PHOTOS: Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
[h=3][/h]

Mbunge wa Iringa mjini-Chadema akihutubia umati wa wakazi wa Iringa mjini,waliofika kumsikiliza jioni ya leo katika viwanja vya soko kuu Iringa.

Sehemu ya umati

Baadhi ya mabango yenye jumbe mbalimbali

Mbunge wa Iringa,mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA,jioni ya leo amehutubia umati mkubwa wa wakazi wa Iringa.Katika hotuba yake, Msigwa amesema kuwa, hayati Daud Mwangosi ni shujaa ambae atakumbukwa daima.

Picha na: www.mjengwablog.com

34209281-945006486578898070

DAUDI MWANGOSI alikosa nini? mpaka kuhukumiwa adhabu ya kifo na adhabu kutekelezwa haraka haraka na JESHI LA POLISI. D.M alikosa nini D.M alikosa nini? nakosa majibu mwenye kujuA NAOMBA ANIELEWESHE JAMANI
 
Duuu naona wananchi wameamka kila pande now, hawafatilii tena mafisadi....
 
Hawa makamanda Wanajidai kiburi hawataki kung'oka pamoja na waziri wao ila nakwambia siku tukiliamsha watatoka tu.
 
kumbe humu ndani kuna watu wa kupeleka mirembe
ukweli usiopingika amekufa kishujaa akiwa kazini
Acheni ushamba wa kisiasa, ushujaa wake uko wapi? Unajua familia yake inavyoteseka sasa hivi? Labda uelezee huo ushujaa ktk mazingira ya kifo chake nikuelewe!
 
kwani dada lazima uandike some times kaa kimya
 
Hivi marehemu Daudi Mwangosi {R.I.P} alikuwa ni kada wa Chadema.
 
Hawa makamanda Wanajidai kiburi hawataki kung'oka pamoja na waziri wao ila nakwambia siku tukiliamsha watatoka tu.

Hapo bold utalianzisha na nani?.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
kumbe humu ndani kuna watu wa kupeleka mirembe
ukweli usiopingika amekufa kishujaa akiwa kazini

Kwa hio alikuwa uwanja wa vita? Jamani acheni siasa za karne ya 19, fanyeni siasa za kisayansi na kistaarabu.
 
Jamani si kafa akiwa kazini ndo maana watu wanasema kafa kishujaa unlike mtu aliyefia kwenye kifua cha mwanamke au mwanaume wanatiana.Ivi ilo nalo ni gumu kulielewa?
Mashujaa sio lazima watokane na VITA jamani khaa
 
Sasa wenzako hawaelewi hivo
 
DAUDI MWANGOSI alikosa nini? mpaka kuhukumiwa adhabu ya kifo na adhabu kutekelezwa haraka haraka na JESHI LA POLISI. D.M alikosa nini D.M alikosa nini? nakosa majibu mwenye kujuA NAOMBA ANIELEWESHE JAMANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom