Live on EATV: Tumaini Makene, Nevile Meena na Ayubu Rioba

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Wakuu,

Mda si mrefu around saamoja kamili jioni hii kutakuwa na mjadala unaohusiana na wahandishi wa habari.
Mada ya leo inasema.... Je ni kweli waandishi wa habari hutumika kwa maslahi binafsi?

Kipindi kitarushwa LIVE na EATV....muongozaji wa kipindi (presenter) ni Dada Prudence from EATV.

Wageni waalikwa kwenye mada hii ni -

Tumaini Makene - Afisa habari kutoka Chadema
Nevile Meena - kutoka jopo la wahariri wa habari Tanzania na
Ayubu Rioba - mwandishi wa makala za habari

Karibuni tushuhudie mtanange huu kwa kupitia television zetu.... Nawakilisha
 
Kwa wale ambao hawamjui Tumaini makene basi hapa leo ndiyo sehemu sahii ya kumuona Live how he looks na
uwezo wake wa kujenga hoja ukoje.
 
Wakuu,

Mda si mrefu around saamoja kamili jioni hii kutakuwa na mjadala unaohusiana na wahandishi wa habari.
Mada ya leo inasema.... Je ni kweli waandishi wa habari hutumika kwa maslahi binafsi?

Kipindi kitarushwa LIVE na EATV....muongozaji wa kipindi (presenter) ni Dada Prudence from EATV.

Wageni waalikwa kwenye mada hii ni -

Tumaini Makene - Afisa habari kutoka Chadema
Nevile Meena - kutoka jopo la wahariri wa habari Tanzania na
Ayubu Rioba - mwandishi wa makala za habari

Karibuni tushuhudie mtanange huu kwa kupitia television zetu.... Nawakilisha

Muandishi na lecturer wa Udsm..muwe mnatazamaga na HotMix..Eatv wamejipanga, they're very international..watangazaji wake classic..ni noumeerrr! miaka 80000 !
 
Hotmix ni kipindi cha aina yake. EATV wanafanya vema sana kiasi kwamba Clouds TV imeshindwa kabisa kutake over. Iko shimoni kabisa. Regina Mengi need to do the same kwenye Radio pia by employing more creativity na presenters wanaojua issues. Vipindi kama vya Super Mix na kile cha Asubuhi vimelala kabisa. Nadhani tiba bado haijapatikana.

Nakumbuka kuna wakati Kipindi cha Yaliyomo Yamo cha Radio One kilikuwa juu sana na kilikuwa kimefikia levo ya kukipiga bao kile cha Leo Tena cha Clouds FM lakini toka Regina Molekwa ameondoka mambo yamebadilika sana.

Kuna kila sababu ya EATV/Radio kuweka mfumo mzuri kwa watumishi wake na if possible retentions ziwepo kwa wale wanaofanya vizuri. Mtangazaji kama Mussa Hussein wa Uswazi na SuperMix hakupaswa kuachiwa aondoke.

Many artists look EATV/ EA Radio kama kimbilio lao na si kwa Clouds FM/Clouds TV ambao kwa muda mrefu wamekuwa wanyonyaji na wajengaji wazuri wa daraja la ufukara kwa vijana wengi.
 
Mbona Tumaini makene simuoni wakati nilishapata habari toka chini ya kapeti kuwa atakuwepo?
Mkuu Tumaini, kama uko on line hapa jamvini tafadhali tuambie kwanini haujaenda kwenye hii mada?
 
Mbona Makene simuoni, au ndo Thompson, Mbona Mike yake haifanyi kazi, Kuna Zengwe nini
 
Mbona Tumaini Makene hayupo, Moods , Invisible Njoon mumpe huyu Jamaa a Life time BANN kwa kusema uongo
 
Last edited by a moderator:
Thread nyingine, mtu anaanzisha halafu anaingia mitini, unadhani wote wanaangalia, waliongea nini sasa au kipindi bado kinaendelea?
 
Hotmix ni kipindi cha aina yake. EATV wanafanya vema sana kiasi kwamba Clouds TV imeshindwa kabisa kutake over. Iko shimoni kabisa. Regina Mengi need to do the same kwenye Radio pia by employing more creativity na presenters wanaojua issues. Vipindi kama vya Super Mix na kile cha Asubuhi vimelala kabisa. Nadhani tiba bado haijapatikana.

Nakumbuka kuna wakati Kipindi cha Yaliyomo Yamo cha Radio One kilikuwa juu sana na kilikuwa kimefikia levo ya kukipiga bao kile cha Leo Tena cha Clouds FM lakini toka Regina Molekwa ameondoka mambo yamebadilika sana.

Kuna kila sababu ya EATV/Radio kuweka mfumo mzuri kwa watumishi wake na if possible retentions ziwepo kwa wale wanaofanya vizuri. Mtangazaji kama Mussa Hussein wa Uswazi na SuperMix hakupaswa kuachiwa aondoke.

Many artists look EATV/ EA Radio kama kimbilio lao na si kwa Clouds FM/Clouds TV ambao kwa muda mrefu wamekuwa wanyonyaji na wajengaji wazuri wa daraja la ufukara kwa vijana wengi.

Well said WOWOWO :clap2::cheer2:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom