Zitto: Contracts review is a publicity stunt and creation of unnecessary uncertainty in the sector

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
CONTRACTS REVIEW IS A PUBLICITY STUNT AND CREATION OF UNNECESSARY UNCERTAINTY IN THE SECTOR - ZITTO KABWE

Zitto-Kabwe.jpg

Irresponsible statements by the Minister of Energy and Minerals will cost our country dearly not only in developing the crucial Oil and Gas but also in attracting foreign direct investment. What is needed in Tanzania is transparency of contracts, sanctity of contracts and building the crucial capacity of TPDC and not mere words from the Minister who actually signs the contracts.

Announcing review of all production sharing agreements (PSA) to be done by the new board of TPDC is simply a publicity stunt by the Minister. What the Minister is unaware of and totally ignorant of is the fact that many reviews have been done and nothing has been done about it. The Parliamentary committee on Public organisations (POAC) had asked TPDC through the office of the CAG to audit all the contracts. Out of 26 contracts, only 4 were audited and one (PanAfrica Energy) was found to have inflated their costs to the tune of USD 26 Million. So review will add nothing except earn short lived publicity for the Minister for his cow boy approach while throwing the sector in huge UNCERTAINTY and slowing down momentum.

Borrowing the words of the US President Barack Obama…..The Minister is shooting first and aiming later portraying a confrontation approach that is ill-advised. His approach on how he is handling this sector will cost our country dearly. The oil and gas companies are very cautious and one thing is certain : they don't work in uncertain environments where contracts are under threat of being revoked.

What is needed in Tanzania is TRANSPARENCY. The contracts must be made public and the new law must give powers to Parliament to approve the contracts. That is the transformation we need to ensure that our country benefits from it's resources. If the Minister is serious about walking the talk he must bring these amendments to Parliament instead of uttering irresponsible statements in press conferences.

Another sensible radical transformation needed now is the enactment of the Petroleum Revenue Management act. It doesn't help just mentioning ‘revenue must not go to treasury'. We must be clear on how we will use this income now to ensure all Tanzanians and their children see the benefits. Establishment of sovereign development fund instead of a sovereign wealth fund shall be a unique departure for Tanzania from the resource curse other African countries are suffering.

We (Tanzania) are competing with Mozambique to build the first LNG plant to supply the Far East Asian markets out of East Africa. While our neighbors are working hard and on time, we do the talking.

This must end

Zitto Kabwe

Shadow Finance Minister

Wiki iliyopita niliandika mawazo yangu haya kuhusu sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania. Bahati mbaya sana haikuwekwa hapa kwenye mjadala. Ni vema kuiweka maana masuala haya yanafanana.

Chini kwenye links nimeweka majibu ya Prof. Muhongo katika mawazo yangu haya. Sasa mlinganishe masuala yote haya kwa pamoja ili mjadala wetu uwe na maana.

Oil and Gas in Tanzania: Building For A Sustainable Future-A Call for a Moratorium on new offshore exploration.

Oil and Gas in Tanzania: Building For A Sustainable FutureA call for a moratorium on new offshore exploration.

Oil and Gas Industry
Picyure courtesy of: Cypressmfg

Tanzania is on the precipice of an economic evolution with the recent discoveries of gas. We have now confirmed reserves of 43 Trillion Cubic feet (TCF), roughly valued at USD 430bnhttp://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#_edn1. Plans for LNG production are moving ahead of schedule. As a result there will be considerable new gas resources available for power generation and other needs for our economy and people including domestic use, petrochemical industries and fertilizer plants.

Our nascent oil and gas industry is set to expand greatly with the upcoming Fourth Licencing Round, which, according to Minister Sospeter Muhongo, is scheduled to be launched in Houston, Texas on September 13. We are now informed that the licencing round has been delayed. This is not enough and more work needs to be done.

The Fourth Licencing Round should be put on hold – postponed for ten years. In this, we echo the demand of Parliament's Energy and Minerals Committee earlier this year (April 2012, Annual Report of the Committee) and the concerns of other informed citizens. It is very unfortunate that the recommendation to postpone the licensing round, supported by a Parliamentary Committee on Public Investments (POAC) and approved by a Parliamentary resolution, was largely ignored by the Ministry and TPDC. A moratorium will not only allow us to manage our new resources effectively it will also ensure the welfare of future generations. This is something the Government must take seriously.

