Yule afisa wa polisi Zuberi Mwombeji anayesifika kwa kupambana na Chadema Arusha. jumapili iliyopita aliongoza maandamano ya CUF kutoka kisongo hadi Arusha mjini.
Mwombeji pia alibaki kwenye...
CUF wanajitahidi kila namna kuwemo kwenye Kundi la KUMBE WAMO ila kwa bahati Mbaya ni vigumu sana Kufikia mafanikio ya CHADEMA kwa sababu zifuatazo
1. Mafanikio ya CHADEMA hayajaanza leo na...
Nimemsikia kiongozi wa mbio za mwenge Capt Mwanosi? wakati wa habari za jioni Star TV saa 9, akiwashambulia wale wote wanaopita "kuwadanganya" wananchi kwamba serikali haijafanya kitu. Kwamba hao...
JUMATATU, OCTOBA 01, 2012 04:57 NA BENJAMIN MASESE
Mwasisi wa NCCR-Mageuzi, Emmanuel Ole Sirikwa
MWASISI wa Chama cha NCCR- Mageuzi, Emmanuel Ole Sirikwa (70) amefariki dunia katika...
Niliwahi kumhoji Jaji Ihema uwezekano wa kutoa maamuzi kwa simu kutoka ikulu baada ya maongezi ya muda mrefu alikubali kuwa huwa kuna baadhi ya kesi simu hupigwa ili kupata hukumu.
Lema ameshinda...
A renowned University of Malawi historian Simbarashe Mungoshi says Malawi is poised to win the case in which it is tussling with Tanzania over the ownership of Lake Malawi if it maintains its...
Waungwana hii sasa ni too much. Zile tetesi tulizoletewa hapa kwamba huenda mishahara ya miezi ya January na February itakuwa mgogoro sasa ni dhahiri. Mpaka muda huu kuna halmashauri hazijalipa...
baada ya kuwajuza yale yaliyoonekana jimboni karatu ambako nashukuru wengi wenu mlichangia maoni mbalimbali na kwa taharifa nilizopata mbunge wa karatu ameanza kufanyia kazi zile kero...
Nimepata mshawasha wa kufuatilia hii habari ya hawa polisi wetu kuwa ni wanajeshi ama la.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na gumzo kubwa hasa kutoka kwa wachangiaji mbalimbali kwenye mtandao juu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Kamishna Jenerali wa Magereza na maafisa wengine.
Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw...
wakuu imenibidi nihoji hili kwani chama cha mapinduzi wilaya ya Same kilimanjaro kinatarajia kufanya mkutano mkubwa wa chama wilayani hapo utakao fanyika nje ya viwanja vya ukumbi wa chakula wa...
Mh. Shikamoo!
Tumechoshwa na mambo ya CCM chini ya uongozi wa Dr. Jakaya Kikwete. Tunakuja kuwasha moto wa M4C mwezi wa November 2012 ktk jimbo letu la Monduli . Amini usiamini tuko imara ile...
Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo...
JUMAMOSI, SEPTEMBA 29, 2012 08:51 NA MWANDISHI WETU, MUSOMA
*Mgombea aahidi kumwaga baiskeli
*Bahasha za mshikozamwagwa kama njugu
UCHAGUZI wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na...
Na Walter Mguluchuma
Mpanda
Chama cha Mpanduzi (CCM) wilaya yam panda mkoa wa Katvi kimepata viongozi wapya watakao kiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano
viongozi hao walipatikana...
TAARifa kutoka wa kalulunga.blogspot.com zimesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Mbeya Sambwee Shitambala ameshinda nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ya CCM wilaya ya Mbeya Mjini.
Na...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Spika wa Bunge, Anne Makinda atoe hadharani ripoti ya uchunguzi inayowahusisha baadhi ya wabunge kujihusisha na rushwa ili iweze...
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusufu Makamba, amesema Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) imefanya kazi nzuri kwa kuwa imesajiri supa timu ya...
kwa taharifa zilizopo cuf waliwageuka chadema kwenye makubaliano ya uchaguzi,ilikuwa cuf waisapoti chadema kwenye umeya,na chadema waisapoti cuf kwenye unaibu meya,kilchotokea kwenye upigaji...
CONTRACTS REVIEW IS A PUBLICITY STUNT AND CREATION OF UNNECESSARY UNCERTAINTY IN THE SECTOR - ZITTO KABWE
Irresponsible statements by the Minister of Energy and Minerals will cost our country...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.