ccm kutumia kumbi za shule za umma kuna uhalali?

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
wakuu imenibidi nihoji hili kwani chama cha mapinduzi wilaya ya Same kilimanjaro kinatarajia kufanya mkutano mkubwa wa chama wilayani hapo utakao fanyika nje ya viwanja vya ukumbi wa chakula wa SHULE YA SEKONDARI SAME,
Hapa nahoji je kuna uhalali wa chama chochote cha siasa kutumia kumbi hizi?
je kama chama cha upinzani kikiomba huo ukumbi kitaruhusiwa?....

angalizo.: mweshimiwa Matayo amewahi zomewa na wanafunzi wa shule hiyo, hivyo ccm iwe makini sana na wale wanafunzi, wawe tayari kukabilana na changamoto zitakazo jitokeza.....

KIDUMU CHAMA.......
 
Mkuu mbona hilo dogo. Wakuu wa mikoa na wilaya wameacha kazi zao na kwenda kusimamia uchaguzi. Pia vikao vya chama sasa vinafanyika Ikulu.

Wamelewa madaraka:nono:
 
Kweli hawa jamaa wamejisahau. ila hukumu yao inakuja.... yaani hadi ikulu imekuwa mali ya chama?
 
Back
Top Bottom