Fununu : Kijana wa jk ridhwan na mbinu chafu uvccm

Pilato

Member
May 29, 2008
60
1
Wana JF

Kutokana na mpasuko uliopo katika chama cha mapinduzi ,umesababisha mpasuko mwingine ndani ya jumuia zake

Katika fununu inasemekana kuwa kambi mbili yaani ya lowasa na Membe zimekuwa zikishiriki katika hali na mali ili kuangusha kambi nyingine

kutokana na mchakato mgumu uliopo umoja wa vijana ambapo wapo kwenye mchakato wa Chaguzi zao kitaifa ikiwa nafasi ya makamo mwenyekiti uvccm Taifa ambapo ndo kwenye UTAMU

kumekuwa na mgawanyiko, kwamba Bwana antony mavunde na Bwana sango kasera ni kambi ya lowasa na mh.Nchimbi na Bwana Salum Happy kambi ya Membe

Fununu ni kwamba kutoka na hali tete upande wa Membe kwa kuelemewa na nguvu ya lowasa

Bwana Ridhwan kijana wa Rais JK amegawa mamilion kwa wajumbe wa baraza ili kushawishi waweke upendeleo kiti hicho kiwe zamu ya kina dada yaani wanawake

Na inasekmekana ya kuwa bwana ridhwani amemuandaa MBONI MWITA awe mgombea na ashinde kwa ushawishi wa mamilioni hayo na Lengo kuu ni kuvuruga nguvu ya lowasa ambayo imewaelemea!

Naomba mwenye kufaham zaidi atupe mrejesho..!
 
mimi sifahamu,nashukuru kwa kunifahamisha
mwingine mwenye kufahamu akanushe ama adhibitishe haya madai
 
Hata akimleta Mwanaasha haitasaidia hili vuguvugu hawaliwezi tena heri waungane wapambane na adui wa nje ama la nchi wataikimbiaa baada uchaguzi 2015 sijui watajiificha wapi na unafiki wao!!!
 
Hivi huyu jamaa anafikiri ni nchi ya kifalme hii? Ajiulize waliko watoto wa saddam na gadafi.
 
1.Mwenye kisu kikali... ndo mla nyama....
2.Silaha pesa....kisu mzigo...
3.Hatukukutana road...mwageni povu sana...
5. Mbwa wa mfalme...ni mfalme wa mbwa wengine...
 
................Huu ugomvi wa vichaa wa Milembe, wenye akili zetu subiri tuchek movie tusije tukaingilia tukaumia wenyewe.
 
Na kimsingi hizo ndizo strategy zao (Kuiweka nafasi ya UVCCM kwa wanawake)...........Na tatizo si Edward Lowassa ni hofu tu inayowasumbua..........Kiukweli hata huo mwangwi mkubwa wa Lowassa unakuzwa na hofu ya wanaomuogopa.........Wakiona fulani anaungwa mkono wanadhani katumwa na EL.

Na haya ndiyo yatakayoimaliza Jumuiya hii.......Badala ya sauti ya Vijana wa UVCCM inakuwa saut ya Familia fulani, SO funny
 
hakuna mpya, mwalimu nyerere alisema ukila nyama ya mtu hutaacha kamwe bali utaendelea kuila, watu waliwafanyia hujuma vyama vya upinzani wakadhani wao watabaki salama kumbe ndivyo walivyojichimbia wenyewe kaburi lao, tunasubiri kuwazika
 
Wana JF

Kutokana na mpasuko uliopo katika chama cha mapinduzi ,umesababisha mpasuko mwingine ndani ya jumuia zake

Katika fununu inasemekana kuwa kambi mbili yaani ya lowasa na Membe zimekuwa zikishiriki katika hali na mali ili kuangusha kambi nyingine

kutokana na mchakato mgumu uliopo umoja wa vijana ambapo wapo kwenye mchakato wa Chaguzi zao kitaifa ikiwa nafasi ya makamo mwenyekiti uvccm Taifa ambapo ndo kwenye UTAMU

kumekuwa na mgawanyiko, kwamba Bwana antony mavunde na Bwana sango kasera ni kambi ya lowasa na mh.Nchimbi na Bwana Salum Happy kambi ya Membe

Na inasekmekana ya kuwa bwana ridhwani amemuandaa MBONI MWITA awe mgombea na ashinde kwa ushawishi wa mamilioni hayo na Lengo kuu ni kuvuruga nguvu ya lowasa ambayo imewaelemea!

Like son like Father=Isije ikawa kagoma kake!!, watu wanawekeza,
 
Back
Top Bottom