We, as responsible leaders, have a duty to safeguard this country's resources for future generations. This will require effective and sustainable management of our oil and gas reserves. The licencing round for the oil and gas offshore blocks announced by the Ministry through TPDC undermines our mandate to the Tanzanian people. If all exploration blocks are being licenced, what will our grand-children and great-grandchildren, who will be more educated and well prepared, do? It is critical that we approach these issues not in a short-term strategic thinking but long-term. We may not be here tomorrow but Tanzania will be.

We are not prepared for an expansion of exploration activity. Current legislation is out-dated and does not mirror the current political and economic status quo. We have no overarching Gas Policy, however progress has been made as both the Gas Act and Policy are currently being crafted. Nevertheless to continue on with a new round of licensing before these policies are complete is irresponsible. More importantly, we do not have legislation that will manage revenues from the sector. We need more time for the policies and legislative acts to be implemented. We will also need more time for institutions to be in place.

A ten-year moratorium will give us the space to develop our capacity in key areas. TPDC can be overhauled to become an active exploration and production company, modelled on Malaysia's Petronas. Currently, TPDC does not have the capacity or resources to be an effective and strong partner in developing our reserves. These capacity deficits include the ability to conduct basic geological surveys, contract negotiations and management as well as production and processing. A moratorium will allow us to support TPDC to become a strong and reliable trustee and gatekeeper of the country's resources.

A ten-year moratorium will allow us to build the necessary institutions that we will need to effectively benefit from these resources. These include establishing and supporting a Sovereign Development Fund, to manage revenues; coordinating with our educational institutions to train and foster young Tanzanians so they can confidently work and engage in this industry; and an oversight committee that would include parliamentarians, civil society organizations and local communities. These stakeholders would be mandated to ensure that our resources are used effectively and fairly.

A ten-year moratorium on offshore exploration will ensure that our increasingly young population will enjoy the benefits of our natural resources for generations to come. We kindly request the Government to stop any new licencing of exploration blocks and refocus all efforts into building the capacity to manage the discovered resources, make wise decisions and prepare the nation for a Natural Gas Economy in a timely manner.

Our past mistakes in the mining sector should guide us, as we comprehend the challenges and opportunities presented by the oil and gas sector. The country must first build strong accountability measures, ensure transparency, develop critical human capital and learn from case studies of other gas economies before licencing any new blocks. We need to think strategically and understand the long-game rather than thinking about short-term gains. As a result, we think 10 years will be enough to implement the necessary interventions and build a strong and sustainable oil and gas economy for all Tanzanians.

Kabwe Zuberi Zitto, MP
Shadow Minister of Finance.

http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#_ednref1 using rule of thumb that 1TCF equals to 10bn US
********************************
REACTION>>DAILY NEWS

MP for 10 yr hold in licensing gas exploration
URL: http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/9381-mp-for-10yr-hold-in-licensing-gas-exploration

IPP MEDIA
News Muhongo questions Zitto stand on gas exploration
URL: Home

Ni maoni yangu kwamba kupitia mikataba ya mafuta na Gesi ni suala la kisiasa tu na hakuna lolote ambalo litafanyika maana tumeshafanya mapitio sana na hakuna utekelezaji. A radical approach is needed in all matters about our resources, not piecemeal reviews which add no value.

Pili, mikataba hii yote inasainiwa na Waziri wa Nishati na Madini, TPDC na Kampuni ya utafutaji. Sioni mantiki yeyote ile kwa Waziri kuitaka TPDC kupitia mikataba hii. Ndio maana nashauri kwamba mikataba iwekwe wazi. Hakuna mapitio bora zaidi kama kuweka wazi mikataba hii. Uwazi ni mapitio tosha.

Ni maoni yangu kwamba Waziri wa Nishati na Madini ana mapungufu makubwa sana na ndio maana anajihami sana katika maamuzi yake. Hafikirii sawa sawa na wala haoni madhara ya anachosema. Siku sio nyingi mtathibitisha ninachosema. Matamshi mengi aliyoyasema Bungeni wakati wa mjadala wa hotuba ya Bajeti yake yalikuwa ni uwongo na ameshindwa kuthitibisha na kuishia kusema "mimi niliambiwa na Katibu Mkuu".

