Simu kutoka Ikulu kuamua hukumu ya Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu kutoka Ikulu kuamua hukumu ya Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkwawa, Oct 1, 2012.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kumhoji Jaji Ihema uwezekano wa kutoa maamuzi kwa simu kutoka ikulu baada ya maongezi ya muda mrefu alikubali kuwa huwa kuna baadhi ya kesi simu hupigwa ili kupata hukumu.

  Lema ameshinda kesi ya kwanza Arusha simu ikapigwa kutoka ikulu hukumu ikatangazwa kashindwa. Kesho tutashuhudia tena simu ya ikulu sijui itasea nini baada ya ushahidi wote kuonyesha kulikuwa hakuna kesi na mshindi ni Lema.

  Jaji mkuu wa mahakama za Tanzania na majaji wengine wawili kesho ama waingize kwenye matumizi ya sheria hukumu ya kihuni ambapo itatumika kama kielelezo cha kesi zitakazofanana huku ikiwaacha watumiaji sheria midomo wazi na kutokuamini kama ni kweli wasomi wetu ndio walikuwa majaji au wanywa kahawa, dadii, mbege, ulanzi, lubisi nk.

  Simu kutoka ikulu kesho itaamua. Sheria za kuamuliwa kwa simu ya wanasiasa ndizo zinazobaka haki na usawa mbele ya sheria.

  Chief Mkwawa wa Kalenga
  Matumizi mabaya ya dola ndio mwanzo wa machafuko
   
 2. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  utigwe kiki? swela.INGULIVI ALIBAHA.
   
 3. k

  kabombe JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,649
  Likes Received: 8,609
  Trophy Points: 280
  Chifu napingana na pre emptive strike yako,unasemaje kuhusu Sumbawanga mjini,singida mashariki,ubungo?
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  bangi zina madhara sana. unaletaje uzi hapa kwa mambo ya kufikirika? eti na wewe ni great thinker? Anyway mnachoniboa humu janvini ni kuwa hukumu sahihi ni ile uyitakayo/unayoitamani/inayokufeva wewe tu? kweli wewe ni great thinker! du! kweli tunayo safari ndefu kwa kuwa na watu kama nyinyi.
   
 5. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeepfu!!!anyway ngoja tumsikilizie huyu asumani chande kama na yeye ni mtu wa kupokea simu tum-dampo pamoja na mahakama zake!!
   
 6. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  CCM oyeee. Umasikini oyee!
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Hata sishangai kama itatokea

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 8. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ebwana mbona sikuelewi unachoshangilia hapa??au umenogewa na lift ya arusha kwenda kusikiliza mkutano wa mke wenu kafu??
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwanza kabisa acha kumdhalilisha jaji Ihewa kwa hoja zako za kitoto
  Kwanini unawaandaa na kwaaminisha watu lazima Lema ashinde? Na ikiwa vinginevyo basi ni simu kutoka ikulu
   
 10. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  haki itabaki kuwa haki hata kama simu itatoka ikulu angalieni mkuu wa kaya kwa kuiba kura zinavyomtafuana yaani hata mtoto wa chekechea akisimama kungombea naye atamshindwa kwa hapa alipofika maana hana dahamani tena mbele ya jamaii hata watoto wanamdharau ktokuchukua maamzi kutete haki ya watanzani nje ya kulia lia akifuataiwa na msaidizi wake kiranja mkuu
   
 11. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wadanganye BONGOLALA WENZIO.
   
 12. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kaka watu hawa haabdiliki hata kidogo,hata ungesema mpaka mbingu zikashuka hawawezi kusikia,wanataka kusikia wanayoyapenda,na hawako tayari kusikia ama kuona wasiyoyapenda.sasa wewe unadhani hawa ni watu kweli.

  But sio mbaye twende nao hivyo hivyo wataelimika taratibu mkuu wangu I SALUTE 4U.
   
 13. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We mumeo ni nani???!!!!!!!!!!!

   
 14. b

  blueray JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sidhani Kama Jaji Mkuu anaweza kuamua kwa kufuata maelekezo ya ikulu. Nadhani atafuata taaluma na maadili ya kazi yake Kama Jaji Mkuu yanayomtaka atende haki kwa watanzania wote. Anajua akiamua kwa kutokufuata haki anakiuka maadili ya kazi yake yanayoendana na kiapo na kama jaji Mkuu atakuwa amedhalilisha taaluma yote ya sheria nchini. Atakuwa amejiwekea historia mbaya na hii historia itamhukumu yeye binafsi au hata ndugu zake!
   
 15. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,994
  Likes Received: 6,773
  Trophy Points: 280
  + Na hivi karibuni, hukumu ya Igunga. Ni kweli baadhi ya majaji wanatumika na watawala. Lakini wapo pia wazalendo, wanaopenda kuisimamia taaluma yao. Kwa hiyo ni vyema tukasubiri kwanza hukumu, ndiyo, tucomment. Kauli kama hiyo iliyotolewa na huyu mleta uzi, inaweza kwa kiasi fulani kuwademoralize wale majaji wanaotaka kusimamia haki kikamilifu!!
   
 16. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ruwa nakutarame na akusongoe mbunge lema.
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Ikulu yetu imekuwa chafu sana!!!
  Inaweza kufanya hivyo! Wote tunajua kuwa Lema akutuhumiwa kutoa rushwa kwenye uchaguzi wa ubunge arusha! hukumu imemtia hatiani kwa makosa ya kutoa rushwa! Labda porofesa wa kafu au dovyutwa ndio waunge mkono pendekezo lako, sisi tulio na akili timamu kamwe hutupati!!!!!
   
 18. s

  sijambo Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho co mbali mungu atuazme pumz tena tushuhudie wana Rchuga pata chmbka chali angu
   
 19. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Do your realy the historical background of the Lema MP's saga?
   
 20. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Inavoonekana Ikulu inshu yao kubwa ni kuhakikisha Lema hawi mbunge, ila sio chama kama chama maana ni dhahiri uchaguzi ukifanyika leo CDM wataibuka na wanajua kuanzia kina Mombo kwa ngazi ya mkoa mpaka ikulu yenyewe
   
Loading...