wendawazimu?

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Jikumbushe hii enzi zile.

Naapa na ahidi mbele ya Chama nchi yangu nitakulinda mpaka kufa, naapa na ahidi mbele ya Chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa. Natoa hiyo ahadi kwa moyo mkunjufu, nitalinda mipaka yote ya Tanzania....

Je sasa hali ikoje? Embu tupia hapa utueleze kama wapo watu wanaoahidi kwa moyo mkunjufu hata kama wanaapa kutekeleza katiba?
 
Back
Top Bottom