Ili ccm wondoke kiulaini tukubaliane nao hatutawashitaki wala kuwafilisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ili ccm wondoke kiulaini tukubaliane nao hatutawashitaki wala kuwafilisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eedoh05, Sep 20, 2012.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Jambo mojawapo ambalo mafisadi-CCM wanaliogopa na kila wakati linawanyima usingizi ni hatima na mustakabali wao baada ya kung'olewa madarakani. Wanahofia kuburuzwa mahakamani, kufilisiwa na kufungwa. Hapa ndipo wako tayari kuuwa watu katika kila mikutano na mikusanyiko ya vyama vya upinzani vyenye nguvu katika chaguzi zote zilizopita.

  Kwa hiyo, ili watanzania sisi, (ambao hapo kabla hatukuujua ufisadi, udini, ukabila na ukanda hadi pale ulipoingizwa katika "Ilani yao Kificho" ya chama chao katika kupitisha wagombea wao katika chaguzi zote), tusiendelee kuuwa na hawa mafisadi, naona tufanye makubaliano na maagano nao kwamba yaliyopita sindwele, tutawasamehe na wala hatutakumbuka mauaji ambayo waliyafanya hadharani au kwa njia nyingine mfano kukosa dawa, huduma na vifaa hospitalini kwa hiyo watu wakawa wanakufa,kuidhinisha vipimo bandia vya magonjwa (ukimwi, tb nk) kutokana na ufisadi wao. HAPO NADHANI WATATOKA KIULAINI.
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  acha woga
   
 3. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  waende zao mkono wa sheria ni lazima!!!!!!!!!!! iweje tufunge wezi wa kuku kisha waujumu uchumi wale bata?kama vipi wasalimishe mali zao,na warudishe TWIGA wetu.
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Lupango kwao is inevitable!!!
   
 5. O

  Original JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuwafilisi na kuwafunga ni lazima. Magereza yapo kwa ajili ya wahalifu kama hao.
   
 6. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kila aliyeiba sheria itachukua mkondo wake. Kuondoka au kutoondoka kwao hakupo kwenye maamuzi yao. Tutawaondoa madarakani, na watarudisha vyetu walivyotuibia. Nia tunayo, uwezo tunao na sababu tunazo!
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Nadhani wewe ni mrs. Chagonja, wanajamvi watajibu,

  nimepata au nimekosa!!!
   
 8. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  kama hawatoshtakiwa kuna hoja gani ya kumlaum JK kwa kutokuwachukulia hatua mafisadi, kushitakiwa ni lazima is just a matter of time, kwa sababu tutakao washtaki ni cc wananchi tuliozulumiwa, tuliotesewa na kuuliwa ndungu zetu, ili iwe funzo kwa watakao kuja baadab yao.
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  tukikubaliana nao bila maandishi ni sawa.......ila mwisho wa siku buruza woote mahakamani.......
   
 10. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo basi tukubaliane tufute sheria za nchi maana hizo zinazotuongoza kufanya yote hayo unayosema tusifanye kwa huyu mdudu ccm
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,634
  Likes Received: 4,738
  Trophy Points: 280
  Kuondoka madarakani ni lazima waondoke, jela lazima waende, kufilisiwa lazima wafilisiwe, hawana pa kutokea.Natamani sana nimuone mzee wa kukenua kenua akiwa ameva zile sare za rangi ya chungwa.
   
 12. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mungu wangu! kwani wewe ni nani?? umwakilisha nani?? Inaonekana lengo lako kuu ni kupewa madaraka......sasa kwa kuwa na mawazo haya tofauti yenu/yako na wao ni nini??.....Mungu tubariki watanzania.....
   
 13. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...wahalifu lao gereza, negociation kwa kifungu kipi cha sheria!
   
 14. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nidhmu ya woga usiipalilie, Unadhani viongozi wa CHADEMA wangekuwa na woga kama wako wangetufikisha hapa tulipo ambapo kila mmoja anafahamu uozo wa serikali ya Chama cha mabwepande. Kung'ooka lazima wang'ooke iwe kwa amani au kwa shari, kiama chao kimefika 2015 ndio mwisho wao. Na katika kusoma alama za nyakati nahisi amani ya nchii hii itaisha mwaka huo endapo watagoma kutoka baada ya kukosa kura. Anza kutafuta nchi ya kukimbilia, endapo likitokea la kutokea unusurike, mi nitabaki kupambana nao mpaka mwisho.
   
 15. m

  majebere JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  CCM haitoki,hafungwi mtu na wala hakuna kinacho rudi, nyie endeleeni na kujifariji na topic za kipuuzi.
   
 16. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kuwashitaki ni lazima. Mtu utakuwaje na billions wakati mshahara wako ni kiduchu. Au watoto, shemeji au ndugu zako watakuwaje na nyumba kibao au account za millions wakati hawana kazi za kuwaingizia hizo hela?

  Lupango lazima kwa mafisadi wote iwe ccm au chama kingine.
   
Loading...