Kwanini ZITTO KABWE anakatisha tamaa? Kwanini Asiache WAZIRI WA NISHATI na MADINI afanye kazi yake? Akishindwa aeleze...

Yaani ameishaanza kukatisha tamaa... Au there is 10% they will need 2 return????
 
We acha tu!

Kuna listi ya watu walio na akaunti kule Uswiss, Zitto ametajwa.
Haileti mantiki kumwagia maji juhudi endelevu za kuokoa uchumi za Prof Muhongo.

Inaelekea kuchunguza "contracts" hizo zimeanza kugusa mikono ya watu walio na mikono ndani ya chungu cha kifisadi.
 
Namuunga mkono Waziri 10000%. Kwa utaratibu wa sasa ni vigumu sana kwa waziri kupeleka mkataba bungeni, maybe after 2015 under the constitution. Wakati huo huo hatuwezi kukaa kimya. Kama kuna uwezekano wa kupitia upya mikataba iliyopo tufanye hivyo, as long as kuna usimamizi mzuri and I think huyu Prof Muhongo anaonekana kuwa na nia njema - so far. Kelele za mikataba mibovu zimekuwepo kwa miaka mingi na nilidhani hatua ya Prof Muhongo (given the sitution) is better than nothing.

Pili, hoja kwamba kupitia mikataba inaleta uncertainty kwenye industry na kufukuza wawekezeji is very strange! Studies zipo - tena nyingi and infact wala huhitaji study kujua hakuna hali yoyote inayoweza kuzuia uwekezaji kwenye madini, oil or gas. Iraq is a war zone lakini uwekezaji upo. Nigeria wawekezaji wapo. Tofauti na vitu vingine, sio kila nchi ina oil, au gold au gas and if you have it, you have it. Ni vizuri tukawa confident na rasilimali tulizo nazo. Wawekezaji wanapenda sana kutishia na kauli za 'uncertaity' lakini kwa hakika when it comes to oil, gas wako radhi wahamishie majeshi yao hapa kuliko kuacha kuchota oil.

Sina hakika kwa nini Zitto anapinga hii hatua, pengine he knows something that the public doesn't. Ni vema afafanue ili kuondoa uwezekano wa watu kujenga hisia tofauti. Hii sector kwa hapa Tanzania imekaliwa na cowboys na mikataba yake ni mibovu sana. Sasa kwa nini tusipitie hiyo mikataba? tunaogopa wataondoka? waende wapi kupata oil, gas? Cambodia?
 
We acha tu!

Kuna listi ya watu walio na akaunti kule Uswiss, Zitto ametajwa.
Haileti mantiki kumwagia maji juhudi endelevu za kuokoa uchumi za Prof Muhongo.

Inaelekea kuchunguza "contracts" hizo zimeanza kugusa mikono ya watu walio na mikono ndani ya chungu cha kifisadi.

Wow SI AJABU... Kwasababu JINSI anavyojiendesha ni kisiri siri tu; Mara yuko huku na kule na safari na watu wa CCM

CHAMA CHAKE WOTE WAKIPINGA yeye AUNGA MKONO; Lakini KAMA NI YEYE ATASEMA NI HOJA yangu na NATAKA Signature - Mfano wa

Kuvunja BUNGE Hata ile issue ya MELI kuzama CUF waliondoka BUNGENI; Chadema wakawafuata kama SUPPORT Bunge lishitishwe - ZITTO

alibaki...
 
Hivi wewe unaelewa kiingereza sawa sawa? Zitto kasema malivyuu kama hili ni bogazi tu kwani yashafanyika miaka nenda rudi bila kubadili chochote. Mwenzako Zitto anawataka wenye muono kama wake wapige kelele kubadili utaratibu mbovu uliopo na zaidi sana bunge liwe na mamlaka ya kujadili na kuidhinisha mikataba hiyo miovu. Mikataba hii iwe wazi ili hata wewe uwe na haki ya kuuona. Hivi kusema hayo ndio kukatisha tamaa kwa lugha ya kwenu eehh?? Duh kweli its a long way to fairness!!
Kwanini ZITTO KABWE anakatisha tamaa? Kwanini Asiache WAZIRI WA NISHATI na MADINI afanye kazi yake? Akishindwa aeleze...

