Tanzania Day in Washington as Tanganyika Day or as United Republic of Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Day in Washington as Tanganyika Day or as United Republic of Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Sep 20, 2012.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haikunishangaza kuliona hili linatoke kwani matendo kama haya yamekuwa yakiendelezwa kwa kasi na kwa makusudi na upande wa Tanzania Bara (Tanganyika) leo inakuwaje Ublalozi wa United Republic Of Tanzania kule Marekani unatayarisha kitu kinachoitwa Tanzania day na kupotosha chimbuko la hicho kinacho sherehekewa kuwa ni Tanzania ?nimeangalia pembe zote za kuta na kuona picha za akina Kambarage na wengine huku ikikosekana picha moja ya Muasisi wa hiyo Tanzania tunayojivunia (Marehemu Mzee Abeid Aman Karume)
   
 2. s

  sawabho JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Acha uchochezi, hizi za vivutio vya utalii kama masalia ya binadumu wa kale aliyeishi kule Olduvai hukuziona ? Lengo lilikuwa kutangaza utalii wa Tanzania na sio kuleta siasa katika utendaji.
   
 3. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si dhani kama hilo lilikuwa ndio lengo moja peke yake kwa kudhihirisha hilo ni huo uwekaji wa wasisi wa Tanzania mmoja kuenziwa yani Kambarage ili hali kwa sasa amesha fika akhera na kumfanyia dharau kwa makusudi Marehemu Mzee Abeid Amani karume ambae nae ameshatangulia akhera. hii ni sawa na kutomtambuwa mmoja kati ya wazazi wako unapofanya hivyo unafanya kwa makusudi na sio kwa bahati mbaya .
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Damn! Wamechelewa kidogo hawa watanzania. Wangeifanya hii sherehe week 2 zilizopita wakati Maali Seif akiwa huko, tena wangemualika kama mgeni rasmi ili ahutubie!
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  Kama huo ndio mfano wako basi wako sahihi kabisa! Yawezekanaje kuwa na wazazi wawili wa kiume? Ha ha ha ha ha!
   
 6. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,370
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Wewe kweli sonara.
   
Loading...