Yaani ameishaanza kukatisha tamaa... Au there is 10% they will need 2 return????
 
Kwanini ZITTO KABWE anakatisha tamaa? Kwanini Asiache WAZIRI WA NISHATI na MADINI afanye kazi yake? Akishindwa aeleze...

Yaani ameishaanza kukatisha tamaa... Au there is 10% they will need 2 return????
ukweli ni kwamba zitto ana point za msingi lakini pia ana personal interest zake

dogo anaona hakuna kinachoweza kufanyika bila wazungu/wawekezaji wa nje kuwepo
 
Hivi wewe unaelewa kiingereza sawa sawa? Zitto kasema malivyuu kama hili ni bogazi tu kwani yashafanyika miaka nenda rudi bila kubadili chochote. Mwenzako Zitto anawataka wenye muono kama wake wapige kelele kubadili utaratibu mbovu uliopo na zaidi sana bunge liwe na mamlaka ya kujadili na kuidhinisha mikataba hiyo miovu. Mikataba hii iwe wazi ili hata wewe uwe na haki ya kuuona. Hivi kusema hayo ndio kukatisha tamaa kwa lugha ya kwenu eehh?? Duh kweli its a long way to fairness!!

GKassanga, nakubaliana na hoja kwamba mfumo mzima ni wa kubalisha. But also we have to be realistic. Kwa jinsi mambo yalivyo sasa, na jinsi hii sector imejaa vigogo ni vigumu sana kwa wakubwa (hasa ccm) kukubali mikataba ipelekwe bungeni. Labda Zitto ajaribishe kupeleka muswada ili hili litimie. Hata hivyo, linalowezekana kwa sasa lisingoje kesho. Tujipe muda na kuangalia Prof Muhongo atakuwa na matokeo tofauti ama la. Lakini binafsi naunga mkono hatua aliyochukuwa (given the situation).
 
Mimi kwangu kama yeye Waziri Mh. Muhongo akiuona, akausoma, akaulewa na maadamu yuko tayari kutetea maslahi ya nchi poa tu akituwakilisha!

Zaidi ya hapo ni kudanganya tu, kwani hata mkataba ukiwa wazi na Watanzania wote wakauona ndio itabadilisha nini? Hata kama wakibandika kwenye nguzo zote za umeme na mpaka wakaweka Sokoni Kariakoo, na kuuanika kwenye kila kiti cha daladala kuna lipi litakalobadilika?

GKassanga, nakubaliana na hoja kwamba mfumo mzima ni wa kubalisha. But also we have to be realistic. Kwa jinsi mambo yalivyo sasa, na jinsi hii sector imejaa vigogo ni vigumu sana kwa wakubwa (hasa ccm) kukubali mikataba ipelekwe bungeni. Labda Zitto ajaribishe kupeleka muswada ili hili litimie. Hata hivyo, linalowezekana kwa sasa lisingoje kesho. Tujipe muda na kuangalia Prof Muhongo atakuwa na matokeo tofauti ama la. Lakini binafsi naunga mkono hatua aliyochukuwa (given the situation).

lakini hata bunge sasa limekuwa la wasiwasi, ilipovunjwa kamati ya nishati na madini kwa sababu za rushwa ni jibu tosha kuwa watanzania hawatakombolewa na bunge hili la wabunge walioenda bungeni kutafuta ajira na siyo kutumikia watu. Tunahitaji taasisi imara na utawala wa nidhamu kuanzia kwa mkuu wa nchi mwenyewe.
 
WAWEKEZAJI TUNAWAPENDA SANA ILA WALAGHAI KATI YETU NA NYINYI KUHUSU MASLAHI YA TAIFA KWENYE MIKATABA NDIO WAHUNI TUNAOTAFUTA KUWAFUNGIA NJE KWA KUPITIA UPYA MIKATABA YOTE KI-UADILIFU NA NJIA SHIRIKISHI ZAIDI

An overall contracts review in the Energy, Mining and even wildlife sectors (if need be) IS THE RIGHT WAY TO GO and we most emphatically encourage Prof Sospeter Muhongo move forward toward securing our national interests (justified sharing of the resulting products of our natural resources) in this country.

Yes, we all know that most of the contracts were signed by Karamagi in hotels and streets abroad but with SELF-INTEREST coming forward as that of the nation had to be sacrifised to-date. Indeed, those kinds of contracts are NOT GOOD ENOUGH for the investors as they would largely be depending on the presence of Karamagi or an agent (in this case Zitto) to deffend the loopholes for a continued personal gain in that same stream.

Investors need to serve in the country freely by relying on a people-backed contract that puts our national interest to the fore. In this kind of circumstanses, no one would in effect be requiring any agent of corruption to play an intermediary role whatsoever even if Karamagis and Zittos of this world were to be swept away into a political limbo like is the case with one of the ARCH-MENTORS OF CORRUPTION in the country, Rostam Azziz.

Naam, the only one big thing that Prof Muhongo MUST JUST BE READY TO TELL US IS THAT THE INTENDED SWEEPING REVIEW OF CONTRACTS IS BY NO MEANS YET ANOTHER PROCESS OF SEEKING TO REPLACE THE OLD CORRUPT DEMAGOGUES, who deliberately messed up the mining and gas contracts for a personal gain, with another generation that is lustfully keen this time to be bribed by investors in the course of their reviewing activities so that CCM gets to generate large chunks of money for the next general elections.

Ndio, in order that the public DOES NOT ALLOW CORRUPTION-RIDDEN CCM GOVERNMENT TO USE OUR NATURAL RESOURCES AS A TOOL OF LAST RESORT TO SEEK TO ARM-TWIST WESTERN COUNTRY INTERESTS INTO LENDING IT AN UNDUE SUPPORT yet for another political life against the wishes of the bulwark of this country's electorates, Kijana wa Musoma must come ou so clean and transparent by constituting a cross-sectional team composed of experts even from the opposition quarters to conduct the review following a very transparent and national-interest-friendlier TERMS OF REFERENCE.

Mkuu Sospeter Muhongo, sisi wananchi tuko hapa na tunakusoma kwa kila kinachoendelea chini ya kucha zako tangu ulipotangaza kushughulikia hili swala nyeti mno kitaifa. Wachache wetu hapa JF tunaelewa jinsi gani uamuzi wako huu unavyowaweka PABAYA HAPAJAWAHI KUTOKEA NDANI YA NCHI HII wale wajanja wachache ambao ndio wafadhili na walinzi wa mikataba mibovu nchini ambayo siku zote inachangia kututoweshea ajira kwa faida zao binafsi kupeleka nje fedha zetu Uswisi.

Sasa kama kuna mtu na au kikundi cha watu ama huku uswahilini, kule bungeni kwenye kamati mbalimbali za bunge au huko huko ma-ofisini aliyeamua KULA VYA WATU HUKO kwa ahadi ya kujitwisha jukumu la kusimamia kudumishwa kwa mikataba mibovu nchini, hivi sasa ni wakati wa kuambiwa wazi ya kwamba WaTanzania tumeamka na tumeamua kusimamia kwa ujirani zaidi rasilmali zetu kwa faida ya taifa letu bila udalali - kwa njia ya kupitia upya mikataba yote ki-ufundi zaidi, kizalendo zaidi na kwa njia shirikishi zaidi!!!!!!!!!!
 
We acha tu!

Kuna listi ya watu walio na akaunti kule Uswiss, Zitto ametajwa.
Haileti mantiki kumwagia maji juhudi endelevu za kuokoa uchumi za Prof Muhongo.

Inaelekea kuchunguza "contracts" hizo zimeanza kugusa mikono ya watu walio na mikono ndani ya chungu cha kifisadi.
This young man ZittoKabwe is a political disgrace!

To me at least he seems to be a coat tail for some unscrupolous but powerful politicians.

Prof Muhongo has done what learned politicians always do, simplicity.
Simplicity is the hallmark of geniusses,and Prof Muhongo is being proven right, going for the illegitimate sourc of syncing away of funds from public coffers.

If anything, Zitto's remarks is an indicator that the Prof is on the right track.
 
Irresponsible statements by the Minister of Energy and Minerals will cost our country dearly not only in developing the crucial Oil and Gas but also in attracting foreign direct investment. What is needed in Tanzania is transparency of contracts, sanctity of contracts and building the crucial capacity of TPDC and not mere words from the Minister who actually signs the contracts

Hapo kwenye Red
Ningependa ujue kuwa mie ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa hatufaidiki (kama nchi) na hii mikataba ya madini ambayo ndo nyie mnaita uwekezaji. Huu ni wizi na hawa sio wawekezaji tunaowahitaji bali ni waporaji kwa kushirikiana na wachache katika nchi yetu!

Ni bora waondoke na tubaki na dhahabu, mafuta na gesi zetu ili tukiwa na viongozi wenye uchungu na taifa hili basi waje wawekezaji and I mean wawekezaji si waporaji ili na nchi inufaike na huo uwekezaji. Zitto kuliko kuwa na mikataba hii ya wizi ambayo nchi inachimba dhahabu lakini haionekani katika pato la nchi ni bora kuacha rasilimali hizi kwa kizazi kijacho!

Ni kweli wengi washasema juu ya mikataba mibovu kama huyu waziri, lakini kumbuka hakuna waziri wa Nishati ya Madini aliwahi sema hivyo. Trust me, kama mawaziri wote (baraza zima) wangekuwa na mtizamo kama yeye mikataba hiyo ingekuwa ishafutwa siku nyingi.

Inawezekana hatafanikiwa kama wengi tunavyoamini lakini kama ni muungwana tutaona akijiuzuru!

Pls Zitto give him a benefit of doubt. Au ndo "mjinga akielevuka mwelevu yupo mashakani?" unaogopa hasichukue sifa zako nini???

Prof Muhongo, on this score of a sweeping national review of all mining and related contracts with investors, you just can't imagine how much a number of unscrupulous corruption demagogues and their agents are currently SWEATING FURIOUSLY DOWN THEIR PANTS as the undue gains en route to Swiss are now booked than ever for a permanent punctuation.

Masikini Makamba junior, Zitto, Mapacha watatu and many more out there!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi wewe unaelewa kiingereza sawa sawa? Zitto kasema malivyuu kama hili ni bogazi tu kwani yashafanyika miaka nenda rudi bila kubadili chochote. Mwenzako Zitto anawataka wenye muono kama wake wapige kelele kubadili utaratibu mbovu uliopo na zaidi sana bunge liwe na mamlaka ya kujadili na kuidhinisha mikataba hiyo miovu. Mikataba hii iwe wazi ili hata wewe uwe na haki ya kuuona. Hivi kusema hayo ndio kukatisha tamaa kwa lugha ya kwenu eehh?? Duh kweli its a long way to fairness!!

Huyu Waziri sio MBUNGE; Hafanyi kazi kumfurahisha au kumhuzunisha yoyote... Kwanini asipewe NAFASI? Mwache afanye NJIA

ZAKE LABDA HATAPITIA HILO BUNGE au ATALIPITIA na kwa kuwa ni MKWELI hana MASLAHI BUNGE LITAIDHINISHA;

BOTSWANA waliweza UNAJUA ??? GHANA pia wamefanya HIVYO HIVYO; Kwanini TUSIJARIBU??? waache waondoke watakuja

tu sababu ni MENGI WANAYOYATAKA... Inasikitisha kweli ...
 
Hivi wewe unaelewa kiingereza sawa sawa? Zitto kasema malivyuu kama hili ni bogazi tu kwani yashafanyika miaka nenda rudi bila kubadili chochote. Mwenzako Zitto anawataka wenye muono kama wake wapige kelele kubadili utaratibu mbovu uliopo na zaidi sana bunge liwe na mamlaka ya kujadili na kuidhinisha mikataba hiyo miovu. Mikataba hii iwe wazi ili hata wewe uwe na haki ya kuuona. Hivi kusema hayo ndio kukatisha tamaa kwa lugha ya kwenu eehh?? Duh kweli its a long way to fairness!!
Mkuu GKassanga, ZZK ni level nyingine kabisa!. Humu jf, tuna Vichwa maji kibao ambao uelewa wao ni finyu sana, lakini kazi yao kubwa humu ni kupiga kelele za kupinga kila jema na kuvurumisha mitusi!.

ZZK aliposhauri tuinunue mitambo ya Dowans au tuitaifishe, alionekana kituko!, leo tutailipa tuzo ya ICC na capacity charge ya $ 152,000 per day tunalipa Simbion!.

Tuliibiwa madini kwa mikataba mibovu kwa sababu ya usiri huku sisi hatujui!, sasa ni mikataba ya gesi nayo tutaibiwa tena kwa sabuhi hizo hizo, ZZK anasisitiza uwazi, mikataba iletwe bungeni, watu mnalalamika nini?!.

Huyu ZZK akiwa mgombea wa Chadema 2015, lile boriti kubwa la tuhuma za Chadema ni chama cha dini fulani zitafutika na amini nawaambieni, ZZK ni very bright and briliant boy fit for URT president 2015 kwa tiketi ya Chadema!.

Pasco.
 
Hapo kwenye Red
Ningependa ujue kuwa mie ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa hatufaidiki (kama nchi) na hii mikataba ya madini ambayo ndo nyie mnaita uwekezaji. Huu ni wizi na hawa sio wawekezaji tunaowahitaji bali ni waporaji kwa kushirikiana na wachache katika nchi yetu!

Ni bora waondoke na tubaki na dhahabu, mafuta na gesi zetu ili tukiwa na viongozi wenye uchungu na taifa hili basi waje wawekezaji and I mean wawekezaji si waporaji ili na nchi inufaike na huo uwekezaji. Zitto kuliko kuwa na mikataba hii ya wizi ambayo nchi inachimba dhahabu lakini haionekani katika pato la nchi ni bora kuacha rasilimali hizi kwa kizazi kijacho!

Ni kweli wengi washasema juu ya mikataba mibovu kama huyu waziri, lakini kumbuka hakuna waziri wa Nishati ya Madini aliwahi sema hivyo. Trust me, kama mawaziri wote (baraza zima) wangekuwa na mtizamo kama yeye mikataba hiyo ingekuwa ishafutwa siku nyingi.

Inawezekana hatafanikiwa kama wengi tunavyoamini lakini kama ni muungwana tutaona akijiuzuru!

Pls Zitto give him a benefit of doubt. Au ndo "mjinga akielevuka mwelevu yupo mashakani?" unaogopa hasichukue sifa zako nini???

Hatufaidiki na HII YA SASA... kwahiyo kwanini tusiulizie... NI KWANINI BOTSWANA waliweza??? AU SISI wengi wamepewa 10%

Mwache ajaribu agonge UKUTA... Unaona faida ya kuwa na MIGODI ya DHAHABU? zaidi ya Mawaziri wetu kwenda nje na kusomesha watoto NJE?
 
lakini hata bunge sasa limekuwa la wasiwasi, ilipovunjwa kamati ya nishati na madini kwa sababu za rushwa ni jibu tosha kuwa watanzania hawatakombolewa na bunge hili la wabunge walioenda bungeni kutafuta ajira na siyo kutumikia watu. Tunahitaji taasisi imara na utawala wa nidhamu kuanzia kwa mkuu wa nchi mwenyewe.

Tunaweza kuwa na mbunge mmoja mmoja lakini bunge kama taasisi hatuna. Tuna rubber stamp ya kulinda maslahi ya watu wachache. Nakubaliana na mdau mmoja aliyesema tatizo si kuweka mambo wazi. Kwani nani asiyejua EPA au Rada? Nini kimefanyika?

Tanzania tumefika mahali viongozi hawaoni aibu hata chembe kuiba mchana kweupe! Mwaka jana Tanzania ilipoingia mkataba na China kujenga bomba la gas, hawa wazungu wa Songosongo walileta kelele sana. Hawakutaka kabisa bomba jingine obviously kulinda maslahi yao. Sasa wanaanza kutishia watu kuwa hawati kuwekeza kwenye nchi ambayo mikataba inabilika? Huko kwao mbona mambo yanabadilika?

Australia walibalisha mikataba ya madini na sasa makampuni yanalipa kodi kubwa sana. Mbona hayo makampuni hayakuhama?Tabia ya kuwabembeleza wawekezaji hata kwa rasilimali ambazo hawawezi kupata sehemu nyingine kirahisi ndio inatufanya tuonekane kama wanasesere. Mchana hawa wazungu watakutisha ukibalisha mikataba wataondoka, jioni wakwenda George & Dragon kucheka jinsi watanzania walivyo mazezeta!
 
Tatizo watz tunapenda vitu simple na vya fastafasta, ambacho ndicho anachofanya muhongo na ndio maana watz wanamshangilia kwa sababu anawakilisha. Lakini kwa Watu makini this guy is a disaster in the long run!
 
Back
Top Bottom